Huu sio wakati wa kumlilia Mbowe Wala sio wakati wa kuwalaani CCM. Ili Uhuru wa bandia wa akina Kingai na Mahita wa kuteka, kutesa na kuua raia wema Kama akina Moses Lijenje na wengineo uondoke ni...
Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari amedai aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba anapaswa kushtakiwa kwa kuwa ameshindwa kusimamia mambo mengi wakati akiwa...
Kangomba wote siyo Zitto Kabwe wanamchukia sana Hayati Magufuli.
Huyu Zitto Kabwe aliokotwa na Freeman Mbowe pale Mlimani lakini kwa shukrani zake za punda akataka kumpindua chamani.
Zitto...
Kwanini wewe unachangia jukwaa la siasa?
Siasa kwako ina maana gani, hasaa; na upo tayari kusimamia msimamo wako muda wowote na kwa gharama yoyote.
Siasa kwako ni utu?
Siasa kwako ni sheria na...
Hapa nchini katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwepo na mambo ya kusikitisha sana kutoka kwa mhimili wa mahakama.
Mwendenendo wa Mahakama zetu nchini umekuwa ni mwenendo usio na afya njema...
Nakumbuka ni kipindi ambacho afisi ya DPP iligeuka kuwa TRA yani mtuhumiwa anakili kosa kisha analipa fidia mambo yanaisha. Hii iliwahusu wale wenye kesi za uhujumu uchumi.
Lakini ghafla...
Msanii Ras Mtimanyongo anasema kamwe Wamachinga hawawezi kuondoka Kariakoo kwa sababu ndio sokoni kuanzia nchi hii ijitawale.
Mtimanyongo anasema Wafanyabiashara kwao ni Samora zamani...
Sitamani kuingia ndani Sana katika maana ya maneno matatu hapo Juu, #Uzalendo ni dhana ya mtu kusimama kwa ajili ya Taifa lake na si kwa maslahi ya kikundi au yeye mwenyewe.
#Itikadi ya vyama vya...
Nilianza kupata ubuyu huu kwenye mjadala wa vijana flani nikashtuka Sana, katika udadisi na kujielimisha kupitia maandiko mbalimbali ya huduma mtandao ( e- services) nikagundua ipo haja...
Sheria za Tanzania zipo wazi kabisa kuwa mtuhumiwa anatakiwa kukiri kwa hiari ili hiyo kiri iweze kutumika mahakamani. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania...
Nimesikitika sana leo kumuona Raisi Magufuli akiongelea TTCL kijamaa. Mawazo yake ambayo anafikiri ni mazuri kwa nchi si mazuri na ni mabaya sana kwa uchumi wa mtaji. Simshangai maana watu wengi...
Wakati tupo kwenye zoezi la kupanga wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika miji yetu, ili zoezi lifaulu lazima walaji wahusike kwa maana Serikali kupitia tasisi zake za serikali ya...
Hivi kwenye shirika au kampuni ikiwa kila siku CEO anakuwa na tabia ya kuwaita ofisini kwake mameneja wote, makarani wote, ma IT wote, maoperator wote, masekretari wote, walinzi, madereva, maofisa...
Trust me ndugu zangu ilipofika awamu ya tano ilionekana kujenga madaraja, barabara kununua mandege cash ndiyo sifa na vipeperushi vilipamba sana sana tuuuuu
Aawamu ya nne alijitahdii ku balance...
20 October 2021
Dar es Salaam. Vyuo vikuu vya ndani vinakabiliwa na upungufu wa wahadhiri wenye sifa, kwa mujibu wa wakuu wa vyuo.
Siri hiyo imefichuliwa wakati wadau wa elimu wakieleza wasiwasi...
Nathubutu kusema sijaona tofauti ya serikali ya JK na JPM wote kwa pamoja walianza majukumu yao ya Urais kwa kasi kubwa huku wakibeba matumaini lukuki toka kwa wananchi wao.
Nani asiyekumbuka...
Kwa yeyote anayeifuatilia vyema CHADEMA bila unafiki na bila mhemuko atakubaliana na ukweli kuwa chama kiko ICU.
Baadhi ya makamanda wenye kuona mbali wameshaliona hili na wengi wamelieleza...
Magufuli alisema ujenzi umefanyika Coco Beach ambao unafanya iwe vigumu kulimalizia lile daraja. Anasema Mkuu wa Mkoa (Makonda) alikuwa wapi wakati haya makosa yanatendeka? Au Mkuu wa Wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.