Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

RASMI: BUNGE SASA NI IDARA YA IKULU Zaidi ya asilimia 70 ya wabunge wote kwenye Bunge letu, wanatoka CCM. Kitendo cha MKATA UMEME kuwadhibiti wabunge hawa ni sawa na kudhibiti Bunge zima ili...
44 Reactions
353 Replies
30K Views
My Take Haya ni baadhi ya mambo yanayofanya Magufuli alidharau Bunge. Pascal Mayala yuko sahihi tuna bunge kituko
29 Reactions
90 Replies
26K Views
NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula, amesikitishwa kwa kusuasua kwa utekelezaji wa miradi ya shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wilayani Chato mkoani Geita. - Dk...
5 Reactions
85 Replies
8K Views
Huyu Kamanda wa juu wa Jeshi la Polisi anaitwa Zelothe Steven , alikuwa Ofisa wa juu wa Jeshi hilo na sasa ni Mwenyekiti wa ccm wa Mkoa . Unadhani wakati wa upolisi wake alitenda haki lilipokuja...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amegawa vitambulisho vilivyoboreshwa kwa wamachinga wote vitakavyowawezesha kukopesheka na kuwafanya wafanye biashara zao popote pale === Unguja. Rais wa...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Baada ya ukimya na kutoonekana kwa JPM kama ilivyo kawaida yake, Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania, "Rais ni mzima bukheri wa afya na anachapa kazi Ikulu". Naye Makamu wa Rais...
9 Reactions
52 Replies
7K Views
Matajiri wamiliki wa restaurant s kariakoo na wamiliki wa bodaboda na daladala walalamila biashara kuporomoka Utafiti binafsi nilioufanya nikaongea na madereva daladala , bodaboda na wamiliki wa...
20 Reactions
238 Replies
16K Views
Kuna minong'ono naisikia huku korido fulani hivi kuhusu uwezo wa Wakili nguli mhe. Kibatala. Wanabodi naomba tuorodheshe hapa kesi ambazo amewahi kushinda ili kuweka rekodi sawa. Siyo zile...
5 Reactions
61 Replies
7K Views
Kawaida serikali hasa za kidemokrasia zinapenda sana kukopa. Wanakopa na kutumia watakavyo wakijua watakaolipa madeni ni wengine kabisa. Huu ni mfumo mbaya sana kama hakuna udhibiti. Sasa kwa...
0 Reactions
7 Replies
811 Views
Asalam-alaikhoom Wana-JF! Kwanza niwapongeze sana Rais SSH na Mkuu wa Mkoa Amos Makala kwa kusimamia zoezi la 'kuwapanga upya' wamachinga jijini, na kwa kusimamisha marufuku ya bodaboda na bajaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi karibuni niliandika uzi huu: https://www.jamiiforums.com/threads/bodi-ya-mikopo-elimu-ya-juu-heslb-wanatokaje-awamu-hii.1922083/ Hata hivyo Badru bado anajisifia kuwa walioangaliwa Zaidi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kwanini CCM wamekuwa na uchu wa Madaraka Kama nguruwe waonapo shamba la mihogo? Samia alijitangaza mwenyewe mapema tuu kinyume na taratibu za uchaguzi na taratibu za CCM zinazokataza mgombea...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Amani iwe juu yenyu wanajukwaa! Mimi nataka kujua, hivi katika hii kesi ya Mbowe mnufaika ni Jamhuri au CCM? Nauliza hivi kwa sababu najaribu kutazama kwa jicho la mbali ni kwamba, Mhe Mbowe hana...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Not every decision will make evryone happy.At this juncture, what must be looked upon is the liberation of the "wretched of the earth"(Frantz Fanon). The underlying mases of the Tanganyikans...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
Uwepo wa vyama vingi vya siasa kwenye jamii yoyote ni kama injini iliyoko kwenye gari/ndege, etc. Ili serikali yoyote ifanye vyema, lazima kuwepo vyama vingi vyenye nguvu ambavyo vitaikosoa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Ilionekana hivyo katika hukumu ya Jaji Siyani. Imeonekana hivyo TBC Habari jana 20:00 ambapo maelezo ya Kingai yalisomwa kama vile ni ungamo alilofanya Mh. Mbowe mahakamani Jana. Magazeti...
20 Reactions
43 Replies
6K Views
Moja ya changamoto kubwa sana tuliyonayo hapa barani Afrika, ni nchi nyingi za Afrika kuwa na mifumo ya utawala inayotoa MAMLAKA MAKUBWA SANA KWA MTU/ TAASISI MOJA. MAMLAKA MAKUBWA SANA ambayo...
1 Reactions
0 Replies
794 Views
Dodoma.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo. Majaliwa ametoa kauli...
0 Reactions
74 Replies
5K Views
Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Humphrey Polepole amesema hayo kupitia kipindi cha Shule ya Uongozi ambapo alisema ni kipindi kinachofanya kazi ya kusema ukweli...
7 Reactions
56 Replies
5K Views
29 October 2021 Dodoma, Tanzania Semina iliyoendeshwa na Taasisi ya Uongozi, Kwenye Ukumbi wa St. Gasper, jijini Dodoma Tanzania Waziri Mkuu amewasisitiza viongozi hao waepuke matumizi ya...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom