Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi.
Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe...
Amesikika Mheshimiwa Ndugai akiwananga baadhi ya Mawaziri:
“Hata kwa jambo ambalo liko wazi tu lakini (waziri) haambiliki hayo tumeyaona lakini sidhani kama nyie mtakuwa sehemu ya hao. Wanadamu...
Wakili msomi Peter Kibatala V/S Mtoto wa IGP Mahita.
KIBATALA: Inspekta Mahita nimekufuatilia wewe ndiye ulikuwa arresting Officer?
MAHITA: Sahihi.
KIBATALA: Kazi ya Kingai ilikuwa nini...
Hii biashara ilipokuwa imepamba moto, MATAGA walifurahia sana wakiamini CHADEMA itakufa kutimiza azima ya mwenyekiti wao(Mwendazake).
Tulishuhudia wimbi la baadhi ya madiwani, wabunge na...
Siyo siri kuwa vita vitakatifu vinaendelea pale mahakamani. Ni wazi kuwa ule upande mwingine bila kumwacha awaye yote:
wote wako Chobingo, na wala si cha mtoto!
Tunapo tathmini yanayojiri...
Wataalamu wa serikali ya awamu ya tano wa Jiji la Arusha wameona wawapange wamachinga kwa mfumo huu
1. Soko la Mbauda litakuwa la nguo za mitumba.
2. Soko la Machame Luxury litakuwa la vyombo na...
Hapo vipi!
Binafsi sijawahi kumsikia huyu mkuu wa mkoa wa Arusha akiongelea suala la machinga.
Ila mara kwa mara wamekuwa wakisikika wakuu wa mikoa wa Dar-es-salaam ndugu Amos Makalla na...
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema katika miaka 5 iliyopita serikali imeweza kujenga viwanda 8000 vingi vikiwa mkoa wa Pwani ambalo ni eneo la kimkakati.
Msigwa amesema hayo katika mkutano...
Kesi ya inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo Ushahidi unaendelea kutolewa. Shahidi wa kwanza kwa upande wa Jamhuri...
Habari ndugu?
Kama sote tujuavyo kuwa kuna fedha zimetolewa kwaajili ya kuboresha uchumi kutokana na athari za Corona. Kwa hili nampongeza sana SSH kwa kuzielekeza kwenye sekta ya elimu. Hii ni...
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema fedha zitokanazo na Tozo ya miamala ya simu zina majukumu yake ikiwemo ujenzi wa Zahanati 220 vijijini.
Mkopo wa IMF ambao sehemu una riba nafuu na...
Huyo Tonny Blair tuko wengi tunamuona kama mzandiki fulani.
Alimuunga mkono Bush kuivamia Iraq kwa sababu za uongo eti kuna silaha za maangamizi wakati ni uongo.
Nchi nyingine za Ulaya zilisita...
Awali kulitokea taarifa kwamba Polisi wamezingira ofisi za kanda , lakini baadaye taarifa hiyo ilikanushwa , hivyo kongamano hilo liliendelea kama ilivyopangwa na kuhudhuriwa na wakina mama wengi...
Mheshimiwa rais,
Unabeba lawama za moja kwa dhulma na manyanyaso na uonevu waliofanyiwa na wanaoendelea kufanyiwa wamachinga katika zoezi hili onevu na kandamizi linaloendelea nchini dhidi yao...
Niwasalimu Wana jf popote mlipo, MOJA KWa moja kwenye hoja
Sio siri tena CHADEMA TZ mpaka mda huu tumepishana na jeshi la police tz , na waliotufikaisha hapa ni CCm kutumia vyombo vya dola kisa...
Akijibu maswali ya waandishi wa habari leo mjini Iringa msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema serikali ni sikivu ndio maana wananchi walipolalamikia tozo ilichukua hatua haraka ikitumia Uwezo...
Machinga wa Arusha wanajengewa sehemu ya biashara baada ya kuondolewa maeneo yasiyo rasmi. Hata kama hatumpendi Rais Samia kwa hili tumpongeze sana tu. Uongozi siyo maguvu, kelele na matusi bali...
Kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad kilichotokea Februari 17, Rais wa Tanzania ametangaza maombolezo ya siku tatu.
Maombolezo ya kitaifa yanaanza...
Baada ya kufungua daraja la juu la Kijazi sasa Rais Magufuli amewasili Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani tayari kabisa kwa kukifungua rasmi.
Watu ni wengi sana.
Up dates;
====
WAZIRI...
RASMI: BUNGE SASA NI IDARA YA IKULU
Zaidi ya asilimia 70 ya wabunge wote kwenye Bunge letu, wanatoka CCM. Kitendo cha MKATA UMEME kuwadhibiti wabunge hawa ni sawa na kudhibiti Bunge zima ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.