Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vitu vingine ni rahisi tu, Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika. Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi...
24 Reactions
86 Replies
5K Views
Katibu mkuu mstaafu wa CCM aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amesema Mungu hashibi Chakula bali anashiba Dua na Maombi na hata sasa ametusikia na sasa mambo yetu yanakwenda vizuri sana...
9 Reactions
92 Replies
6K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema wamachinga waliogoma kuhama wataondolewa kwa lazima na vibanda vyao kuhamishwa. Kesho 30/10/2021 ndio siku ya mwisho kwa wamachinga wote kuhamia...
16 Reactions
89 Replies
10K Views
Kesho ndio tarehe 30 Oct 2021 ambapo Wamachinga hawatakiwi mjini. Kwa maoni yangu swala la Wamachinga ni delicate sana ambalo linaweza ku treger mambo mengi ya hatari kisiasa na kiusalama. Mama...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Baada ya kumaliza shughuli ya kumbukumbu ya Mwl Nyerere kule Butiama kwa mafanikio makubwa, Vijana wa Bavicha wanaendelea na kazi ya Kitume ya kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya na...
15 Reactions
36 Replies
2K Views
Baada ya kusikia amri ya RC Makala kwamba office zote za serikali za mitaa jijini Dar ziajiri Mgambo kama walinzi ninayo machache yanahitaji ufafanuzi: Pia soma > RC Makalla: Kuanzia sasa Ofisi...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) imeandaa warsha ya mafunzo kwa Maafisa Watendaji wa Kata na Mitaa na Manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam iliyofanyika Chuo kikuu cha...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Ashukuriwe wa Rais wa awamu ya 5 kwa msimamo wake thabiti dhidi ya Covid 19 unaopelekea fedha za Corona zinazotolewa na taasisi za fedha duniani kutumika kuwaletea wananchi maendeleo badala ya...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
IKIWA imebaki siku moja Uchaguzi Mkuu ufanyike, Jumuiya ya wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ na madereva pikipiki ‘bodaboda’ nchini, wametoa msimamo wao kuwa watampigia kura mgombea wa Chama...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Tufike mahali tuwe tayari hata kumfunga paka kengele. Tanzania ni nchi nzuri sana yenye kila kitu watu, madini, ardhi, mafuta, gesi, mito, maziwa hadi bahari. Mvua za uhakika na urithi mkubwa...
10 Reactions
56 Replies
4K Views
MGAWANYO WA FEDHA TOKA IMF TSHS. Trilioni 1.3, HAIJAWAHI KUTOKEA NCHINI, RAIS #SAMIA APELEKA MAFURIKO YA FEDHA KILA KATA, VIJIJINI KUMECHANGAMKA Naa Joseph Yona Rais #Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna taarifa zilizosambaa mitandaoni leo kuwa zaidi ya Askari 10 wakiwa na silaha za moto walikuwa wamezingira Ofisi za CHADEMA Mbeya ambako kulikuwa na Kikao cha Ndani cha BAWACHA! Taarifa hizi...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya Mahitaji kuzidi uwezo wa Internet ya Tanzania. Hizi ni kadi za baadhi ya wanachama waliofanikiwa kujisajili KWA MBINDE Kazi inaendelea
5 Reactions
5 Replies
701 Views
High-level Dialogue: An Adaptation Acceleration Imperative for COP26 - Jakaya Mrisho Kikwete The Global Center on Adaptation (GCA) convened a High-Level Dialogue towards shaping a clear...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema. Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi...
7 Reactions
74 Replies
6K Views
Hii kesi inaangaliwa na watu wa kimataifa, Wanafatilia kesi ya Mbowe kwa ukaribu mkubwa. Ona hii aibu ya hawa Mapolisi.
19 Reactions
76 Replies
6K Views
Prof Lipumba wa CUF kwa mfano au Hashimu Rungwe wa Chaumma wamekuwa ni wagombea urais wa kudumu katika vyama vyao so wao wanafanya kampeni kila siku iitwayo leo. Hivyo wale wanaolalamika eti...
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Naona kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza kwa kasi chama tawala CCM kimeshateua mgombea wake na safari hii "wanaume no kugombea" ni zamu ya wanawake tu Ni vema Tume ya Uchaguzi ikatangaza rasmi...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Msanii Ras Mtimanyongo amesema Bodaboda waliwacheka sana Wamachinga na kudai wanawazibia barabara kumbe nao zamu yao ilikuwa inakuja. Je, baada ya bodaboda itafuata zamu ya nani? Anahoji Ras.
10 Reactions
50 Replies
3K Views
Kama ilivyokuwa kwa wapiga debe kwenye stand mbalimbali nchini walivyoanza taratibu kujiingiza kwenye udalali wa kugombea abiria kiasi cha abiria kupelekwa gari nyingine na mizigo yake gari...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom