mbinguni
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 2,784
- 1,079
Uwepo wa vyama vingi vya siasa kwenye jamii yoyote ni kama injini iliyoko kwenye gari/ndege, etc. Ili serikali yoyote ifanye vyema, lazima kuwepo vyama vingi vyenye nguvu ambavyo vitaikosoa serikali husika isilale wala kufanya mipango/sera mbovu zisizotekelezeka kuwaletea raia maendeleo.
Vyama vingi ni valuers wa chama kilichoko madarakani ili kitende vyema.
Vyama vingi ni valuers wa chama kilichoko madarakani ili kitende vyema.