Hivi imekaaje kwa utaratibu wa Katiba yetu?
Maana:
Pierre Nkurunziza alikaimu miaka mitano ya mwenzie akaja kukaa kumi yake ikawa 15.
Edgar Lungu alikaimu miaka mitatu akakaa yake mitano na...
Sijui sana kuhusu awamu nyingine za uongozi, lakini nimemuona Kikwete, nimemuona Magufuli, na sasa namuona Samia.
Kati ya Marais hao, siajona aliyepitia mambo mazito ndani ya muda mfupi kumzidi...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya...
Nimejaribu kupita katika maeneo kadhaa vijijini na nilichokibaini ni kuwa kuna majengo mengi mno ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambayo hayajakamilika kutokana na na uhaba wa...
#TUJIKUMBUSHE NA NGOME YA VIJANA.
Ngome ya vijana tar 17 Oktoba tuliwahi zungumzia suala la serikali kutengua maamuzi ya kutumia Bandari ya Mtwara tuu kusafirisha korosho, tar 30 Oktoba 2021...
HOTUBA YA MHE. DOROTHY O. GWAJIMA, WAZIRI WA AFYA, WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO WAKATI WA MAPOKEZI YA CHANJO YA SINOPHARM UWANJA WA NDEGE TAREHE 1 NOVEMBA, 2021...
Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.
Uhuru wa kiuchumi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amezuia utekelezaji wa zuio la Bodaboda na Bajaji kuingia mjini hadi atakapotoa tamko jipya baada ya kikao chake na Uongozi wa Bodaboda, Jeshi la Usalama...
Katika hali ya kushangaza leo niliomba kuangalia mini statement kwenye akaunti zangu za Vodacom.
Nimebaini kuwa pesa zangu zilizokuwa kwenye akaunti ya Mastercard zimerudishwa Mpesa.
Hivi sasa...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuna changamoto ya baadhi ya Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali (AG) hali inayosababisha baadhi ya sheria kurejeshwa tena bungeni kurekebishwa...
Kwa uchache sana ili nisiwachoshe.
1. CCM ni chama cha hovyo, hakizingatii Katiba ya nchi wala sheria. Mambo yanafanywa kwa utashi zaidi. Utasikia Rais katoa bilioni 2. Inatia uchungu sana.
2...
Kauli ya Shaka kutengua amri ya mkuu wa mkoa inaonesha umuhimu wa ulazima wa katiba mpya, serikali za nchi zenye mfumo wa vyama vingi serikali ndiyo huongoza nchi na wananchi tunatakiwa...
Wakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa...
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye...
Mbali na sheria kutaka mapato ya serikali kuwasilisha katika Mfuko Mkuu wa Serikali, Mwaka wa Fedha 2019/20 kiasi cha Tsh. Bilioni 132.08 kilitumika bila kuripotiwa
Kiasi hicho kimepungua kwa 76%...
My take
1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa
2. Simuungi mkono kuhusu kumtetea Samia...
Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.
EU imeahidi...
Habarini za wakati huu viongozi mbalimbali wa serikali, ndugu zangu, kaka zangu, baba zangu, marafiki zangu kwa ujumla.
Siku ya leo nimekuja na swali muhimu sana. Swali langu nalielekeza EWURA...
Hivi ndivyo walivyofanya wanawake wa CHADEMA Kanda ya Pwani , ambapo Jana Jumamosi ya 30/10/2021 viongozi hao wa BAWACHA kanda ya Pwani walifika kwenye Makazi ya Freeman Mbowe Mkoani Dar es Salaam...
Kwa kuwa chama kina dhamana ya kuiweka serikali madarakani na kuisimamia, kubuni na kuitekeleza ilani ili kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo.
Kwa maoni yako unadhani ni chama gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.