Msanii Ras Mtimanyongo amesema Bodaboda waliwacheka sana Wamachinga na kudai wanawazibia barabara kumbe nao zamu yao ilikuwa inakuja.
Je, baada ya bodaboda itafuata zamu ya nani? Anahoji Ras.
Kama ilivyokuwa kwa wapiga debe kwenye stand mbalimbali nchini walivyoanza taratibu kujiingiza kwenye udalali wa kugombea abiria kiasi cha abiria kupelekwa gari nyingine na mizigo yake gari...
Tanzania ni moja Kati ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeshafanikiwa kuwa na awamu tofauti tofauti za uongozi wa ngazi ya juu kabisa(URAISI) na ni miongoni mwa nchi chache kabisa ambazo...
Sakata la uuzaji wa nyumba za Serikali limeibuliwa upya na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad akikosoa utaratibu uliotumika kuziuza.
Dodoma...
Wadau habari.
Huku kwetu Kilimanjaro tangu kuanzishwa kwa vyama vingi nchini zaidi ya miaka 30 iliyopita tulikuwa tunachagua viongozi wa vyama vya upinzani hasa CHADEMA kutuongoza lakini kwenye...
Mwanzo mwanzoni, natoa pole kwa viongozi wote wa CHADEMA na mwanachama mmoja wa CCM ambao jana wamehukumiwa kwenda jela au kulipa faini baada ya kukutwa na hata kwenye mashtaka ya jinsi yaliyokuwa...
Hii ndio taarifa iliyotufikia , kwamba leo Mke wa Mshitakiwa aliyeteswa kinyama komando Adam kasekwa leo atapanda kizimbani akiwa ni shahidi wa tatu wa upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya...
Moja viongozi wakisiasa mwenye uwezo mkubwa wakujenga hoja, asiyeamaki, mwenye kuheshimu utu ni Mbowe.
Hana kisasi na achoki kufundisha pale anapopata nafasi. Hotuba zake zote anazotoa wakati...
Wakati Benin bei ikiwa 3250, Korosho bora kabisa ya Tanzania iko 2200 ambapo mkulima anapata wastani wa 1900,.
Hii ni dhulma kubwa sana kwa mkulima ambayo ina mkono wa viongozi waandamizi wa...
Leo nimeona mchora katuni maarufu nchini Kipanya akilalamika kutishiwa maisha. Wakati huo huo yupo mchora katuni mwenzake yuko ndani mwezi sasa.
Utawala huu wa Mama pamoja na kusifiwa na watu na...
Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa...
"Mimi James Francis Mbatia nitakuwa tayari kuunganisha vyama vyote na wapenda demokrasia wote, ndani ya miezi 6 tuwe na CUF imara, CHADEMA imara, ACT imara na NCCR -Mageuzi imara kufika 2025 CCM...
Nime msikia mh James Mbatia akitaka vyama vya ushindani Kama sio upinzani kuungana ili kuking'oa CCM kwenye uchaguzi wa 2025.
Hili ni Jambo jema , lakini kwa kuusema ukweli viongozi wa vyama...
Hili ni swali kwenu wanasheria
Je sheria inatoa mwanya kwa Freeman Mbowe kudai fidia ya kuchafuliwa kwa kuitwa gaidi endapo mahakama itamkuta hana hatia na kumtamka kuwa ni mtu safi?
Jumaa kareem!
Nyakati na baada ya kifo cha hayati Magufuli, nchi imekuwa na makundi ama yaliyonufaika au kuumizwa:
1) Makundi ya wafayabiashara yaliyoumizwa na ubambikiaji kesi za uhujumu uchumi, na hata...
Leo tarehe 28/10/2021 umetimia mwaka mmoja kamili tangu kufanyika kwa kilichoitwa Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 .
Chadema imefanya maombolezo ya kitaifa kukumbuka wizi wa kutisha wa kura...
Salaam Wakuu,
Ile Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo Ushahidi unaendelea kutolewa.
Fuatilia uzi huu ili...
Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA.
Kama mnavyojua, Kwenye ajira wazanzibar hupewa asilimia 21, kwa hio katika hizi nafasi 1,097 ni...
Tanroads wamesema miradi yote ya miundombinu ya barabara na madaraja iliyoasisiwa na hayati Magufuli itakamilika kwa wakati kwa sababu rasilimali zote zinazohitajika zipo ikiwa ni pamoja na uwepo...
Tunakumbushana tu watu walioamua kusoma sheria pale OUT kama taaluma ya ziada ndio wamekuwa wanasheria mahiri sana nchini
Na wale waliokaza mishipa na HGL/ HGK zao pale The hill ndio mawakili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.