Kesi ya Mbowe: Ushahidi upande wa Mashtaka unapochukuliwa kuwa ndiyo Dhahiri

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,825
35,827
Ilionekana hivyo katika hukumu ya Jaji Siyani.

Imeonekana hivyo TBC Habari jana 20:00 ambapo maelezo ya Kingai yalisomwa kama vile ni ungamo alilofanya Mh. Mbowe mahakamani Jana.

IMG_20211027_105904_485.jpg

Magazeti nayo ni kama lilivyo hapo.

Kingai huyu huyu?

1. Aliyekuja na watuhumiwa kutokea Moshi - Msata - Bagamoyo --> Central Polisi kwa madai yake, akivipita Vituo vya polisi Mbweni na Oysterbay Kinondoni hadi Ilala?

2. Aliyeilekeza hati ya mashtaka kuonyesha njama ilianza May 2020 kwa ushahidi wa mshitakiwa wa 2, huku pia mwenyewe akikiri kuwa, mshitakiwa huyo hakujua lolote kuhusu njama hizo kabla ya 27/7/2020?

3. Aliyekamata washitakiwa wa kudhuru watu na ugaidi bila kuzitaarifu mamlaka zozote kama: polisi Hai, polisi Kilimanjaro, kamati za ulinzi na usalama Hai au Kilimanjaro wala kuwataarifu lolote ambao walikuwa walengwa binafsi?

4. Aliyedai kuwakamata watuhumiwa bila kuwa na chochote cha kufanyia tuhuma anazo washitaki nazo?

5. Aliyedai uwepo wa malipo ya kufanyia ugaidi ambayo hakuweza kuyaonyesha?

6. Aliyedai Khalfan Bwire aliwekwa mahabusu Chang'ombe Temeke kulikokuwa ni karibu na alipokamatiwa, hali tena akidai alikwenda na Adamoo tokea Moshi hadi Central Dar?

Ushahidi wenye mashaka unapotumika kwenye vyombo vya habari na kwenye kutolea maamuzi.

Labda kama ni kutufananisha sote na wale Mazuzu.
 
mnalo hilo wameshamkaanga mbowe alijifanyamjanja kuwalisha maneno waje watengeneze kesi ndogo ikashindikana huyo ni gaidi na jela inamsubiri wanamcheleweshatu
Magu atalaaniwa milele huko aliko! ametuharibiwa vijana na taifa lote. Tabia zake za kulawiti zinadhihirika hadi sasa! Hebu ona mirupo ya kiume aliyojichagulia:
1. Makonda-- Tako tako mashalaah
2. Sabaya== Reception na tako mrua kaaa!
3. Ali hapi -- Reception na bikra kabisa
4. ---
5---

Nape na Makamba walikatalia vyao wakakomeshwa!
 
hata mbowe kama makonda tu hapo namba 1 sasahivi manyapara du hawana kiu tena wanajiliavyao tu kilaiiini naonaroho inavyokuumakama wewendyo upo huko subirinitu apigwe mvua za kutosha 60 zinamtosha
 
Magu atalaaniwa milele huko aliko! ametuharibiwa vijana na taifa lote. Tabia zake za kulawiti zinadhihirika hadi sasa! Hebu ona mirupo ya kiume aliyojichagulia:
1. Makonda-- Tako tako mashalaah
2. Sabaya== Reception na tako mrua kaaa!
3. Ali hapi -- Reception na bikra kabisa
4. ---
5---

Nape na Makamba walikatalia vyao wakakomeshwa!
Kiuno cha mbowe umekiona vizuri kitakuwa hakikosi shanga kile.
 
Back
Top Bottom