Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ndio Taarifa yake aliyoisambaza kwa umma
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Mheshimiwa spika, nitalisema kwa upole sana suala la machinga maana nikizungumza kwa ukali nitasemwa mimi sio mtanzania lakini nilivyolisea mwanzo nahisi watu hamkunielewa. Niliposema niliambiwa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Pumzika, Maalim Seif Shariff Hamad. Waliokukamata na kukusweka Mahabusu mara kadhaa, hata kuwapiga wafuasi wako mpaka kuwavunja, kuwaumiza na wengine mpaka kifo, leo wameungana na kukumiminia...
1 Reactions
1 Replies
699 Views
Mhe. @SuluhuSamia akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 04, 2021 alipokua akitokea nchini Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Kuna mambo ambayo kama yakiangaliwa yanaweza kuturudisha kwenye ramani ya kuwa na influence Africa na kunufaika na mtukio yote yanayoendelea kote Africa. 1. Sera ya mambo ya nje! a) Tuwe na sera...
0 Reactions
2 Replies
568 Views
Siye siyo wa kwanza kubishana juu ya haki za mtu binafsi zinapoishia ili kupisha maslahi ya taifa. Suala hili limeibuka kwenye kesi ya Mbowe baada ya shahidi kutoka Tigo kutoa ushahidi kutokana na...
6 Reactions
110 Replies
8K Views
Mpango wa sasa wa kupanga uzazi wa Jamhuri ya Watu wa Uchina, unaoangaziwa na sera ya mtoto mmoja kwa kila mwanandoa (sera ya mtoto mmoja), umekuwa mojawapo ya kampeni kubwa na kubwa zaidi za...
0 Reactions
2 Replies
689 Views
Hapo vip! Katika kesi ya Sabaya vodocom walipanda kizimbani kutoa ushahidi dhidi ya Sabaya ila huu upande ambao kwa sasa hivi wanailalamikia TIGO kutoa ushahidi dhidi ya kesi ya Mbowe waliona...
6 Reactions
67 Replies
6K Views
Nimekusikiliza kwa makini sana ukijibu maswali ya mtangazaji wa AzamTV, Charles Hilary taarifa ya habari saa mbili usiku leo kuhusu kukatikakatika kwa umeme nchini ,umepwaya sana katika majibu...
21 Reactions
38 Replies
4K Views
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amewataka Wananchi kuondoa wasiwasi juu ya Bernard Membe endapo akipokelewa na kupewa nafasi kugombea Urais ndani ya Vyama vya Upinzani...
10 Reactions
141 Replies
15K Views
Bunge la JMT limeanza vikao leo vinavyorushwa mubashara kupitia Channel ten na TBC. Tusijikite zaidi kwenye kesi za mahakama ya mafisadi bali tulifuatilie kwa ukaribu zaidi bunge letu tukufu...
2 Reactions
77 Replies
5K Views
Huwa inasemwa mwanasiasa ni mtu anayeweza kuzungumza kwa saa nzima bila kusema kitu. Yaani ukimsikiliza anahutubia saa nzima baadaye ukitafakari alisema nini unagundua kitu. Hicho ni kipaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naupongeza sana uamuzi wa Rais Samia kujenga soko la kisasa la Wamachinga pale jangwani. Awali Jangwani palikuwa na viwanja vya kufanyia mazoezi timu za Simba SC aka Makolo, Pan Africans, Red...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari za asubuhi ndugu zang wa JF, Ama baada ya salam naomba nielekee sasa kwenye mada yangu. Ndugu zangu wakati nchi yetu inalazimishwa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na nchi za magharibi...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Kuna kila dalili kuwa ukishastaafu serikali haikuthamini Tena. Au hii tuiweke kuwa pengine serikali Ina Nia nzuri lakini haitaki tu kuwasikiliza Hawa wazee. Manispaa ya Musoma Ni kielelezo Cha...
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Wakuu kinachoendelea bungeni Ni kituko. Yaani Bunge limepoa wananchi wamelisusia mazima hakuna mtu mwenye time na hilo Bunge. Ndugai nae kaona hiyo hali sahivi amejifanya KUB(kiongozi wa...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau najua kuwa Miradi yote ya Serikali Fedha zake hupitishwa na Bunge baada ya Wizara husika kuomba na kutengewa Bajeti. Unapofika Muda wa Utekelezaji Fedha hutolewa na Wizara husika kama Bunge...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya mkutano wa Bunge kuanza juzi ambapo kimsingi ni kama vile ni Bunge la CCM watupu Spika Ndugai ameonekana akibeba jukumu la kuikosoa na kuipa ushauri mbadala Serikali kazi ambayo ilikuwa...
17 Reactions
68 Replies
6K Views
Tumeona scandal ya kina James Rugemalila na Singh Seth, inayohusu IPTL, lakin kumbuka kuna makubaliano ya kisheria juu ya umiliki wa mitambo hiyo ambayo inatumika Tanzania, Alafu imewekwa kama...
6 Reactions
28 Replies
6K Views
Ndugu wana jf natumaini muwazima , mimi ninapenda kuongelea sakata la madawa ya kulevya . Mimi naona hakuna binadamu asiyeeleweka kama mtanzania, mwanzo watu walikuwa wanapiga kelele sana kuhusu...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Back
Top Bottom