Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeonyeshwa video ya matukio yanayodaiwa kutokea benki ya CRDB Arusha, tawi la Kwa Moromboo Januari 22 mwaka huu. Video hizo zimeonyeshwa leo Novemba Mosi...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Hapo vip!! Nafuatia kwa karibu sana hii kesi ya mbowe ila jamuhuri wamejipanga kwa ushahidi. Binafsi naona meli inazama taratibu huku kelele,ambazo hazitasaidie kuokoa meli zikiongezeka. Kwa...
8 Reactions
40 Replies
4K Views
WAZIRI WA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI (ZANZIBAR) AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA POSTA ZANZIBAR Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Huko pembezoni hali ni shwari kabisa Wamachinga wametii agizo la serikali na wamehamia maeneo rasmi yaliyotengwa kwa ajili yao. Utata uko katika Jiji la Dar es salaam ( Ilala ) wamachinga ambao...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi ilisikiliza shahidi ambae ni mwanasheria wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo...
16 Reactions
112 Replies
15K Views
Poleni na majukumu ya kulijenga taifa, Hapo kabla ya sheria mpya ya madini ya mwaka 2017,haijatungwa na kupitishwa, wakaguzi wa madini migodini walikuwa wanaenda kwenye vituo vya ukaguzi, hasa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mradi wa Bagamoyo ni moja ya miradi iliyoko mioyoni mwa watanzania nikiwemo Mimi japo wengi hawasemi Kwa sasa. Ni Kati ya vitumbua vya Taifa vyenye mchanga. Huu mradi ni kipimo Kwa Serikali ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mambo ya ajabu sana ndani ya taifa hili, hivi bado kuna la kujiuliza kuhusu walinzi wa Mbowe ambao tunaambiwa nao wana tuhuma ya kesi ya Ugaidi? Si ndio huyu huyu Sabaya wanaosema kwamba...
13 Reactions
27 Replies
4K Views
Spika mstaafu mzee Pius Msekwa amesema kuna watu wana tabia ya kupenda kuumiza na kudhulumu watu wengine, hata mahakamani haki ya mtu inaweza kudhulumiwa kwani kuna watu wameumbwa na dhulma, na...
19 Reactions
55 Replies
5K Views
CCM YAJIFUNGIA SIKU TATU KUWAPIGA MSASA WATENDAJI WAKE Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Japhet Mangula Leo Novemba 03 amefungua Mafunzo ya Makatibu wa Mikoa Na Wilaya Nchi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama kesho utaongelea unachopanga kukifanya iwapo utafanikiwa kuwa Raisi wa nchi hii licha ya ukweli kuwa hatuna tume huru ya uchaguzi,nakushauri wewe kama mgombea uraisi(iwapo chama chako...
19 Reactions
105 Replies
10K Views
Lazima kila vita ujiandae vizuri. Wakurya wanasema Vita ni vita. Hakuna Vita ndogo. Simba akikamata hata kaswala kadogo lazima ashike shingo hana masihara kabisa. Yasije kuwakuta ya Simba...
4 Reactions
72 Replies
5K Views
Kama wewe ni mfuatiliaji wa historia na msomaji mzuri matukio ya kisiasa duniani na mabadiliko ya kidemokrasia katika nchi mbali mbali na hata kwenye ukombozi, utakubaliana na mimi mabadiliko ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni jumapili iliyopita nilipojaribu kusafiri Kutoka kijijini Ukumbi kakoko kilichopo mpakani mwa mikoa ya Katavi na Tabora kuelekea Tabora mjini, ambapo kwa bahati mbaya siku hiyo treni ilichelewa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Niwakumbushe tuu kidogo Rais akihojiwa na shirika la habari la Uingereza BBC aliitamkia Dunia na Tanzania kuwa Mbowe ni gaidi alikimbilia kujificha Kenya na wenzie alio kuwa akishilikiana nao...
42 Reactions
81 Replies
11K Views
RC MAKALLA AAGIZA UONGOZI WA JIJI KUWAPATIA WALEMAVU ENEO LA KARUME KUFANYIA BIASHARA. - Uongozi wa walemavu umemuomba mkuu wa mkoa kusitisha BODABODA kuingia mjini na badala yake mjini wabaki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama huu ndio uchochezi, basi wananchi wengi ni wachochezi. Huu ndo wimbo unaotumika kutaka kumuangamiza Vitali Maembe,pamoja na "nyimbo nyingine". Sambaza Link ya Wimbo huu ili umma uamue kama...
13 Reactions
20 Replies
4K Views
Mpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa. Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo...
19 Reactions
279 Replies
21K Views
Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu...
42 Reactions
149 Replies
12K Views
Ki ukweli Melo na JF kwa ujumla ni wadogo sana ukilinganisha na akina Tigo, Voda na wengine. Lakini hawa Jamaa pamoja na udogo wao wamepambana waziwazi mahakamani kulinda faragha ya watumiaji wa...
19 Reactions
39 Replies
3K Views
Back
Top Bottom