Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hatimaye Leo Kamishina mkuu Wa Mamlaka ya kudhibiti madawa ya kulevya nchini amekosoa mtindo aliokuwa akitumia bwana Makonda kutaja watuhumiwa hadharani kuwa haufuati sheria. Akihojiwa na redio...
93 Reactions
303 Replies
32K Views
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema imekuwa utamaduni wa Serikali kuwafukuza Wamachinga kwenye maeneo yao ya biashara na kuwapeleka pembezoni, na maeneo ambayo sio wezeshi kufanya Biashara...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri wa fedha Mwigullu Nchemba amesema Upangaji Wamachinga katika maeneo rasmi ni zoezi mtambuka na katika mpango wa maendeleo uliowakilishwa Wamachinga wana nafasi yao. Mwigullu amesema...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo...
23 Reactions
36 Replies
4K Views
Rais Samia amerudi leo kutoka Scotland na ameingia kazini moja kwa moja. Alipotoka kukagua ujenzi wa Daraja la Tanzanite (Lile la juu ya Bahari pale Salenda) alienda kuongea na wananchi...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Miaka ya nyuma Bunge la bajeti lilikuwa moja ya vikao vikubwa vya kibunge ambavyo vilitoa mwanga na dira ya Taifa linapokwenda. Media zote macho yalitupwa bungeni na wabunge mahiri wote ndio...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Kutokana na ukubwa wa uchumi mkoa wa Dar es salam na umuhimu wa mkoa huu kwa uchumi wa taifa letu, napendekeza Serikali ianzishe wiki maalum na kuutangaza mkoa huu kitaifa na kimataifa. Katika...
0 Reactions
3 Replies
656 Views
Mbunge; Kiwanda cha madawa ya mbu kimebaki MAHAME nini mpango wa serikali huku mkiagiza madawa ya mbu nje. NW Viwanda mbunge muongo kiwanda kinafanya kazi. Spika naagiza kamati ifike kiwandani...
0 Reactions
4 Replies
900 Views
Wanabodi, Kama mtanzania, inawezekana umepata nafasi kufuatilia yanayojiri nchini Scotland kwenye mkutano unaohusu mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huu umehudhuriwa na viongozi wengi akiwemo...
43 Reactions
195 Replies
12K Views
Juhudi za Rais Mama Samia zinatia moyo. Wawekezaji wakubwa wameanza kurudi, ingawaje hawajafikia kiwangi cha kabla ya Awamu ya Tano. Nimesafiri mikoani na nimeona ongezeko kubwa la shehena za...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Ninaitwa JEROME ERNEST MMASSY ni mkazi wa kata ya Olasiti jijini Arusha. Wakati Mh.Rais Magufuli akizindua mradi mkubwa wa maji jijini Arusha nililazimika kuacha kazi zangu zote za siku ile na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema ipo haja ya kufungua Mjadala wa Elimu, na ndiyo maana Wabunge wamekuwa wakisema washirikishwe. Akiwa Bungeni Dodoma amemwambia Waziri wa Elimu...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina amehoji bungeni kuwa ni lini Serikali itaipandisha hadhi barabara ya kutoka Bariadi – Mwaukoli - Mwandu Itinje – Itinje – Kabondo -Mwabuzo hadi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa , baada ya kitengo cha Chadema Digital kufika kwenye jimbo hilo . Wale ambao habari hizi zinawakosesha usingi Watusamehe , lengo letu halikuwa kuwaudhi , imetokea tu...
11 Reactions
58 Replies
3K Views
MAMBO MANNE YANAYOFELISHA VIONGOZI-PART 2-Kushindwa kukuza Uwezo wa watu. (FAILURE IN TALENTS DEVELOPMENT) Mtu mmoja aliwahi kusema, "good leaders have many followers but great leaders produce...
1 Reactions
0 Replies
627 Views
Kufuatia wafanyabiashara wadogo kuandika barua TAMISEMI wakiomba kutumia majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa yaliyopo mitaa ya Tandamti na Msimbazi kwa ajili shughuli zao, Wizara ya Ardhi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunashiriki kwenye mkutano wa kujadili mabadiliko ya tabia nchi. Moja ya agenda kubwa ni kuondoa matumizi ya makaa ya mawe(coal). Na nchi zote zitakubaliana na kutiliana saini kuhusu kupiga vita...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Tumebishana sana kuhusu alichokifanya bwana yule kule kwa pilato tuangalie sera ya faragha ya kampuni inasemaje kuhusu kutunza siri za wateja pitia hiyo sera halafu tujadiri kama sera ndio mbovu...
7 Reactions
109 Replies
11K Views
Hiki Chama kimeanza na ubaguzi. Hivi Tanzania ya leo au hata hio ya zamani watu wake ni weusi watupu? Na kusema Rangi nyeusi inawakilisha Uafrika wetu hili nalo neno la kibaguzi, tayari inaonyesha...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna kiini macho kikubwa sana ambacho waTanzania hatujakigundua katika utoaji wa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo. Anayepewa mkopo huo ni Mwanafunzi lakini tathmini ya uhitaji wa kumpatia mkopo...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom