Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hizi ndio taarifa zilizopatikana kutoka kwenye Jopo la Wanasheria wanaomtetea Mh Mbowe , Achilia mbali hiyo namba iliyotajwa na yule anayejiita Mwanasheria wa TIGO ambayo hata alipoulizwa kama...
53 Reactions
186 Replies
17K Views
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa. Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli...
12 Reactions
259 Replies
19K Views
Hii ndio mbinu mpya ya kishamba ya Polisi ya kuhakikisha Wanachama wa Chadema hawapati nafasi ya kumuaga mwenyekiti wao Mbowe As long As Kingai ni RPC wa Kinondoni Kuna kila dalili sasa ya...
14 Reactions
73 Replies
6K Views
Ukweli mchungu NI kuwa toka mama arudi ameingia kwenye dira za kimataifa za diplomasia. Ameenda ughaibuni na amekuja na Zawadi kibao. Inchi inarudi kwenye furaha. Mama anajaribu kuonesha kuwa nchi...
17 Reactions
46 Replies
4K Views
Wanasheria mtatusaidia kufafanua zaidi kuhusu hii summons. IN THE RESIDENT MAGISTRATE'S COURT OF DAR ES SALAAM AT KISUTU. MISCELLANEOUS CRIMINAL...
13 Reactions
124 Replies
16K Views
Viongozi wengi sana wanaamini katika KUKALIPIA, KUKUSOA na kuwafanya watu wengine waonekane HAWAWEZI. Lakini viongozi wazuri ni wale ambao wanatoa mrejesho ambao unaweza kumjenga mtu na kumfanya...
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Serikali ya Tanzania November4 2021 ilikanusha madai yalionezwa kuwa serikali ya Tanzania imejiondoa katika mahakama ya Afrika aya haki za Binadamu na Watu. Akizungumza katika Mdahalo wa Tano wa...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu mabilionea waliopo Tanzania kwenda kwa wizara ya fedha. Swali(Rashid Shangazi): Tuna idadi ya watu...
7 Reactions
56 Replies
8K Views
Ukweli ni kuwa watu wanaweza kuishi bila uwepo wa vitu vingi tu, lakini sio maji. Watu wanaweza kuishi bila umeme, bila barabara lakini hawawezi kuishi bila maji. Mkoa wa morogoro ni moja ya mikoa...
0 Reactions
2 Replies
622 Views
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa Dunia nzima kwa sasa kama mnavyoona wenyewe .
0 Reactions
2 Replies
595 Views
Kila mwanadamu au kwa nafasi yake au utalaam wake au katika kazi zake, kuna wakati aliwahi kufanya kosa au makosa, japo uzito na uwingi wa makosa hutofautiana. Baadhi au hata viongozi wote wa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa siku za karibuni imekuwa kama utamaduni wa Mahakama za Tanzania kuahirisha hukumu za kesi, hasa zile zinazotegewa masikio na watu wengi. Mahakama yenyewe kwa hiyari yake, tena bila...
14 Reactions
41 Replies
4K Views
Mahakama inapanga tarehe ya kusoma hukumu ya mtuhumiwa, tarehe inafika na mtuhumiwa anafika mahakamani the mahakama inadai hukumu haijakamilika na mtuhumiwa kurejeshwa rumande kwa zaidi ya siku...
22 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala. Cha...
12 Reactions
51 Replies
5K Views
Akiongea katika kipindi cha The big Agenda kinachoongozwa na mtangazaji nguli Aloyce Nyanda kupitia Star tv mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche amesema ni vema Wamachinga wapewe ardhi...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Wana bodi sina mengi ya kusema ila mambo mawili kusisitiza hoja yangu. 1. Viongozi wengi wa CCM kuanzia rais, Mawaziri,wabunge na kila aina ya kiongozi anaetokana na mfumo wa ccm hakuna mwenye...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama ambavyo tulichelewa kufanya maamuzi sahihi ya kutoshiriki chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiyo huru,, ndivyo tunachelewae kufanya maamuzi magumu ya kususia mahakama hizi...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Nahisi Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar sasa Viti ni vya Moto na imebidi Wanasiasa wa Zanzibar na Kigoma tubuni Mbinu, tugawane Majukumu na kuamzisha Utaratibu wa ghafla wa Kuwatembelea Wastaafu...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Taarifa Mbunge wa CCM amejiuzulu.
9 Reactions
130 Replies
17K Views
Mara ooh Samia katoa bilioni kadhaa kwa ajili ya jambo fulani ama ooh Samia kakubali mkoa fulani upewe pesa zile-mimi Jitombashisho nasema tuondoleeni huo upuuzi wenu Samia hana hizo pesa. Pesa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom