CCM tuambieni ukweli; 2025 mnatamani wabunge wa upinzani wawepo Bungeni au muendelee hivyo hivyo?

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Wakuu kinachoendelea bungeni Ni kituko.

Yaani Bunge limepoa wananchi wamelisusia mazima hakuna mtu mwenye time na hilo Bunge.

Ndugai nae kaona hiyo hali sahivi amejifanya KUB(kiongozi wa upinzani)

Tuliambiwa wapinzani walichelewesha maendeleoa,lakini hadi sahivi wananchi hawaoni ayo maendeleoa.

Kuna wabunge kina Msukuma na Kibajaji walipata umaarufa kwa kurusha vijembe kwa wapinzani sahivi hawana mtu wa kuwarushia vijembe maana hakuna upinzani Bungeni.

Bunge limedoda kwelikweli, CCM tuambieni mnatamani na 2025 muwe peke yenu au mmeshawamiss wapinzani wenu Bungeni
 
Sio siri tangu bunge limeanza sijawahi hata siku moja kupoteza mda kusikiliza maana hata wanayoongea yanakutia hasira tu.Ww kila mwaka mtu anakuambia tatizo la maji ama umeme litakua historia ila mpaka sasa dar tu inawatoa jasho huduma ya maji safi.
 
Ila CCM khaaaa
 
Ndugai ndie aliekuwa akishangilia ile mipango yao miovu na mwendazake, hakujua madhara yake alichokuwa anajua ni kumfurahisha tu bosi wake, sasa ndio amejikuta anavaa kofia mbili KUB na Spika huku nikiona kofia moja imedondoka kichwani kwake yeye hata hana habari.
 
Heeeh. Kumbe kuna bunge linaendelea?
IMG-20211104-WA0002.jpg
 
Uzi mzuri sana
Wakuu kinachoendelea bungeni Ni kituko.

Yaani Bunge limepoa wananchi wamelisusia mazima hakuna mtu mwenye time na hilo Bunge. Ndugai nae kaona iyo hali sahivi amejifanya KUB(kiongozi wa upinzani)

Tuliambiwa wapinzani walichelewesha maendeleoa,lakini hadi sahivi wananchi hawaoni ayo maendeleoa.

Kuna wabunge kina Msukuma na Kibajaji walipata umaarufa kwa kurusha vijembe kwa wapinzani sahivi hawana mtu wa kuwarushia vijembe maana hakuna upinzani bungeni.

Bunge limedoda kwelikweli, CCM tuambieni mnatamani na 2025 muwe peke yenu au mmeshawamiss wapinzani wenu bungeni
 
Ndugai ndie aliekuwa akishangilia ile mipango yao miovu na mwendazake, hakujua madhara yake alichokuwa anajua ni kumfurahisha tu bosi wake, sasa ndio amejikuta anavaa kofia mbili KUB na Spika huku nikiona kofia moja imedondoka kichwani kwake yeye hata hana habari.
Daa Ila magu jaman alikuwa na roho ngumu yaani alifurahi Bunge zima kukosa upinzani
 
Wamegundua ccm sio chama cha kizazi hiki, na hata mvuto uliokuwa unapatikana kwa hilo bunge ni kwakuwa wapinzani walikuwepo, na wao ndio wenye watu. Hao ccm wanategemea tume na vyombo vya dola, lakini wao hawana mvuto wowote. Fuatilia hata hizi chaguzi za marudio hazina msisimko wala wapiga kura, wamebaki kupika idadi ya wapiga kura.
 
Ndugai ndie aliekuwa akishangilia ile mipango yao miovu na mwendazake, hakujua madhara yake alichokuwa anajua ni kumfurahisha tu bosi wake, sasa ndio amejikuta anavaa kofia mbili KUB na Spika huku nikiona kofia moja imedondoka kichwani kwake yeye hata hana habari.
Bunge kwenye utawala wa Kikwete lilivutia, mijadala LIVE hoja kwa hoja, unapenda tu kufuatilia, lakini miaka sita hii, ni UGORO mtupu, paka spika amejigeuza mkuu wa kambi ya upinzani kwa kuifokea serikali! Umuhimu wa kambi ya upinzani Sasa ameuona!
 
Back
Top Bottom