Picha: Rais Samia akiwasili Dar es Salaam toka Glasgow Scotland

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mhe. @SuluhuSamia akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 04, 2021 alipokua akitokea nchini Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi duniani.

IMG_20211104_155243.jpg
IMG_20211104_155251.jpg
 
Sema huyu mama ni noma..kaenda huko anakutana na kina trump kina borris hawajavaa barakoa lakini yeye ndo kaonesha kuwa anajali corona kuliko hata wao..na hiyo barakoa havui na chanjo alipiga
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa jamani Rais anasindikizwa na kupokelewa na Makamu Wake na PM kila siku?. Wamekaa tu wanamsubiri yeye?

Wachape kazi bana.

Anyways ngoja nitafute kazi ya kufanya.
Hizo protocol hazinyonyi tozo Dom to Dar,Dar to Dom na hizo kamati za ulinzi kitaifa kila siku kumpokea
 
Sema huyu mama ni noma..kaenda huko anakutana na kina trump kina borris hawajavaa barakoa lakini yeye ndo kaonesha kuwa anajali corona kuliko hata wao..na hiyo barakoa havui na chanjo alipiga
Kama corona hakuna sisi bado tupo vizuri kwenye kuipromote kuliko waliodanganya kuwa ipo.

Kama ipo tupo sahihi kujilinda.

images (46).jpeg
 
Rais aachane na barakoa. Zinamuongezea ugumu wa kupata hewa unnecessarily. Wasaidizi wamshauri aachane nazo. Afya yake ni muhimu sana kuliko hivyo vitambaa puani. Wakubwa wote huko Glasgow hawakuwa na barakoa all the time kama Mama!Na hao ndiyo wenye corona yao! Cha kushangaza waTZ wengi hawajachanja na hawana barakoa!Waliochanja ndiyo wanaongoza kwa barakoa!
 
asante Mungu kwa kumrudisha salama Rais wetu mpendwa.
anaonekana mwenye afya njema, nguvu na anameremeta.
kazi iendeleee.................
 
Mhe. @SuluhuSamia akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 04, 2021 alipokua akitokea nchini Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi duniani.

View attachment 1998438View attachment 1998437
Ingekuwa ni Hichilema hapo makamanda uchwara wa ufipa wangesifia kuwa Hichilema amepunguza matumizi kwa kusafiri na ndege ya abiria na ni mfano wa kuigwa.
 
Back
Top Bottom