Mkurugenzi mkuu wa Tanesco, Maharage Chande "watch out"

omtiti

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
1,022
1,590
Nimekusikiliza kwa makini sana ukijibu maswali ya mtangazaji wa AzamTV, Charles Hilary taarifa ya habari saa mbili usiku leo kuhusu kukatikakatika kwa umeme nchini ,umepwaya sana katika majibu.

Inaonekana hujui tatizo hasa la kukatika umeme ghafla baada ya hayati Magufuli kufariki na kuondolewa kwa management yote ya Tanesco.

Una majibu ya kijanjajanja sana kama ya waziri wako January Makamba, inaonekana mmebobea kwenye fani hii ya kulonga longa .
Nikwambie tu hapo kama umewekwa kwa mission maalumu elewa utaumbuka muda si mrefu , facts tu na speed ya kazi katika kutatua kero ndio itakayo kubeba ,si maneno matamu na nahau za ajabuajabu.

Tanesco ndio roho ya uchumi wa nchi ,si sehemu ya porojo,"watch out"
 
Niseme wazi Freemasons wants power at all costs

Na area zao za concentration ni political power, energy power electricity power ni priority number two na kwenye energy sector priority number three ni natural resources especially oil ,gas and minerals ndio maana wakaua sadam Hussein na Gadafi na Congo hakutulii

Priority number three ni ku control business ya madawa ya kulevya waishike wao ndio wakavamia Afghanistan na Somalia

Priority number four ni Sisi kuwa soko la bidhaa zao fast moving Kama chanjo za Covid 19

Tanzania Kifupi nchi iko mikononi mwa Freemasons kwa Sasa
 
Niseme wazi Freemasons wants power at all costs

Na area zao za concentration ni political power, energy power electricity power ni priority number two na kwenye energy sector priority number three ni natural resources especially oil ,gas and minerals ndio maana wakaua sadam Hussein na Gadafi na Congo hakutuli...
😲😲🤣🤣Duuuuh "conspiracy theories" zimekulevya mnoooo.....

Aliyekuambia Freemasons ni waharibifu ni nani?!!!

Yaani uishi "katika
majumba yao ya ghorofa" halafu ukatae "mfumo wao wa mabunge na mahakama"?!!!🤣🤣🤣
 
Niseme wazi Freemasons wants power at all costs

Na area zao za concentration ni political power, energy power electricity power ni priority number two na kwenye energy sector priority number three ni natural resources especially oil ...
Sawa nenda kaburini pale chato kamwambie mungu wenu nchi hiko chini ya freemasons.
 
Niseme wazi Freemasons wants power at all costs

Na area zao za concentration ni political power, energy power electricity power ni priority number two na kwenye energy sector priority number three ni natural resources ...
Agreed
 
😲😲🤣🤣Duuuuh "conspiracy theories" zimekulevya mnoooo.....

Aliyekuambia Freemasons ni waharibifu ni nani?!!!

Yaani uishi "katika
majumba yao ya ghorofa" halafu ukatae "mfumo wao wa mabunge na mahakama"?!!!🤣🤣🤣
Ninachongea Nina uhakika Bungeni Ndugai alikataza asiwepo mtu kuvaa tai nyekundu au chochote chekundu avae Raisi Samia tu sio bahati mbaya .ok kwa Nini spika alikataza wakati Hakuna kanuni Kama hiyo bungeni tusaidie wewe kujibu kwa Nini nyekundu alitaka avae mama Samia tu?
 
Mbona huulizi na busati jekundu na kiti mahsusi cha Rais ?!!! Yehodaya una nini dadangu ?!!😲🤣🤣
 
Hatuendi lakini Cha Moto mtakiona Freemasons nyie
Eeh eeh.

Wala hakuna atakayekiona cha moto.

Kumbuka siku zote jogoo wa shamba hawiki mjini.

Mtachoweza labda kulialia na kutoa vitisho tu humu JF basi.
 
Mbona huulizi na busati jekundu na kiti mahsusi cha Rais ?!!! Yehodaya una nini dadangu ?!!😲🤣🤣
Umeelewa nilichoongea spika Freemason yule alikataza watu wasivae red yeyote avae mama Samia wakati Hakuna kanuni Kama hiyo bungeni Sisi sio watoto wadogo kwa taarifa yako tunajua kuzama chini na kuibuka hewani kwa uwezo wa Mungu muumba mbingu na nchi .Naongea najua Nini Naongea
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Leo hii mh.Rais SSH amekuwa ni Freemason ilihali umewahi kumtuhumu kwa kuwa "mfia uislam" na mdini ?!!! Khaaaa Yehodaya banaaa......

Huko "chini" ulizama ndotoni ama ?!!! Ha ha ha ha ha 🤣🤣🤣
 
Umeelewa nilichoongea spika Freemason yule alikataza watu wasivae red yeyote avae mama Samia wakati Hakuna kanuni Kama hiyo bungeni Sisi sio watoto wadogo kwa taarifa yako tunajua kuzama chini na kuibuka hewani kwa uwezo wa Mungu muumba mbingu na nchi .Naongea najua Nini Naongea
🤣🤣🤣🤣🤣
Leo hii mh.Rais SSH amekuwa ni Freemason ilihali umewahi kumtuhumu kwa kuwa "mfia uislam" na mdini !!! Khaaaa Yehodaya banaaa......

Huko "chini" ulizama ndotoni ama ?!!! Ha ha ha ha ha 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom