Wakati zoezi ya mitihani ya kitaifa kidato cha pili FTNA ikimalizika leo Ijumaa na michache kumalizika wiki ijayo,wasimamizi wa mitihani hiyo ambao Ni walimu na askar polisi wameshindwa kuondoka...
Kama wakili Msomi ninaomba kuwashauri mawakili wa Serikali wakiongozwa na ndugu yangu Robert Kidando ambaye namheshimu sana, msifanye kazi kwa mazoea mtalitia taifa aibu.
Kuweni makini katika...
Huwa sielewi ni kwanini mashahidi wa mashtaka huwa wanapata wakati mgumu wanapohojiwa na mawakili wa utetezi na hasa ikizingatiwa kuwa mashahidi wa Jamhuri huandaliwa na DPP tena mashahidi wengine...
Ukiangalia trends ya namna mashahidi wanavyotoa ushahidi wao ukiachana na shahidi wa kwanza utagundua hawa wanaofuata wanajaribu kufukia damages zilizosababishwa na mawakili wa utetezi au na...
January, Nape, Muhongo na wengine wa aina yenu fahamuni kwamba legacy ya Magufuli ndani ya chama imewafunika sana na hamtaweza kuizidi. Hamtaweza kuwashawishi wenzenu walio wengi kwamba Legacy ya...
Mkutano huu unarushwa mubashara kupitia ZBC, TBC, Channel Ten, ITV na Star tv bila chenga.
Mwenyekiti wa maalim Seif Foundation mh Jussa ameshawakaribisha ukumbini wageni wote wakiongozwa na Rais...
Spika Ndugai sasa baada ya kuona bunge limekuwa na mazuzu amekuwa kama kiongozi wa wapinzani bungeni. Kila topic inaingilia na kusema mara kwa mara nipo disappointed kwa mawaziri.
Huu ndiyo...
Leo Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza maadhimisho ya maisha ya Maalim Seif, kubwa zaidi ikiwa kuzindua taasisi ya jabali huyo wa siasa za Visiwani.
Nilichokipenda sana kwenye shughuli ya leo ni...
Ndiyo,ni hapa Rujewa.
Leo ni karibu miezi 6 sasa upatikanaji wa umeme hapa Rujewa ni wa kiwango Duni ambacho hakielezeki!
Mfano, kwa wiki moja upatikanaji wa umeme hauzidi masaa 48 na tatizo...
UFUNGUZI WA MKUTANO WA KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD.
- "Nimesimama mikutano mingi kuongea na mingine ya kimataifa. Lakini sijaona ugumu kama naouona katika mkutano huu"
-...
Kwamoto huu wa CCM Jimbo la Ushetu-Kahama Chadema mlikuwa sahihi kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "
"Hakuna kama Samia "
Sitaki...
Uamuzi wa kuondoa wafanyabiashara wadogowadogo almaarufu Machinga 18 Oktoba, kwa maoni yangu una gharama kubwa kuliko faida/manufaa na kwamba unastahili kupitiwa/kudurusiwa upya.
Gharama ziko...
Mheshimiwa spika, nitalisema kwa upole sana suala la machinga maana nikizungumza kwa ukali nitasemwa mimi sio mtanzania lakini nilivyolisea mwanzo nahisi watu hamkunielewa. Niliposema niliambiwa...
Pumzika, Maalim Seif Shariff Hamad.
Waliokukamata na kukusweka Mahabusu mara kadhaa, hata kuwapiga wafuasi wako mpaka kuwavunja, kuwaumiza na wengine mpaka kifo, leo wameungana na kukumiminia...
Mhe. @SuluhuSamia akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 04, 2021 alipokua akitokea nchini Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26...
Kuna mambo ambayo kama yakiangaliwa yanaweza kuturudisha kwenye ramani ya kuwa na influence Africa na kunufaika na mtukio yote yanayoendelea kote Africa.
1. Sera ya mambo ya nje!
a) Tuwe na sera...
Siye siyo wa kwanza kubishana juu ya haki za mtu binafsi zinapoishia ili kupisha maslahi ya taifa. Suala hili limeibuka kwenye kesi ya Mbowe baada ya shahidi kutoka Tigo kutoa ushahidi kutokana na...
Mpango wa sasa wa kupanga uzazi wa Jamhuri ya Watu wa Uchina, unaoangaziwa na sera ya mtoto mmoja kwa kila mwanandoa (sera ya mtoto mmoja), umekuwa mojawapo ya kampeni kubwa na kubwa zaidi za...
Hapo vip!
Katika kesi ya Sabaya vodocom walipanda kizimbani kutoa ushahidi dhidi ya Sabaya ila huu upande ambao kwa sasa hivi wanailalamikia TIGO kutoa ushahidi dhidi ya kesi ya Mbowe waliona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.