Wanabodi, niko hapa jijini Arusha, kuwaletea live, kinachoendelea, kwenye mkutano wa kimataifa wa ITAC
ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on...
Nafuatilia hotuba mbalimbali za viongozi wastaafu kuelekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika.
Nimefurahishwa na hii ya Nyerere anayomzungumzia mchagga mmoja aliyempa mzungu tanzanite na yeye...
Kishindo sekta ya afya nchini Tanzania
Kishindo sekta ya Afya Kanda ya Ziwa
Fuatilia matangazo mubashara
Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani Jijini...
Waziri wa Maji alifanya kikao usiku na DAWASA, kwenye kikao chake amesema kusiwepo na upendeleo wa mgao wa maji.
Amesema pia kuwepo na bei elekezi ya wanaouza maji binafsi.
Hadi hapa waziri...
Kwanza nichukuwe fursa hii kukukaribisha - KARIBU SANA
Pili, nikuombe utusaidie haya yafuatayo:-
(a) Jumuiya za chama
Hizi zianzishe miradi ya kiuchumi ili ziweze kuwa na nguvu za kiuchumi kwa...
Leo katika taarifa ya habari ya Channel Ten nimemsikia Rais mtarajiwa wa awamu ya tano Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina...
Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana kuwateua watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti'...
Mzee wetu Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba amesema kulazimisha watu wakuite wewe kuwa ni mheshimiwa mbunge, mheshimiwa waziri, mheshimiwa diwani huko ni kuweka matabaka kwenye jamii ya...
Kwa sababu wakati mfumo wa vyama vingi vya siasa ukianza rasmi 1992 CCM ilibahatika kurithi mali zote ilizozimiliki wakati wa mfumo wa chama kimoja ambazo kimsingi zilikuwa ni mali za watanzania...
Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia...
Nauliza tu hasa kwa wale wahenga Pascal Mayalla, Mrangi na Mmawia.
Hata mwaka ule tukienda Mutukula kumfurusha Nduli Amin Nyerere alikuwa anapigilia sare za mgambo.
Siku hizi mgambo...
Picha: Prof. Mkumbo
Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo amesema suala la viwanda 100 kila mkoa siyo mpango wake na halipo kwenye Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hata hivyo...
Tangu kesi ya Mbowe ianze ilielezea kidogo sana matukio ya Moshi ambako ndiko tulitegemea milango ilifanyika, sana tulichoshuhudia mbege party, manunuzi ya vocha za simu na safari za hapa na pale...
DC JOKATE: TUMALIZE UJENZI WA MADARASA KWA WAKATI NA MATUNDU YA VYOO
Mkuu wa wilaya ya Temeke mheshimiwa Jokate Mwegelo amewataka viongozi na wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa...
Waziri wa Marekani yuko ziarani Kenya kuongea na mpatanishi wa mgogoro wa Tigray na Ethiopia Rais Uhuru Kenyatta.
Waziri huyo aliyetumwa na Rais Biden wa Marekani amesema atakwenda pia Nigeria na...
Katika hali ya kawaida watanzania wanafikishwa mahali pabaya na utawala wa CCM. Kuibinya demokrasia kwenye taifa kunasababisha taifa kupata raia wakakamavu sana bila sababu.
Utawala wa makaburu...
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.
Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai...
Waziri Ummy: Tegemeeni makubwa ujenzi wa barabara za vijijini.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Ummy Mwalimu amesema dhamira ya dhati ya Serikali ya awamu ya...
Mheshimiwa rais, waheshimiwa mawaziri wa TAMISEMI na biashara, mheshimiwa mkuu wa mkoa pamoja na mkurugenzi wa jiji la Arusha, itifaki imezingatiwa.
Sisi wafanyibiashara katika vibanda vilivyopo...