Dar: RC Makalla apingana na kauli ya Shaka kuhusu Machinga, asema machinga wote wamepangwa vizuri

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,208
42,068
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema zoezi la kuwapanga vizuri Wamachinga katika Jiji la Dar es Salaam limeenda salama pasipo usumbufu wowote na kusema kwa sasa ameagiza maeneo walipoondoka Machinga yasafishwe na yafanyiwe ukarabati.

"Maelekezo ya Rais Samia yalikuwa zoezi lifanyike pasipo matumizi makubwa ya nguvu wala kudhalilisha Mtu, nashukuru maeneo yote mambo yameenda Vizuri".

Makalla amesema zoezi la kuwapanga Vizuri Machinga limekamilika na sasa hatua inayofuata ni usafi wa hali ya juu Dar es Salaam "Kikwazo cha usafi DSM ilikuwa biashara holela, nashukuru hili tumelikwamua, tujiandae kwa usafi endelevu"
 
"Maelekezo ya Rais samia yalikuwa zoezi lifanyike pasipo matumizi makubwa ya nguvu wala kudhalilisha Mtu, nashukuru maeneo yote mambo yameenda Vizuri".

Makalla amesema zoezi la kuwapanga Vizuri Machinga limekamilika na sasa hatua inayofuata ni usafi wa hali ya juu Dar es Salaam "Kikwazo cha usafi DSM ilikuwa biashara holela, nashukuru hili tumelikwamua, tujiandae kwa usafi endelevu"
Huwezi kumpngia machinga ghorofani eti afanye biashara!!!

Walemavu, wagonjwa na wazee watafikaje huko juu kufuata bidhaa?

Huko miti mirefu ndio wapi watu hawajui!!!

Acha apingane naye mwisho wa siku atapendekeza mwondoeni mkuu wa mkoa anatukosesha kura maajabu ksweli.

Sasa hivi ni zamu ya kushughulikiana CCM wenyewe kwa wenyewe; kwa mwisho kumshughulikia mwingine atajilipua mwenyewe ili kukwepa aibu ya kuzomewa

Hakuna mwananchi wa kawaida anayefurahishwa na uongozi wa sasa
 
Aiondoke tu. Machinga wote wanatafuta chama cha kuhamia. Nawashauri waende kwa Mrema TLP
 
Kodi frem ama nenda sokoni ghorofani(chini wenzako wamewahi). Unataka vizuri bila gharam umeona wapi
 
Huwezi kumpngia machinga ghorofani eti afanye biashara!!!

Walemavu, wagonjwa na wazee watafikaje huko juu kufuata bidhaa?

Huko miti mirefu ndio wapi watu hawajui!!!

Acha apingane naye mwisho wa siku atapendekeza mwondoeni mkuu wa mkoa anatukosesha kura maajabu ksweli.

Sasa hivi ni zamu ya kushughulikiana CCM wenyewe kwa wenyewe; kwa mwisho kumshughulikia mwingine atajilipua mwenyewe ili kukwepa aibu ya kuzomewa

Hakuna mwananchi wa kawaida anayefurahishwa na uongozi wa s
Machinga halisi hana kibanda wala kituo maalumu.Biashara yoyote ni ubunifu tu majengo yetu kama machinga hayana gorofa za wateja kushindwa kupanda.Kuna wakati mwaka 2017 nilienda pale niliwakuta akina mama wa kikongo wakinunua kwa wingi sana vikoi vya akina mama pale na ilikua gorofani.Kumbe hoja sio gorofani au underground issue ni product inayopatikana.tatizo letu tunapenda kufanya kila kitu kwa mazoea.
 
Aiondoke tu. Machinga wote wanatafuta chama cha kuhamia. Nawashauri waende kwa Mrema TLP
Machinga kariakoo na posta bado wapo ila kwa sasa wa posta wanatumia ungo, wengine wanapanga viatu kawaida tu. Ips wapo kama kawa, kariakoo wauza line, watengeneza komputer bado wapo
 
Inaonekana kuna mtu au kikundi cha watu kiko nyuma ya machinga na bodaboda. Kamati za ulinzi na usalama zisipokuwa makini na kudhibiti tutayaona ya South Africa.
 
Huwezi kumpngia machinga ghorofani eti afanye biashara!!!

Walemavu, wagonjwa na wazee watafikaje huko juu kufuata bidhaa?

Huko miti mirefu ndio wapi watu hawajui!!!

Acha apingane naye mwisho wa siku atapendekeza mwondoeni mkuu wa mkoa anatukosesha kura maajabu ksweli.

Sasa hivi ni zamu ya kushughulikiana CCM wenyewe kwa wenyewe; kwa mwisho kumshughulikia mwingine atajilipua mwenyewe ili kukwepa aibu ya kuzomewa

Hakuna mwananchi wa kawaida anayefurahishwa na uongozi wa sasa
Kwani wateja wote ni wazee na walemavu acha hizo habari.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema zoezi la kuwapanga vizuri Wamachinga katika Jiji la Dar es Salaam limeenda salama pasipo usumbufu wowote na kusema kwa sasa ameagiza maeneo walipoondoka Machinga yasafishwe na yafanyiwe ukarabati.

"Maelekezo ya Rais Samia yalikuwa zoezi lifanyike pasipo matumizi makubwa ya nguvu wala kudhalilisha Mtu, nashukuru maeneo yote mambo yameenda Vizuri".

Makalla amesema zoezi la kuwapanga Vizuri Machinga limekamilika na sasa hatua inayofuata ni usafi wa hali ya juu Dar es Salaam "Kikwazo cha usafi DSM ilikuwa biashara holela, nashukuru hili tumelikwamua, tujiandae kwa usafi endelevu"
Hivi hawa wamachinga ndio walikuwa kikwazo cha usafi jijini dar? sasa wamepangwa upya, je wamepangwa mkoa mwingine? Au, huko walipopangwa paliwekewa miundombinu gani ili biashara zao siziwe kikwazo kwa usafi? Je sehemu walipopangwa siyo sehemu ya jiji la Dar? Au, kuna maeneo yakichafuka hayana shida, ila mengine yakichafuliwa ndio shida?
 
Machinga halisi hana kibanda wala kituo maalumu.Biashara yoyote ni ubunifu tu majengo yetu kama machinga hayana gorofa za wateja kushindwa kupanda.Kuna wakati mwaka 2017 nilienda pale niliwakuta akina mama wa kikongo wakinunua kwa wingi sana vikoi vya akina mama pale na ilikua gorofani.Kumbe hoja sio gorofani au underground issue ni product inayopatikana.tatizo letu tunapenda kufanya kila kitu kwa mazoea.
Machinga ni mtu au mnyama?

Machinga ni mchuuzi wa bidhaa kwa kumfuata mwenye uhitaji. Kariakoo, Msimbazi au Uhuru ni mapito ya kila siku ya mhitaji wa bidhaa hivyo dhana ya kumfuata mlaji ni sahihi.
 
Machinga maana yake ni mtu anayetembeza bidhaa barabarani na sio kupanga biashara mbele ya biashara za watu ama kufanyia baishara kwenye mitaro na kuzuia barabara. watoke haraka huko RC komaa hapo hapo

Back
Top Bottom