Wanavyofanya Musukuma na Polepole ni ushahidi wa ukomavu wa Rais Samia kisiasa

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,307
12,602
Polepole na Musukuma ni watu wanaopingana na Rais Mama Samia kwenye kila kitu. Wanabweka kwenye mitandao kupinga maamuzi ya Rais.

Walipinga chanjoweeeeee lakini mwishowe nadhani na wawo walichanja kimyakimya.

Sasa hivi wanapinga uwamuzi wa mama Samia wa kuisafisha miji, eti miji isisafishwe eti kuwatetea wavamizi na wachafuzi wa maeneo wasiondolewe mitaani.

Kwenye awamu ya Tano hawakuwa hivyo hata kidogo, kule barabara ya ubungo kimara maelelfu ya watu wakiwemo wamachinga waliondolewa kinyama kabisa kupisha upanuzi wa barabara tena walivunjia hata kule ambako barabara haitafika lakini Polepole na Musukuma hawakunyanyua midomo Yao hata millimeter moja kupinga na kutetea.

Leo hii eti miji isisafishwe ili watembea kwa miguu wawatunze wamachinga kwa kuwaachia njia zao za kukwepea magari kuepuka ajali. Kwa akili za Polepole na Musukuma wamachinga Wana haki kuliko watanzania waliozibiwa njia zao za kutembelea na kuchafuliwa mazingira yao.

Hizi ni Chuki za wazi ambazo ni kiongozi mkomavu TU ndiye anaeweza kuzivumilia.

Wamachinga ni sehemu ya jamii yetu, hawako pale kwa msingi ya dini, kabila Wala mkoa. Ni WA dini zote, makabila yote na kutoka mikoa yote ya bara na visiwani, hakuna mwenye Chuki nao binafsi, lakini huwezi kuchukua haki za watanzania wengine ukawapa wamachinga eti kwakuwa wanatafuta riziki. Lazima tuanzie pahala katika kutatua kero za makundi yote bila upendeleo.

Polepole na Musukuma hawatoi njia mbadala ya kuhakikisha usalama wa watembea kwa miguu, mitaro iliyozibwa, vibanda vya wamachinga wanamokimbilia vibaka kukwepa kukamatwa wanapowaibia watanzania wenzao au maji yanaotuama na kufurika nyakati za mvua kwa njia za maji kuzibwa.

Hizi ni siasa uchwara kabisa, Maana haki yako lazima ikomee pale inapoanza haki ya mwenzio. Kwanini haki ya mmachinga isikomee pale haki ya mtembea kwa miguu inapoanzia?

Heshima ni kujiheshimu, Mama Samia kaletwa na Mungu kwetu hakupiga kampeni ya kuwa Rais, kila mtu analifahamu hilo, tumheshimu, wacha atengeneze pale wenzake waliposhindwa. Mama Samia ni mwanamke, na tabia ya akinamama ni usafi, Wacha asafishe maana hakuna sheria yoyote anayokiuka kwa kuwaondoa, huwezi kuendesha nchi kwakutumia moyo badala ya akili/ubongo.

Rais Samia atapigiwa kura za kishindo na wale watanzania ambao:
1. Wanaopenda utaratibu kwenye kila jambo. Nchi ilikosa utaratibu, jogoo wa sh.15,000 alinunuliwa kwa sh.100,000, Waziri alitumbuliwa mbele ya kadamnasi na matusi juu na yeye mwenyewe, mkewe na watoto wakiwepo.
2. Wanaopenda uhuru wa kutoa mawazo bila kubugudhiwa.
3. Wanaoamini kwenye haki za binadamu bila kujali jinsia yake.
4 wanaopenda usafi na miji safi
5. Unaopenda utawala wa sheria.
6. Wanaopenda kuona mihili yote inafanyakazi kazi zake bila kuingiliwa.
 
1. Wanaopenda utaratibu kwenye kila jambo.

Sidhani kama wanapinga,wasichokubaliana ni njia inayotumika kusafisha miji hiyo,athari ,ni haki yao
 
Hahahaha yote uliyotaja 1-6,hakuna linalogusa moja kwa moja wapiga kura ambao ndo huamua Nani apite.

Hizi ni hoja za ujuajijuaji wa JF.

Kama chanjo siyo issue mbona Watanzania wameigomea?
Kama wamachinga siyo issue subiri 2025.
 
Njia gani hizo ungependa wazitumie kuwaondoa? Hivi utesema nini siku waenda kwa miguu wangejichukulia sheria ya kuzikanyaga nyanya zilizopangwa kwenye njia zao? Mwenda kwa miguu anataka njia yake apite Leo sio kesho Wala kwa awamu. Mvua kubwa za vuli zinakaribia kunyesha wenye magari, nyumba na wakazi wote wanataaka mitaro yote iwe wazi Leo kuruhusu maji yapite sio kesho Wala kwa awamu.
 
Hahahaha yote uliyotaja 1-6,hakuna linalogusa moja kwa moja wapiga kura ambao ndo huamua Nani apite.

Hizi ni hoja za ujuajijuaji wa JF.

Kama chanjo siyo issue mbona Watanzania wameigomea?
Kama wamachinga siyo issue subiri 2025.
Umeigomea wewe sio watanzania. Juzi nilikutana na mtu anaitafuta chanjo hata kwa kulipa laki 5 achanjwe, maana anataka kusafiri na bila chanjo hapewi hata booking ya ndege achilia mbali Visa
 
Samia ataangukia pua Wala asihangaikie urais. Makundi yafuatayo yatamkwamisha...
1. Wasiopenda tozo. Hapa ni watanzania wote.
2. Wasiopenda ukandamizaji.
Samia hapo alipofika hata asipochaguliwa tena hataacha kumshukuru MwenyeziMungu, Kuna watu wanaomba wawe Marais japo kwa wiki moja tu na haiwezekani. Mama asiache kufanyakazi mzuri eti kwasababu ya 2025.

CCM sio wapiga kura wanaosababisha mtu achaguliwe, ukiwaza hivyo umejidanganya. Wacha tuisuke vizuri safu ya uongozi ndani ya chama chetu. Mbona wasiokuwa na vyeti, watumishi hewa, na wasioongezwa mishahara walitishiaga hayohayo ya kupiga kura, kwani hukuona kilichotokea?

Wamachinga hawana muda wa kupiga kura na kulinda wewe tusidanganyane.
 
Kweli asee, machinga ni mashabiki tu kama bodaboda na bajaji lakini hawapigi kura
 
Umeigomea wewe sio watanzania. Juzi nilikutana na mtu anaitafuta chanjo hata kwa kulipa laki 5 achanjwe, maana anataka kusafiri na bila chanjo hapewi hata booking ya ndege achilia mbali Visa
Chanjo 1m, Watanzania 60m,zimegoma kuisha mpaka zimeshaexpire tu,imebidi walete za mchina nazo doro tu.
Hiii ndo TZ ya JPM,ukijitenga naye utaangukia pua.
 
Polepole na Musukuma ni watu wanaopingana na Rais Mama Samia kwenye kila kitu. Wanabweka kwenye mitandao kupinga maamuzi ya Rais.

Walipinga chanjoweeeeee lakini mwishowe nadhani na wawo walichanja kimyakimya.

Sasa hivi wanapinga uwamuzi wa mama Samia wa kuisafisha miji, eti miji isisafishwe eti kuwatetea wavamizi na wachafuzi wa maeneo wasiondolewe mitaani.

Kwenye awamu ya Tano hawakuwa hivyo hata kidogo, kule barabara ya ubungo kimara maelelfu ya watu wakiwemo wamachinga waliondolewa kinyama kabisa kupisha upanuzi wa barabara tena walivunjia hata kule ambako barabara haitafika lakini Polepole na Musukuma hawakunyanyua midomo Yao hata millimeter moja kupinga na kutetea.

Leo hii eti miji isisafishwe ili watembea kwa miguu wawatunze wamachinga kwa kuwaachia njia zao za kukwepea magari kuepuka ajali. Kwa akili za Polepole na Musukuma wamachinga Wana haki kuliko watanzania waliozibiwa njia zao za kutembelea na kuchafuliwa mazingira yao.

Hizi ni Chuki za wazi ambazo ni kiongozi mkomavu TU ndiye anaeweza kuzivumilia.

Wamachinga ni sehemu ya jamii yetu, hawako pale kwa msingi ya dini, kabila Wala mkoa. Ni WA dini zote, makabila yote na kutoka mikoa yote ya bara na visiwani, hakuna mwenye Chuki nao binafsi, lakini huwezi kuchukua haki za watanzania wengine ukawapa wamachinga eti kwakuwa wanatafuta riziki. Lazima tuanzie pahala katika kutatua kero za makundi yote bila upendeleo.

Polepole na Musukuma hawatoi njia mbadala ya kuhakikisha usalama wa watembea kwa miguu, mitaro iliyozibwa, vibanda vya wamachinga wanamokimbilia vibaka kukwepa kukamatwa wanapowaibia watanzania wenzao au maji yanaotuama na kufurika nyakati za mvua kwa njia za maji kuzibwa.

Hizi ni siasa uchwara kabisa, Maana haki yako lazima ikomee pale inapoanza haki ya mwenzio. Kwanini haki ya mmachinga isikomee pale haki ya mtembea kwa miguu inapoanzia?

Heshima ni kujiheshimu, Mama Samia kaletwa na Mungu kwetu hakupiga kampeni ya kuwa Rais, kila mtu analifahamu hilo, tumheshimu, wacha atengeneze pale wenzake waliposhindwa. Mama Samia ni mwanamke, na tabia ya akinamama ni usafi, Wacha asafishe maana hakuna sheria yoyote anayokiuka kwa kuwaondoa, huwezi kuendesha nchi kwakutumia moyo badala ya akili/ubongo.

Rais Samia atapigiwa kura za kishindo na wale watanzania ambao:
1. Wanaopenda utaratibu kwenye kila jambo.
2. Wanaopenda uhuru wa kutoa mawazo bila kubugudhiwa.
3. Wanaoamini kwenye haki za binadamu bila kujali jinsia yake.
4 wanaopenda usafi na miji safi
5. Unaopenda utawala wa sheria.
6. Wanaopenda kuona mihili yote inafanyakazi kazi zake bila kuingiliwa.
kavulata: Wewe inawezekana unasema kinyume chake< Heri masikini mwenye afya kuliko tajiri mgonjwa)= sasa huyo masikini aliyekuwa anadamka alfajiri anapika vitumbua ili auze apate riziki ya yeye na wanae, hiyo afya atapata wapi?. Labda ungesema wakati tajiri anameng'enya chakula kwa utumbo mrefu, maskini anameng'enya kwa utumbo mfupi ili aweze kushiba. Hapo kwakweli jeshi la polisi lijipange kuwabadilisha majina vibaka. Over
 
Samia ataangukia pua Wala asihangaikie urais. Makundi yafuatayo yatamkwamisha...
1. Wasiopenda tozo. Hapa ni watanzania wote.
2. Wasiopenda ukandamizaji.
Hivi ulikuwepo wakati wa kodi ya kichwa mkuu? Au kodi ya kipande cha baiskeli? Tozo ya miamala ni njia nzuri ya kumfanyia kila mmoja alipe kodi bila kutumia njia za kibabe kama za kodi ya kichwa na kodi ya kipande. Watanzania hamjazoea civilization.
 
Umeigomea wewe sio watanzania. Juzi nilikutana na mtu anaitafuta chanjo hata kwa kulipa laki 5 achanjwe, maana anataka kusafiri na bila chanjo hapewi hata booking ya ndege achilia mbali Visa
Anatafuta chanjo kwa sababu anataka kusafiri, tofauti na hapo asinge tafuta
 
Polepole na Musukuma ni watu wanaopingana na Rais Mama Samia kwenye kila kitu. Wanabweka kwenye mitandao kupinga maamuzi ya Rais.

Walipinga chanjoweeeeee lakini mwishowe nadhani na wawo walichanja kimyakimya.

Sasa hivi wanapinga uwamuzi wa mama Samia wa kuisafisha miji, eti miji isisafishwe eti kuwatetea wavamizi na wachafuzi wa maeneo wasiondolewe mitaani.

Kwenye awamu ya Tano hawakuwa hivyo hata kidogo, kule barabara ya ubungo kimara maelelfu ya watu wakiwemo wamachinga waliondolewa kinyama kabisa kupisha upanuzi wa barabara tena walivunjia hata kule ambako barabara haitafika lakini Polepole na Musukuma hawakunyanyua midomo Yao hata millimeter moja kupinga na kutetea.

Leo hii eti miji isisafishwe ili watembea kwa miguu wawatunze wamachinga kwa kuwaachia njia zao za kukwepea magari kuepuka ajali. Kwa akili za Polepole na Musukuma wamachinga Wana haki kuliko watanzania waliozibiwa njia zao za kutembelea na kuchafuliwa mazingira yao.

Hizi ni Chuki za wazi ambazo ni kiongozi mkomavu TU ndiye anaeweza kuzivumilia.

Wamachinga ni sehemu ya jamii yetu, hawako pale kwa msingi ya dini, kabila Wala mkoa. Ni WA dini zote, makabila yote na kutoka mikoa yote ya bara na visiwani, hakuna mwenye Chuki nao binafsi, lakini huwezi kuchukua haki za watanzania wengine ukawapa wamachinga eti kwakuwa wanatafuta riziki. Lazima tuanzie pahala katika kutatua kero za makundi yote bila upendeleo.

Polepole na Musukuma hawatoi njia mbadala ya kuhakikisha usalama wa watembea kwa miguu, mitaro iliyozibwa, vibanda vya wamachinga wanamokimbilia vibaka kukwepa kukamatwa wanapowaibia watanzania wenzao au maji yanaotuama na kufurika nyakati za mvua kwa njia za maji kuzibwa.

Hizi ni siasa uchwara kabisa, Maana haki yako lazima ikomee pale inapoanza haki ya mwenzio. Kwanini haki ya mmachinga isikomee pale haki ya mtembea kwa miguu inapoanzia?

Heshima ni kujiheshimu, Mama Samia kaletwa na Mungu kwetu hakupiga kampeni ya kuwa Rais, kila mtu analifahamu hilo, tumheshimu, wacha atengeneze pale wenzake waliposhindwa. Mama Samia ni mwanamke, na tabia ya akinamama ni usafi, Wacha asafishe maana hakuna sheria yoyote anayokiuka kwa kuwaondoa, huwezi kuendesha nchi kwakutumia moyo badala ya akili/ubongo.

Rais Samia atapigiwa kura za kishindo na wale watanzania ambao:
1. Wanaopenda utaratibu kwenye kila jambo.
2. Wanaopenda uhuru wa kutoa mawazo bila kubugudhiwa.
3. Wanaoamini kwenye haki za binadamu bila kujali jinsia yake.
4 wanaopenda usafi na miji safi
5. Unaopenda utawala wa sheria.
6. Wanaopenda kuona mihili yote inafanyakazi kazi zake bila kuingiliwa.
Hapo uliposema nadhani,
Nikajua tu umeandika ukiwa emotional and irrational wala sio relevance.
Endelea kudhani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom