Kwanini maeneo mengi ambayo CCM ina nguvu ndio yanayoongoza kwa umasikini?

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Habari zada huu

Naomba moja kwa moja niende kwenye mada maana nina ushahidi pia licha ya kwamba kama upo wanajamvi mnaweza kuuweka

Katika pita pita yangu humu jf nilikutana na reply moja na ukuu "maeneo mengi ambayo CCM inanguvu ni masikini sasa"

Moja kwa moja ikabidi nianze kuangalia maeneo ambayo nimeishi na kugundua ni ukweli kabisa

Haya ni baadhi ya maeneo ambayo nimeishi na kugundua hicho kitu

1)MOROGORO VIJIJINI
Hili ni moja ya jimbo ambalo CCM ina nguvu sana lakini ni moja ya na watu wa huku huwaambii kitu kuhusu ccm lakini cha ajabu mpaka leo huduma bado nishida
*Maji watu wa huku wanatumia maji ya mtoni maana maji yanayotoka kwenye mabomba ni ya chumvi kiasi kwamba ukupikia chai halafu ukiweka malengo sukari inakuwa kama ule mchanganyiko wa watu wanaohara. Miradi wa maji ya mto wami ulianzishwa tangu nipo shule ya msingi lakini hadi leo nipo chuo mwaka wa 4 huo miradi haujawahi kuisha tangu uhuru jimbo lipo chini ya CCM
*Umeme pamoja na SGR kupita na kuweka station Ngerengere lakini pia unakatika hovyo kama unakiuno vile
*Barabara huku pia barabara ni mbovu hasa sinazoelekea katika bwawa la kidunda huko barabara ni kiangazi tu ila Masika hakuna kitu
*Shamba la mifugo hili shamba la mifugo (LMU) zamani DAFCO hili shamba lilikuwa la wazungu lakini serikali ikalichukua pia lipo Ngerengere takribani Km 7 hadi stesheni mpya ya SGR cha ajabu halina msaada wowote kwa wafugaji wa kata za jirani na serikali kama wamesahau vile na hakuna mbunge aliyewahi kuizungumzia hata bungeni.

Baadhi wa wabunge waliowahi kupita hapa
=Semindu Pawa (RIP) huyu alikuwa anachukua chupa za maji waliyokunywa wabunge anawapelekea wananchi wawekeze maji wakienda shamba alichofanya hola baadae kutaka ubunge wananchi wakamkataa kabisaaaaaa
=Lucy Nkya nani amesahau mgomo wa madaktari enzi ya Kikwete huyu ndie alikuwa naibu waziri nae hola
=Babu Bate katika wabunge ambao hili jimbo wepigwa ni huyu sasa

2) MOROGORO MJINI
Hawa ndio hola kabisaaa yani kupewa gari la kwenda kuzika na mbunge wao ndio wanaona imetosha lakini na penyewe hamna kitu

*Maji huduma ya maji kwenye maeneo ya Tungi, lukobe, mkundi, Bigwa, Pangawe, bado tatizo licha ya uwepo wa bwawa la mindu hayo maeneo hawapati maji hata ya mgao na kwenyewe CCM imechachamaa
*Barabara maeneo yote yaliyokuwa chini ya upinzani 2015-2020 hawakujengewa barabara nasubiri kuona 2025 itakuwaje na pia barabara nyingi zipo chini ya kiwango mfano barabara ya kutoka mwembesongo Kwenda Nunge hata miaka 10 bado ila tayari haitamaniki
*Stendi katika vitu walibugia ni hapa kupeleka stendi nje ya mji ambako hakuna huduma ya muhimu ya kuifuata kule
*Viwanda mkoa una viwanda vingi ila cha ajabu vingi ni magofu jaribu kutembelea Kihonda viwandani ujionee mwenyewe
*Mkoa kama ule ambao wanataka liwe jiji hauna shopping mall wala super market hata moja (rejea master plan ya manispaa ya Morogoro) wanashindwa hata kutafuta muwekezaji hata mmoja

Mbunge wao ni Aziz Abood

3)CHALINZE
Hapa ndio kabisaaaa hola na nusu
*Maji huduma ya maji ni shida chalinze tangu CHALIWASA ihamishiwe DAWASA ndio kabisaaa maji ni ya chumvi ila bado hayapatikani

4)NGARA, MULEBA, BIHARAMULO, KYERWA , KARAGWE
Huki na kwenyewe ni uozo mtupu hasa hasa bara bara ukiacha Regional road inayounganisha Shinyanga na Kagera kupitia Muleba na Biharamulo na Geita na Kagera kupia Muleba lakini bado licha ya kwamba ni maeneo yanayozalisha sana ndizi na kahawa ila miundombinu ya barabara sio wezeshi
Maji nayo ni shida pia hasahasa kyerwa huko kote CCM mbele kwa mbele

Halafu naomba ulinganishe na majimbo yaliyokuwaga chini ya upinzani kwa wakati huo

NB: Sijazungumzia kipato cha mtu mmoja mmoja nimezungumza umasikini wa miundombinu n huduma nyinginezo

KAMA KUNA JIMBO LINGINE UNALIFAHAMU HEBU LITAJE
 
Mkuu unapafahamu Kigoma? Hasa majimbo yanayopendwa na upinzani kama Kigoma mjni na Ujiji?

Nadhani suala la eneo fulani kuwa ngome ya CCM halihusiani na umaskini. Tufanye utafiti ili tuje na majibu sahihi.
 
Mtera kwa Kibajaji mzee wa kutukana.

Jimbo la Ndugaye.
 
Mkoa wa Kagera japo barabara nyingi ni vumbi lakini zinapitika bwana alafu mkoa unaweza barabara moja ya kuingia na kutoka tofauti na hapo ni barabara za kwenda vijijini
 
Haya hebu zungumza barabara ya Nyakanazi , karagwe kwenda kyerwa hadi boda ya murongo halafu achana na kile kipande cha mlima rwabununka halafu zungumzia Karagwe to Benako na NGARA lami inaishia nyakahanga hospital hapo Sijazungumzia Taxi za kwenda nyaishozi zinazobeba abiria 13 bado Sijazungumzia shida ya maji omurushaka( hawa wanafuata maji nyakagera na maji ya kugombea) na Nyakasana (hawa wanafuata maji katoke ambako wanakunywa na mifugo) hapo Sijazungumzia nkwenda licha ya kwamba kuna bwawa kubwa tu ila maji bado nishida sijaenda rubwera nako ni yale yale maji hakuna sijagusa nyakatuntu bado chakalema chakalulu hebu tulia bro acha kutetea
 
Kwa Lukuvi na hii Subwoofer unaweza lia!!!
IMG_0848.jpg
 
Umesahau Rukwa,Chunya,Singida na Dodoma.
 
Haya hebu zungumza barabara ya Nyakanazi , karagwe kwenda kyerwa hadi boda ya murongo halafu achana na kile kipande cha mlima rwabununka halafu zungumzia Karagwe to Benako na NGARA lami inaishia nyakahanga hospital hapo Sijazungumzia Taxi za kwenda nyaishozi zinazobeba abiria 13 bado Sijazungumzia shida ya maji omurushaka( hawa wanafuata maji nyakagera na maji ya kugombea) na Nyakasana (hawa wanafuata maji katoke ambako wanakunywa na mifugo) hapo Sijazungumzia nkwenda licha ya kwamba kuna bwawa kubwa tu ila maji bado nishida sijaenda rubwera nako ni yale yale maji hakuna sijagusa nyakatuntu bado chakalema chakalulu hebu tulia bro acha kutetea
Inaonekana kwa wanyambo unapafahamu sana mkuu
 
Habari zada huu

Naomba moja kwa moja niende kwenye mada maana nina ushahidi pia licha ya kwamba kama upo wanajamvi mnaweza kuuweka

Katika pita pita yangu humu jf nilikutana na reply moja na ukuu "maeneo mengi ambayo CCM inanguvu ni masikini sasa"

Moja kwa moja ikabidi nianze kuangalia maeneo ambayo nimeishi na kugundua ni ukweli kabisa

Haya ni baadhi ya maeneo ambayo nimeishi na kugundua hicho kitu

1)MOROGORO VIJIJINI
Hili ni moja ya jimbo ambalo CCM ina nguvu sana lakini ni moja ya na watu wa huku huwaambii kitu kuhusu ccm lakini cha ajabu mpaka leo huduma bado nishida
*Maji watu wa huku wanatumia maji ya mtoni maana maji yanayotoka kwenye mabomba ni ya chumvi kiasi kwamba ukupikia chai halafu ukiweka malengo sukari inakuwa kama ule mchanganyiko wa watu wanaohara. Miradi wa maji ya mto wami ulianzishwa tangu nipo shule ya msingi lakini hadi leo nipo chuo mwaka wa 4 huo miradi haujawahi kuisha tangu uhuru jimbo lipo chini ya CCM
*Umeme pamoja na SGR kupita na kuweka station Ngerengere lakini pia unakatika hovyo kama unakiuno vile
*Barabara huku pia barabara ni mbovu hasa sinazoelekea katika bwawa la kidunda huko barabara ni kiangazi tu ila Masika hakuna kitu
*Shamba la mifugo hili shamba la mifugo (LMU) zamani DAFCO hili shamba lilikuwa la wazungu lakini serikali ikalichukua pia lipo Ngerengere takribani Km 7 hadi stesheni mpya ya SGR cha ajabu halina msaada wowote kwa wafugaji wa kata za jirani na serikali kama wamesahau vile na hakuna mbunge aliyewahi kuizungumzia hata bungeni.

Baadhi wa wabunge waliowahi kupita hapa
=Semindu Pawa (RIP) huyu alikuwa anachukua chupa za maji waliyokunywa wabunge anawapelekea wananchi wawekeze maji wakienda shamba alichofanya hola baadae kutaka ubunge wananchi wakamkataa kabisaaaaaa
=Lucy Nkya nani amesahau mgomo wa madaktari enzi ya Kikwete huyu ndie alikuwa naibu waziri nae hola
=Babu Bate katika wabunge ambao hili jimbo wepigwa ni huyu sasa

2) MOROGORO MJINI
Hawa ndio hola kabisaaa yani kupewa gari la kwenda kuzika na mbunge wao ndio wanaona imetosha lakini na penyewe hamna kitu

*Maji huduma ya maji kwenye maeneo ya Tungi, lukobe, mkundi, Bigwa, Pangawe, bado tatizo licha ya uwepo wa bwawa la mindu hayo maeneo hawapati maji hata ya mgao na kwenyewe CCM imechachamaa
*Barabara maeneo yote yaliyokuwa chini ya upinzani 2015-2020 hawakujengewa barabara nasubiri kuona 2025 itakuwaje na pia barabara nyingi zipo chini ya kiwango mfano barabara ya kutoka mwembesongo Kwenda Nunge hata miaka 10 bado ila tayari haitamaniki
*Stendi katika vitu walibugia ni hapa kupeleka stendi nje ya mji ambako hakuna huduma ya muhimu ya kuifuata kule
*Viwanda mkoa una viwanda vingi ila cha ajabu vingi ni magofu jaribu kutembelea Kihonda viwandani ujionee mwenyewe
*Mkoa kama ule ambao wanataka liwe jiji hauna shopping mall wala super market hata moja (rejea master plan ya manispaa ya Morogoro) wanashindwa hata kutafuta muwekezaji hata mmoja

Mbunge wao ni Aziz Abood

3)CHALINZE
Hapa ndio kabisaaaa hola na nusu
*Maji huduma ya maji ni shida chalinze tangu CHALIWASA ihamishiwe DAWASA ndio kabisaaa maji ni ya chumvi ila bado hayapatikani

4)NGARA, MULEBA, BIHARAMULO, KYERWA , KARAGWE
Huki na kwenyewe ni uozo mtupu hasa hasa bara bara ukiacha Regional road inayounganisha Shinyanga na Kagera kupitia Muleba na Biharamulo na Geita na Kagera kupia Muleba lakini bado licha ya kwamba ni maeneo yanayozalisha sana ndizi na kahawa ila miundombinu ya barabara sio wezeshi
Maji nayo ni shida pia hasahasa kyerwa huko kote CCM mbele kwa mbele

Halafu naomba ulinganishe na majimbo yaliyokuwaga chini ya upinzani kwa wakati huo

NB: Sijazungumzia kipato cha mtu mmoja mmoja nimezungumza umasikini wa miundombinu n huduma nyinginezo

KAMA KUNA JIMBO LINGINE UNALIFAHAMU HEBU LITAJE
Kama suala la kulinganisha hoja, hebu tueleze maeneo ambako aidha CUF au CHADEMA au ZITO,s NGO au Mrema's NGO wana nguvu na hali ya maisha na umasikini ikoje huko as per your UTAFITI!
 
Back
Top Bottom