Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi ni kwanini vijana hawaaminiki katika jamii yetu? Kuna wanaosema vijana hamna kitu, ni washenzi, wamechanganyikiwa, ni wavivu, matapeli, matokeo yake vijana hawapewi nafasi katika vyombo vingi...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi? Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba...
19 Reactions
99 Replies
5K Views
1. Ujamaa ulikufa kwa sababu ya viongozi kushupaza shingo kwa kukataa kukosolewa. 2. Viwanda vilivyobinafsishwa ( japo sera ilikuwa nzuri) haijulikani abc za nini kinaendelea. Wachina wako busy...
1 Reactions
0 Replies
484 Views
Juzi nimeona picha na video ya Waziri Makamba kuwa amekutana na makampuni ya uwekezaji kwenye mradi mkubwa wa gesi wa trillion 70. Cha ajabu ni kuwa kuna timu ya Taifa ya Majadiliano ya uwekezaji...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa kawaida tulitarajia... 1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo. 2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa. UHALISIA 1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Leo tarehe 11/11/2021 yanatolewa maamuzi ya kesi ndogo Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ndogo ya Mbowe...
38 Reactions
166 Replies
34K Views
Nchi hii ya kufikirika ilibahatika kupata watawala mbalimbali , wote wakiwa mashujaa katika kutawala taifa lao, hata hivyo kadri watawala walivyoongezeka na miaka ilivyopita wakaibuka watawala...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
85℅ya watanzania ni wakulima,kutokiweka kilimo kama kipaumbele cha kwanza cha taifa ni sawa na kufanya ugaidi. Tabia za Mwigulu zimejipambanua ktk bajeti ijayo,kilimo kakituma mbali,hii inatoa...
1 Reactions
4 Replies
776 Views
Nipo hapa Makutupora kambini JKT nimetumia medani za kijeshi kupata access ya JF na kuwaleteeni taarifa hii usiku huu. Maiti ya askari imeokotwa porini ikiwa imebakia fuvu na mifupa ya uti wa...
8 Reactions
42 Replies
13K Views
Washtakiwa watano katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa kada wa CHADEMA Alphonce Mawazo wamepandishwa kizimbani leo katika mahakama kuu Geita Kujua jinsi Kamanda Mawazo alivyouawa kikatili huko...
4 Reactions
41 Replies
10K Views
Tarehe 28 July. Chacha Wangwe, mwanamageuzi thabiti alipoteza maisha katika mazingira ya kutatanisha. Alikufa baada ya kuhitilafiana na viongozi wa CHADEMA. Leo tena, tarehe kama hiyo Lowassa...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM. Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR...
32 Reactions
81 Replies
6K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Viongozi na watendaji wa Wizara na Idara za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutekeleza wajibu wao katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ndio kauli iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla kwenye kikao cha viongozi kilichoketi Jijini humo ili kujadili masuala mbalimbali , likiwemo la maandalizi ya sherehe za...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu! Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea...
51 Reactions
141 Replies
10K Views
Kwako mkuu wa mkoa, ningependa kuzungumza na wewe kuhusu kamati yako ya kutatua migogoro iliyopiga kambi Mabwepande Sidhani kama unajua kwa kina uhalisia wa hali ya huku kimazingira na haki za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee. Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano. Muhimu ni watu kutenda...
10 Reactions
104 Replies
7K Views
MISRI NI KETE MUHIMU KWENYE DIPLOMASIA YA UCHUMI TANZANIA Uhuru Na Umoja Ukitaka kwenda upesi nenda peke yako, lakini ukitaka kwenda mbali nenda na wenzako, msemo huu wa wahenga ndiyo unaoongoza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Namshauri tu kulingana na utamaduni wa CCM inaeleweka wazi baada ya Rais Samia kumaliza muhula wake wa pili 2030 atakayepokea kijiti ni mgombea kutoka kwa Wagalatia. Hivyo namshauri January akate...
25 Reactions
185 Replies
14K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu. Ziara...
8 Reactions
155 Replies
15K Views
Back
Top Bottom