Wakati mnawafanyia harassment wamachinga, mnakumbuka habari ya Mohamed Bouazizi aliyesabababisha serikali za kiarabu kuanguaka?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,087
6,568
Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.

Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao.

Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa harassment? Mohamed Boazizi alifanyiwa harassment kama hizi mnazowafanyia wamachinga hivi leo. Mohamed Boazizi aliaambiwa na mamlaka za Tunisia hivi hivi, kuwa anafanya biashara mahala pasipofaa. Mamlaka zilisahau kuwa ana watoto ndugu na jamaa wanaomtegemea.

Mohamed Boazizi alijimwagia Petrol na kujipiga kiberiti. Jambo ambalo lilisababisha serikali ya Tunisia,Libya na Egypt kuanguka.
image_search_1635003926863.jpg
 
Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.

Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao.

Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa harassment? Mohamed Boazizi alifanyiwa harassment kama hizi mnazowafanyia wamachinga hivi leo. Mohed Boazizi aliaambia na mamlaka za Tunisia hivi hivi, kuwa anafanya biashara mahala pasipofaa. Mamlaka zilisahau kuwa ana watoto ndugu na jamaa wanaomtegemea.

Mohamed Boazizi alijimwagia Petrol na kujipiga kiberiti. Jambo ambalo lilisababisha serikali ya Tunisia,Libya na Egypt kuanguka.
View attachment 1984517
Tanzania ni kisiwa cha amani
 
So mji hautakiwi kupangiliwa?
Miji upangiliwe kwanza, sio kuhamisha watu kinyama kabla ya kupangilia.

Watawala wamefanya kosa kubwa kuhamisha kinyemela shughuli za kiuchumi kutoka Dodoma na kuzipeleka Dar ambako mji wake ulibuniwa miaka ya 1890, Mwanza 1892, Arusha 1905, Moshi 1898, Mbeya 1915 nk. Ardhi haiongezeki lakini watu na shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii zinaongezeka kila kukicha hivyo haiwezekani kupangilia na kuacha nafasi huru kwa matumizi ya umma bila bughudha.
 
Uzuri hapa kwetu Mh Mama hajawapuuza kasema machinga wapangwe kwa majadiliano and so far tayari watu wanatii...

Haifanani na ya Tunisia...

Ingekua we ndo Raisi ungefanyaje?.
Muda mwingine tulibebe hili suala kama letu wote kama nchi
Ni mjinga atakaye kubali hayo mawazo yako ya kilaghai eti tulibebe hili swala la kitaifa.

Wakati mmebanwa kama kama panya ndiyo mnajua kuwa kuna utaifa?

Wakati mmawanyanyasa wapinzani kwa kuwapiga virungu na wengune kuwasweka ndani mnasahau kuwa nao ni watanzania wa taifa moja?

Kila mtu aubebe msaraba wake.
 
Sasa unataka Serikali iwafanyeje machinga?
 
Harassment
Kuna machinga kapigwa tangu hili zoezi limeanza?kweli kunyanyasa watu hilo si zuri hata Mh Rais amekataa

Kuambiwa kuhama sehemu isiyo rasmi ni harrassment?

Nakubaliana na suala la wafanyabiashara kutafutiwa maeneo mbadala ama wao kupangisha fremu rasmi
 
Kuna machinga kapigwa tangu hili zoezi limeanza?kweli kunyanyasa watu hilo si ziri hata Mh Rais amekataa

Kuambiwa kuhama sehemu isiyo rasmi ni harrassment?

Nakubaliana na suala la wafanyabiashara kutafutiwa maeneo mbadala ama wao kupangisha fremu rasmi
Kwahiyo unapingana na mh Magufuri?
 
Back
Top Bottom