Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Karibuni wanavyuo mnaokosa ajira mkishuhudia ajira zikirudi kwa walewale miaka nenda rudi. Karibuni wamachinga, karibuni mama lishe. Karibuni wale mliokosa matumaini ndani ya CCM na vyama...
10 Reactions
117 Replies
6K Views
Naona spika anapenda kijilinganisha na watu waliomzidi sana. Kwanza ilikuwa Prof Assad sasa Mzee Ulimwengu.
17 Reactions
66 Replies
48K Views
Wakili wa Serikali Abdallah Chavula: Ikupendeze mheshimiwa jaji, tumesikikiza mapingamizi kutoka kwa wenzetu wa utetezi kuhusu upokelewaji wa kielelezo hiki. Kiujumla sisi hatukubaliani nao...
12 Reactions
7 Replies
2K Views
Twende sawa hapa na Kwa utulivu mkubwa!!! Siku zote mwenye akili kubwa hapendwi kwenye jamii yake. Twende pamoja.... 1. Kifo Cha Socrates kilitokana na kuuwawa Kwa Sumu iliyoitwa "Hemlock" ni...
28 Reactions
32 Replies
3K Views
Kimekuwa ni kilio cha muda mrefu sana kuhusu ukosefu wa ajira hapa nchini kwa makundi yote yaaani wenye elimu za juu, kati na hata chini ,lakini serikali za awamu zote zijaona kama zimekuja na...
1 Reactions
1 Replies
793 Views
Makamu wa Rais Dkt. @dr_philip_isdor_mpango leo 🗓Nov 14,2021 anatarajia kuondoka Nchini kuelekea Sentosa Island Nchini 🇸🇬Singapore kushiriki mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Katika kesi ya shujaa wa siasa za Tanzania yapo mambo kumi yanayosisimua nakuonyesha aina ya binadamu tunaokutana nao misikitini na makanisani walivyo na roho za kikatili, ntaeleza kwa mfumo wa...
50 Reactions
51 Replies
48K Views
Kama wote tunavyofahamu, Marekani ilikaliwa/Ilitawaliwa na Uingereza kwa zaidi ya miaka 150 (1510-1776) baadaye Kizazi cha 3 kilianza kupigania Uhuru wao dhidi ya babu zao. Kijana mmoja aitwaye...
4 Reactions
2 Replies
883 Views
Watanzania tunahitaji mageuzi makubwa sana ili tuondoke hapa tulipokwamishwa,karibia mifumo yote ya uendeshaji nchi imevurugwa na imevurugika na haiwezi kutengemaa ndani ya utawala wa kifalme wa...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani wameiomba kamati ya ulinzi na usalama kukomesha matukio ya utupaji maiti katika msitu wa Pugu Kazimzumbwi, ambapo Julai hadi Agosti maiti...
4 Reactions
41 Replies
6K Views
Tudai katiba mpya kwa nguvu zote, naunga mkono juhudi zote zinazoendelea. LAKINI NAULIZA SWALI: Kama tuna Majaji kama hawa tunaowaona katika kesi ya Mbowe, je Katiba mpya itawabadirisha? Maana...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Watoto wa ujerumani hawa sijui wataacha lini ili tukajege ukuta kwenye hifathi za wanyama pamoja na kuweka schemu za umwagiliaji kwa lengo la kutunza mazingira pamoja na kulinda haki za wanyama na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani baada ya kuahirishwa jana. Leo Jaji atatoa maamuzi ya mabishano ya kisheria yaliyotokea jana kati ya mawakili wa...
42 Reactions
239 Replies
45K Views
Wakati wabunge wanaume wa upinzani wakiwa bungeni wakiongozwa na mwambaa au Transformer, au Caterpillar au Chuma Cha reliii kipenzi Cha wazalendo au muite Freeman Aikael Mbowe ilikuwa ni desturi...
10 Reactions
13 Replies
1K Views
Nilikerwa sana jana na tone yako ambayo iko very smooth tena ukionyesha tabasamu la dharau kwa wabunge ulipokuwa unajustify kucheleweshwa kwa mradi wa Bwawa la Nyerere. Sasa bana miradi hii ni ya...
1 Reactions
6 Replies
880 Views
Tanzania inashindwa kuendelea kwa sababu ya kuweka madarakani viongozi wenye damu ya Utumishi wa umma na kushindwa kuweka mchanganyiko wa Watumishi wa umma na wafanyabiashara. Ntatoa mfano kwa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Benki ya Maendeleo ya Afrika imemualika Rais Samia Suluhu kuhudhuria Jukwaa la Wawekezaji Afrika litakalotoa fursa ya kuwakutanisha na wawekezaji na kusaidia upatikanaji wa mitaji. Mualiko huo...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya halmashauri zilijaribu kununua na kusambaza cement kwenye hii miradi kilichotokea NI kuwa bidhaa hizo waliwauzia taasisi kwa Bei kubwa kuliko Bei ya soko. Sioni mantiki ya Serikali...
1 Reactions
1 Replies
720 Views
Hatupigi hatua kama taifa kiutendaji kwa kuteuana kimzunguko wa sura,majina,makundi,uchawa nk Nafasi zingine twende kwa watumishi wa mashirika ya dini nao wateuliwe wakalisimamie taifa. Kuna...
1 Reactions
3 Replies
955 Views
Nimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi. Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako. Ulimwengu na Ndugai
36 Reactions
219 Replies
19K Views
Back
Top Bottom