Salaam Wakuu,
Leo tarehe 12/11/2021 anatarajiwa kusikilizwa shahidi mwingine katika muendelezo wa kesi Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Kesi ndogo ya...
Mkurugenzi wa Mafunzo na Uratibu wa Kanda makao makuu ya Chadema, Bwana Benson Kigaila amewaambia mamia ya wakazi wa Singida waliokusanyika kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Pipoos Singida...
Hivi huyo Makamba anatugeuza Watanzania wote mazwazwa eti?!
Yaani mambio yooote yale ya yule msukuma Kalemani kabla hajafutwa tulipokuwa tunamuona huko Rufiji huku kazi zikiendelea eti leo...
Waghana wamesonga mbele sana Kitambulisho Chao Cha Taifa kinatumika Kama namba ya mlipa Kodi na Passport ya kusafiria .Kwa TIN namba ya kitambulisho Cha Taifa TRA wangeweza kuwa na walipa Kodi...
January Makamba, eleza watanzania halisi, hakuna umeme Kilimanjaro sasa ni masaa sita tangu ukatike.
Usitegemee wananchi waishi gizani wapige kura kuchagua chama Tawala na hakuna wizi wa kura...
Kiukweli kwa sasa endapo CCM watavurugana sijui ni nani mwenye ubabe wa kulinyamazisha kundi lolote.
Wakati ule wa Lowasa kuelekea Ufipa ashukuriwe sana anko Ben vinginevyo chama kilikuwa...
Baada ya tafakuri ya muda mfupi, nimepata hisia kuwa hata kama wana uwezo mdogo, lakini sio wa kufanya makosa kama haya ya kiuandishi.
Hivyo, nahisi huenda baadhi yao hawafurahii haya...
Yaani mawakili wana mbwembwe wamempoteza dira shahidi sijui kama alielewa tena, baada ya ku nyanganywa kalamu yake na dairy pamoja na simu,: jamani haya yalimanisha nini, tuelezeeni haya maneno...
Kuteua waliokataliwa Kiutendaji na aliyekuwa Bosi wako na Kuwaondoa katika Utendaji wale walioaminiwa Kiutendaji na Bosi wako.
Sasa naanza Kuamini kuwa ukifanya Kazi na Mtu mahala ( ofisi )...
Mpaka sasa inaonekana bado hamjaijua hasira iliyopo kwa Wananchi kutokana na mambo ya ovyo yanayoendelea Nchini tangu kifo cha JPM.
Juzi juzi hapa, bila aibu Waziri wa Nishati anasimama Bungeni...
Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale...
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema "Rais wa nchi yetu anaweza kutoka Chama chochote cha siasa, lakini Rais bora wa Tanzania atatoka CCM".
Hadi sasa, CCM ni chama pekee...
Rais,
M/wa kwanza wa Rais
M/wa pili wa Rais.
Ikitokea Rais kaitwa kuwatumikia malaika nani anapanda kuwa Rais?
1. Kama atapanda No 2 kuwa Rais na No 3 kuwa M/wa kwanza wa Rais.Ni yupi mwenye...
Ndugu zangu,
Jenerali Twaha Ulimwengu alipata kuwa viongozi wa TANU youth league (UVCCM) ya sasa na kupitia CCM alipata teuzi mbalimbali.
Nimkumbushe tu kwa umri wake kupiga picha na viongozi wa...
Leo Novemba 14, 2021 miaka sita iliyopita tunakumbuka kifo cha Kamanda Alphonce Mawanzo aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita na Mgombea ubunge jimbo la Busanda 2015, aliyeuawa kikatili...
PICHA: Fatma Karume
Jamhuri imewasilisha nia ya kukata rufani kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu uliotengua uamuzi wa kumfuta katika orodha ya mawakili, Fatma Karume.
Nia hiyo ya kukata rufani...
Katiba ina mambo mengi na swala la Tume ya uchaguzi na taratibu zake ni sehemu kipande tu cha katiba.
Chadema wanapigania Katiba mpya kwa maslahi ya kimadaraka zaidi na siyo maendeleo ya jamii...
Ukilala ukiamka, ukafuatilia uteuzi, utendaji na miradi mkakati iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano, utaona wazi viongozi niliowataja walikuwa wanasali na kuomba JPM atakufa lini ili...
KATIBU MKUU UVCCM Ndg. KENANI LABAN KIHONGOSI AFANYA ZIARA WILAYA YA KYERWA,WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUWAPELEKEA FEDHA NYINGI ZA MIRADI.
14.12.2021
Katibu mkuu wa Uvccm Ndugu Kenani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.