mzee bana ameamua kutema nyongooNimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi.
Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako.
Wala siyo uzee nadhani nchi yetu inaongoza kwa kuwa na wazee wajinga na wanafiki kuliko nchi zote duniani, ni hawa wachache tu ndiyo wanaojielewaNimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi.
Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako.
Hili ni dudu mtu kabisa
Yap?Nasubiri aseme na mazuri pia.
Kila mtu ana upande wa anaoutaka. Wapenda maendeleo tuliona mazuri tuu.
Huyu mzee ana misimamo yake tangu kitambo snKwa sasa hana cha kuogopa maaana hana cha kupoteza
Ya kubambika kesi watuMaendeleo gani wacha kudemka hapo lumumba
Wao wakishiba wanaona kila mtu ana maendeleoLabda umasikini ulio pitiliza
Ni kusanyiko la matapeli kabisaHilo ndiyo kubwa kwa wana lumumba