Siasa chokonozi za kutengeneza ajira pamoja na haki za wanyamapori

I wish i have

Senior Member
Nov 2, 2021
136
62
Watoto wa ujerumani hawa sijui wataacha lini ili tukajege ukuta kwenye hifathi za wanyama pamoja na kuweka schemu za umwagiliaji kwa lengo la kutunza mazingira pamoja na kulinda haki za wanyama na mimea juu ya jua kali, kuongeza mapato na fedha za kigeni pamoja na kuongeza ajira kwa vijana na kuondoa msongo wa mawazo kwa vijana wa sasa na wa baadaye

  • Ukuta wa Hifadhi ya Arusha
  • Ukuta wa Hifadhi ya Gombe
  • Ukuta wa Hifadhi ya Katavi
  • Ukuta wa Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro
  • Ukuta wa Hifadhi ya Kitulo
  • Ukuta wa Milima ya Mahale
  • Ukuta wa Hifadhi ya Mikumi
  • Ukuta wa Hifadhi ya Mkomazi
  • Ukuta wa Hifadhi ya Ruaha
  • Ukuta wa Hifadhi ya kisiwa cha Rubondo
  • Ukuta wa Hifadhi ya Saadani
  • Ukuta wa Hifadhi ya kisiwa cha Saanane
  • Ukuta wa Hifadhi ya Serengeti
  • Ukuta wa Hifadhi ya Tarangire
  • Ukuta wa Milima ya Udzungwa
  • Ukuta wa Hifadhi ya Ziwa Manyara


Mwanadamu aliyeliwa na TEMBO HOYEE
 
Mto mada alipigwa bann
Pic%20Layer_20211113111557588.jpg
 
Back
Top Bottom