Wale ambao hamridhiki na awamu ya sita karibuni UMOJA PARTY tuikomboe nchi dhidi ya utegemezi na manyanyaso

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,843
3,128
Karibuni wanavyuo mnaokosa ajira mkishuhudia ajira zikirudi kwa walewale miaka nenda rudi.

Karibuni wamachinga, karibuni mama lishe.

Karibuni wale mliokosa matumaini ndani ya CCM na vyama vingine vya kisiasa.
, karibuni watumishi waaminifu na wenye weledi ndani ya serikali.

Karibuni wafanyabiashara waaminifu (walipa kodi kwa hiyari).

Karibuni wakulima mnaonyanyasika na bei za mazao yenu pembejeo zikiwa bei juu.
Karibuni wananchi wa rangi tofauti,dini tofauti.
Karibuni viongozi wa dini zote nchini.

Karibuni wapinga rushwa na wizi wa mali ya umma.

Lengo ni kushika madaraka mwaka 2025

Viva "UP"
 
Pia makatibu wa CCM wa mikoa na wilaya waliotenguliwa hivi karibuni,tunawakaribisha kwa moyo mkunjufu
 
Karibuni wanavyuo mnaokosa ajira mkishuhudia ajira zikirudi kwa walewale miaka nenda rudi.

Karibuni wamachinga, karibuni mama lishe.

Karibuni wale mliokosa matumaini ndani ya CCM na vyama vingine vya kisiasa.
, karibuni watumishi waaminifu na wenye weledi ndani ya serikali.

Karibuni wafanyabiashara waaminifu (walipa kodi kwa hiyari).

Karibuni wakulima mnaonyanyasika na bei za mazao yenu pembejeo zikiwa bei juu.
Karibuni wananchi wa rangi tofauti,dini tofauti.
Karibuni viongozi wa dini zote nchini.

Karibuni wapinga rushwa na wizi wa mali ya umma.

Lengo ni kushika madaraka mwaka 2025

Viva "UP"
HIKI NDIYO CHAM,A CHA KUWAHI NAFASI KABLA HAKIJAJAA
 
S

Sii wanakijani waliojivua gamba?
 
Wajinga wa CCM mnakaribishwa CCM D maana B na C vipi
 
Hiki ni chama cha siasa amabacho kinajiandaa kusajiliwa au tayari kimesajiliwa?
 
Back
Top Bottom