Nilisema wameweka toroli mbele ya farasi kitu ambacho wamechukia, lilikuwa legal and not ego

Jan 23, 2019
5
18
Wakili wa Serikali Abdallah Chavula: Ikupendeze mheshimiwa jaji, tumesikikiza mapingamizi kutoka kwa wenzetu wa utetezi kuhusu upokelewaji wa kielelezo hiki. Kiujumla sisi hatukubaliani nao, hayana muunganiko na kilichopo na kwamba tulichokifanya, kwa maoni yao hatujui tunafanya nini na kwa maoni yao tumetanguliza toroli mbele ya farasi na kwamba wangekuwa wao werevu wasingefanya hivyo.

Na pia hakuna ushahidi kwamba national prosecution service au wakala wake Dar es Salaam ambaye amethibitishwa kumkabidhi shahidi. Kwa hali hiyo shahidi hana uwezo, na haitoshi kwamba shahidi majina yake yameonekama kwemye kielelezo hicho na wenzetu wanadai kwamba majina hayo


Hoja ya kwanza imejengwa kwamba barua kwa maana ya kielelezo hiki hakikuelekezwa kwa shahidi na badala yake, kielelezo hiki kimelezwa kwa national prosecution service yenye anuani yao dodoma na ni hoja zao kwamba shahidi yeye siyo mhusika wa national prosecution service.

Wakili wa Serikali Abdallah Chavula: Ndiyo yaleyale tuh+ Mheshimiwa Jaji

Kibatala: MHESHIMIWA JAJI Naona Wakili yupo Emotional Sana, Na Hii siyo Vita Vya Mtaani, Hebu ajielekeze Kwenye Kujenga Hoja tu.

Wakili wa Serikali: Abdallah Chavula Ndiyo sasa Uchague cha Kusema sasa, Sisi tumeelewa hivyo

Jaji: Hakusema wao Werevu, amesema angelikuwa yeye angefanya.

Kibatala: Basi Mheshimiwa Jaji, tumuache aendelee kuelewa anayotaka, Tutapata muda wa Kujibu.

😂😂😂😂😂😂 WAKILI CHAVULA hajaeleweka kabisa na alikuwa kweli too emotional baada ya kuambiwa wameweka TOROLI mbele ya FARASI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kesi yenyewe toroli lemewekwa mbele ya farasi iweje kwa mawakili wautetezi kuwa toroli limewekwa nyuma ya farasi. 😃
 
Kinachofanya kesi nyingi za jamhuri ikashinda ni au washitakiwa kutokuwa na mawakili, au mahakama kuwa upande wa jamhuri. Kunapokuwa na mawakili - serikali upata taabu sana!! Kesi za akina Lissu, Msigwa, Lema, Zitto, Halima na wenzake - jamhuri walikamba vumbi!!

Wanyamakazi huwa hawasukumi, wanavuta!! Kumbusho hili lilimmaliza kabisa wakili wa serikali!
 
Back
Top Bottom