Zanzibar itapaa kiuchumi na kuwa sehemu ya kutembelewa zaidi kuliko bara

card78

Member
Sep 22, 2018
47
47
Kwa maono yangu juu ya uongozi wa raisi wa Zanzibar wa sasa ni wazi kwamba Zanzibar itapaa kiuchumi na kuwa sehemu ya kutembelewa zaidi kuliko bara.

Mipango na mikakati ya raisi wa Zanzibar inanipa moyo sana kwani kasi ya utekelezaji wa ilani kwa Zanzibar uko kasi ikizingatia na ukubwa wa eneo, katika kipindi cha miaka mitano naona mageuzi yatakuwa makubwa sana katika uchumi, kijamii na kisiasa.
 
maendeleo chini ya utawala wa ccm ni kitu ambacho hakiwezekani, popote iwe bara au visiwani.
 
Kwa maono yangu juu ya uongozi wa raisi wa Zanzibar wa sasa ni wazi kwamba Zanzibar itapaa kiuchumi na kuwa sehemu ya kutembelewa zaidi kuliko bara .

Mipango na mikakati ya raisi wa Zanzibar inanipa moyo sana kwani kasi ya utekelezaji wa ilani kwa Zanzibar uko kasi ikizingatia na ukubwa wa eneo, katika kipindi cha miaka mitano naona mageuzi yatakuwa makubwa sana katika uchumi,kijamii na kisiasa
Zenj ndio Chato ya siku hizi lazima ipae tu.
 
Kwa population ya 1.7m ilitakiwa wawe mbali sana ila walibanwa mno
Acha na wao wajitanue maana ni sasa au basi ama now or never
 
Kwa maono yangu juu ya uongozi wa raisi wa Zanzibar wa sasa ni wazi kwamba Zanzibar itapaa kiuchumi na kuwa sehemu ya kutembelewa zaidi kuliko bara .

Mipango na mikakati ya raisi wa Zanzibar inanipa moyo sana kwani kasi ya utekelezaji wa ilani kwa Zanzibar uko kasi ikizingatia na ukubwa wa eneo, katika kipindi cha miaka mitano naona mageuzi yatakuwa makubwa sana katika uchumi,kijamii na kisiasa
Ni mikakati na mipango ipi?
 
Mama anachota pesa za walipa kodi wa Bara na kuzipeleka zanzibar, keshapeleka zaidi ya billion 700 zanzibar mpaka sasa kutoka Bara wakati Magufuli uwekezaji alioufanya Chato haukufika hata billion 40 mpaka anaondoka.

Kapeleka billion 300 mkopo wa IMF wa covid Zanzibar pesa zitakazolipwa na wavuja jasho wa Bara wasio na mbele wala nyuma lakini hutosikia akinyooshewa kidole na wale wakosoaji kwamba anapendelea kwao.

Yaani Watanzania million 60 wamepewa billion 900 na wa zanzibar million 1.5 billion 300 na huu mkopo wote watalipa watanganyika.
 
Back
Top Bottom