Kuna sababu gani Tundu Lissu kukaa kimya kabisa kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Je ndio ameamua kuwa kimya ili Mbowe akifungwa aje Kama Mwenyekiti mpya wa chama?!!.

Je ameamua kufuata mkondo wa Swahiba wake Zitto Zuberi Kabwe aliyekaribia kumsajili ACT-Wazalendo kuwa tusitegemee kuona akikosoa Kama Awamu iliyopita.

Nilimsikia kuwa alishawahi kupigiwa simu kwamba Mama anataka kuongea nae ila akashangaa ukimya. Je walishaongea na kumaliza tofauti zao hivyo hawezi kuiongelea kesi hii sababu anaweza kumuudhi mama. Au ni sehemu ya maongezi yao kuwa akae kimya.

Au Tundu Lissu anaamini Mbowe ni Gaidi kweli na ameona ushahidi unajitosheleza hivyo anaogopa kuongea hukumu ikaja kinyume akaumbuka.

Au amekumbuka kurudi home na amechoka kukaa uhamishoni hivyo anajitahidi kutouudhi utawala mpya kabla ya kurudi.

Au ndio fadhila ya kesi zake kufutwa.

Sipendi aongee kashfa zake hapana. Natamani atoe uchambuzi na maoni kwa Serikali na dunia Nini kifanyike kumnasua Freeman haraka kwenye huu mtego utakaomuweka maabusu mwaka mzima.

Naona Mbowe ananigwa na kugalagala pekeyake. Sio Salum Mwalimu, Zitto, Mbatia, Shibuda, Viongozi wa dini wanaoshugulika ata kumuongelea au kusisitiza haki kufuata mkondo wake.

Tundu kaa kimya hivyohivyo tusubiri mawe yaongee.
 
Je ndio ameamua kuwa kimya ili mbowe akifungwa aje Kama Mwenyekiti mpya wa chama?!!.


Tundu kaa kimya hivyohivyo tusubiri mawe yaongee.
Kwani nawe umetumwa, umejituma, ama mambo ya weekend, hujui kama ni wakili, na ni miongoni MWA bench la ufundi la jopo la utetezi dhidi ya wabambikiaji/walalamikaji
 
Nenda kwenye hopeless space yao uko Kila alhamis utaona anaongea wakiwa na wale kina dada ambao wamesomeshwa na pes aza ccm na mpaka leo wazazi wao wanahudumiwa na ccm na ndipo wanapata kiburi cause wanajua hata wakikosa kazi ccm ipo inatunza wazazi wao so Wana uhakika wa kula na kulala bure so wanakuja walisha matango pori kina mdude ambao wakizingua tu dakika mbili defender zipo mlangoni mwao
 
Je ndio ameamua kuwa kimya ili mbowe akifungwa aje Kama Mwenyekiti mpya wa chama?!!.

Je ameamua kufuata mkondo wa Swahiba wake Zitto Zuberi kabwe aliyekaribia kumsajili Act Wazalendo kuwa tusitegemee kuona akikosoa Kama Awamu iliyopita.



Tundu kaa kimya hivyohivyo tusubiri mawe yaongee.
Siku Lissu akiwa nje ya ulingo wa siasa atafunguka mengi sana juu ya issue yake yakutandikwa risasi ila sina hakika kama wataruhusu afike huko kama hawatomchacha wangwe.
 
Uwe unasikiliza Mariaspace kupata nondo za Lissu kuhusu hii kesi na mambo mengineyo.

Kwa taarifa yako tu, alichoongea hivi karibuni kuhusu hii kesi na mambo mengine yanayoendelea katika hii nchi, angekuwa hapa Bongo, angeshakamtwa na kushitakiwa kwa uchochezi.
Anzisheni Uzi humu tuone hizo Bondo zake. Sio hisia tu. Watu wanabadilika kila siku
 
MUSHAIJA WA HOVYO KABISA! ULITAKA AFANYEJE? KUBWABWAJA NDIO KUSHINDA KESI? KUBWABWAJA NDIYO KUONEKANA UKO CONCERNED? DO YOU KNOW THE INSIDE STORY WHICH IS GOING ON AMONG TOP CHADEMA LEADERS.
STOP THIS NONSENSE PLEASE
Kinachotokea Sasa NI kinyume na hulka yake. Watu shida zikizidi hubadilika. Lazma tuhoji kujua. Jibu hoja usinishambulie Mimi.
 
Back
Top Bottom