Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la JMT Kazi iendelee! Kwa jinsi awamu ya sita toka imeingia madarakani takribani miezi nane sasa. Rais SSH amedhihirisha utendaji wake wa kazi ni awamu ya pili...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili adhimu sana, Sasa nadhani imefika wakati wananchi tuamke na kukataa huu uzombi unaotutesa; Taifa letu limekuwa halieleweki, mpaka sasa hakuna anaejua kesho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inasemekana kuwa huyu mwamba hakuwahi kuwa mpinzani wa kweli, huwa yuko kule kwa kazi maalum. Baada ya mlezi wake kufariki (Samuel Sitta) mwamba akawa Msoga Gang (Wakojani) rasmi. Baada ya Magu...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Tofautisha au hata fananisha pande mbili hizi za Muungano. Yanayojiri Zanzibar ni kama hivi: Yanayojiri Bara ni haya hapa: Si hayo tu bali hata yale ya 21% ya ajira JMT ni mahsusi kwa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado Askari wanalalamikiwa kwa masuala kadhaa ikiwemo kushikilia Leseni za Madereva kwa muda mrefu au kuwalazimisha kulipa faini papo hapo ilihali Sheria inampa...
7 Reactions
55 Replies
5K Views
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole My...
44 Reactions
137 Replies
9K Views
Wana Jf Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo. Ona wenyewe
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais Yoweri Museveni leo ametembelea kituo cha reli ya kisasa ( SGR) jijini Dar es salaam na kuwamwagia sifa Rais Magufuli na mrithi wake mh Samia kwa ujasiri mkubwa wa kubuni mradi huo. Soma...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mama samia tuaomba uwe unasikiliza kauli za mawazili unazitafakari, unapata a maoni ya wale wanao athiriwa na matamko hayo ili kubalance. Mheshimiwa Rais uhamisho ni haki ya kiutumishi kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , Rose Mayemba ndiye aliyeendesha zoezi hilo Pichani ni mzee aliyezaliwa mwaka 1934 akifurahia usajili wa Chadema Digital bila kujali " TISHIO LA UGAIDI "
3 Reactions
3 Replies
752 Views
POLEPOLE ANAKOSA SIFA HII MUHIMU NDIO MAANA HAZINGATIWI NA WATU Kwa Mkono wa Robert Heriel Kwenye suala la uongozi na utawala ukitaka usizingatiwe Sana yaani upoteze mvuto licha ya watu...
9 Reactions
62 Replies
5K Views
Amesikika waziri Angelina Mabula akidai kodi kwa wananchi choka mbaya: Bila shaka hii ni juu ya kodi za pango la nyumba na tozo za Dr. Mwigulu zinazokusanywa juu kwa juu kupitia miamala ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimemshuhudia akiwa huko Glasgow, Scotland na mwenyekiti wa mabenki ya standard chartered Lakini akiwa Tanzania anavaa kama kawaida
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Inaonekana watu wa mipango miji wamelala na viongozi wetu akili zimeganda. Nimeona leo kwamba soko la k'koo litajengwa upya kwa Billion 34, leo siyo mwaka 1970 jamani kwanini pesa zote zitumike...
41 Reactions
84 Replies
6K Views
Nyie wanasiasa waoneeni huruma hao walimu mnao wakabidhi watoto wa aina hiyo. Wazo la kwanza kuwawekea mfumo wao lilikuwa zuri sana lakini hili la kuwachanganya na wanafunzi wengine katika mfumo...
10 Reactions
84 Replies
4K Views
Tangu Tanzania ilipopata uhuru mwaka 1961, Rais wa Awamu ya Sita Mhe. Samia suluhu Hassan ameweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza kuwafanyia jambo kubwa wafanyabiashara wadogo maarufu kama Machinga...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote: 1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani. 2)...
61 Reactions
113 Replies
8K Views
Kati ya tabia mbaya kabisa za mwanadamu ni unafiki. Mnafiki ni mtu hatari maana anaweza kukusifia ukiwa naye, ukigeuka anaweza kuwa kiongozi wa kukuwekea mitego ya kukuangusha. Nchi yetu imejaa...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi ni kwanini nchi za Magharibi hupenda kukopesha zaidi nchi Maskini kwenye miradi ya huduma za jamiii badala ya Uzalishaji? Mikopo italipika vipi wakati pesa nyingi wanatukopesha kwa ajili ya...
9 Reactions
93 Replies
4K Views
Upatikanaji wa umeme na gharama za kuupata, vina mchango mkubwa katika upatikanaji wa maendeleo. Mataifa mengi yanajitahidi sana kuweza kuweza kuwapa umeme watu wao kwa gharama nafuu kadiri...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…