Upendeleo Siku zote ufarakanisha watu, walipoanza kujenga uwanja wa ndege na majumba makubwa Chato tulitahadharishwa kwamba Hawa watu wanaelekea kujitenga na kujitengenezea Mamlaka yao...
Leo tarehe 22/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku siku ya Ijumaa, tarehe 18 Novemba, 2021.
Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi...
Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe...
Rais wa Uganda, Yoweri Mseveni leo Jumatatu amemkabidhi Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan shule ya awali na ya msingi Mseveni iliyojengwa kwa fedha za serikali ya Uganda, eneo la Nyabirezi...
Wakuu,
Awamu ya 5 ilikuwa na viongozi wengi wa hovyo waliobebwa na Rais Magufuli
Makonda alikuwa akimtumia Kamanda Lazaro Mambosasa kukamilisha missions zake binafsi zisizo halali na ziko...
Kiwanda cha Kagera Sugar ni kiwanda cha kisasa chenye mitambo ya kisasa ya umwagiliaji na ikizingatiwa mkoa Kagera umebalikiwa kuwa na vyanzo vya kuaminika vya maji mwaka mzima kuanzia mto Kagera...
Kesi ya ugaidi ( kesi ndogo katika kesi kubwa) inayoendeshwa divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa inaendelea leo ambapo upande wa Jamhuri utaleta shahidi mwingine.
Leo upande wa Mashtaka...
Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini?
Na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima...
Ni hoja ya swali.
Kesi dhidi ya Paul Makonda sasa imeiva, ni kuhusu kinachoitwa madaraka ya kulevya. Moja ya msingi inajengwa juu ya uvamizi wa kituo cha Runinga, Clouds Media.
Japo CMG...
Nani asiye na habari ya mizunguko ya akina Chongolo au Shaka nchi nzima, wakikusanyika na kufanya siasa bila kubughudhiwa?
Vipi hii kuwahusu hawa wengine?
Bado Rais Samia na serikali nzima...
=========
Ofisi ya Makamu wa Rais yakana shutuma zilizoibuliwa na Mange Kimambi.... Nafkiri huyu dada bado anafikiri hii ni awamu iliyopita...
Anachokitafuta atakipata. Rais Magufuli hajaribiwi...
Jana asubuhi hapa Manyoni-Singida ilipita convoy ya Uganda ikiwa escorted na Polisi Tanzania.
Miongoni mwa magari hayo, kuna moja lilikua limebeba gari, iliyokuwa imefunikwa gubi gubi...
Rais ni mtu mkubwa sana, ni lazima aheshimiwe na kulindwa kwa gharama yoyote, ndani na nje ya nchi...masaa 24!
Kwa kuwa ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, muda wote (kasoro akiwa...
Ni ushauri tu,
Sipendi ujuaji sana wa kusoma kwenye makaratasi ila huwa napenda kuchakachua ubongo wangu,
Kama kweli mnaipenda bandari ya Bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza...
Unyama wa serikali ya awamu ya 5 ulijumuisha hadi wizi wa mifugo ya nchi jirani kwa kisingizio cha kuvuka mpaka.
Mifugo kutoka Rwanda na Uganda ilitaifishwa baada ya kuvuka mpaka na kuingia...
Uugwana ni vitendo, kitendo cha Serikali ya Magufuli kuchoma moto vifaranga kutoka Kenya lilikuwa jambo la kinyama lililobeba aibu ya kuifedhehesha serikali ya Tanzania kwa fedheha ya kutia aibu...
Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya.
Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona.
Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule...
Ndugu watanzania wenzangu urefu wa pwani kutoka Tanga mpaka Mtwara ni 591.12km, kutoka Tanga mpaka Dar es salaam ni 195.07 na Dar es salaam kwenda Mtwara 397.39 km.
Kwa kuwa umbali kutoka Tanga...
Leo nchi yetu tumepata mkopo wa 1.3 trilioni kutoka IMF (International Monetary Fund) tumefurahia sana watanzania na kupongeza sana kwa hatua hii
Lakini ukifuatilia sana mikopo hii, ambayo...
Gazeti la The Guardian, lina taarifa inayoeleza kuwa, Mkopo wa China kwa Tanzania, ambao mpaka sasa ni Tsh. Trilioni 5.3 (U$ 2.347 Billion), unaweza kuongezeka maradufu hadi zaidi ya Trilioni 23...