Je, kuachiwa Uamsho na kukamatwa Mbowe kwa Ugaidi Kuna athari kiimani?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Naona mitandaoni suala la Ugaidi limechukua sura mpya ikionekana wapo watu wanataka kuonyesha kwamba imani ya kiislam na kikristo zote zinaweza kuzalisha ugaidi. Kwamba mwanzo kwenye uhamsho walihusishwa waislam na Sasa kuonyesha kubalance story Basi mbowe naye atapelekwa Magereza kwa Ugaidi.

Je wewe unaamini Mbowe anaitwa Gaidi kwa sababu za kidini na watawala walioshika usukani au ni suala la kisiasa tu? Kwanini uhamsho waachiwe kwa kubambikiwa kesi za ugaidi kwa miaka 8 na Mamlaka hiyo hiyo imkamate mtu ambaye ukweli upo wazi kuwa siyo gaidi kwa ugaidi? Kama siyo kisasi Cha kidini kilichoingizwa kwa siasa ni wapi zilipoibuliwa tuhuma hizi?

Ikumbukwe zipo pia tuhuma zakuwafanya watu wa Kanda flani kutokuwa na Uhuru wa biashara na kuwataifisha Mali zao kitendo kilichofanywa na awamu iliyopita. Je, huko kaskazini wanaadhibiwa kwa upeo wao, mafanikio yao au wanaadhibiwa kwa sababu? Utakatishaji fedha, mauaji na Sasa tumeanza kuwaita magaidi Nini shida na watu Hawa dhidi ya Tawala za nchi hii?

Haya nimeandika maana naona ndiyo yanayojadiliwa mitandaoni na hayana afya. Hata Kama tukikaa kimya lakini hao watu wa kaskazini tunavyozidi kupambana nao huku tukijua wameoa na kuolewa kila familia tunaweza zalisha chuku kwenye familia zetu wake zetu au waume zetu na watoto wakaanza kulipizana visasi. Tusiuone huu mjadala wa ukandamizaji kwa wepesi Sana watu wate wanapaswa kuliwaza kwa upana wake. Someni watu wanavyounganisha tukio hili na UDINI, UKABILA NA SIASA then mlipambanue kwa upana huu hasa viongozi wakuu wa nchi. Don't simplfy this issues , mmetumia hizi mbinu toka JK akiwa madarakani Hadi Leo lakini tukiri tumepanua hufa na Taifa siyo moja Tena. Kila anayekabidhiwa nchi/wizar/ idara anakuja na visasi vyake tutafika?
 
Karibu tena duniani Beatrice! Tuendelee kuvaa barakoa. Delta ni mdudu hatari sana.

Hawa jamaa wamejimilikisha nchi hii. Eti mtu kuongelea katiba mpya anakuwa gaidi. Yaani wanataka tuendelee na yale ya akina Mahera na Jecha. Watanzania tuamke. Nchi hii ni yetu.
 
Mimi nafikiri ni sababu za kisiasa zaidi kuliko huo udini/kabila unaojaribu kuuhusisha na tuhuma za Mbowe maana hata uongozi uliopita uliwaweka rumande mara kadhaa viongozi wengi wa upinzani akiwemo Mkuu wa kambi ya upinzani(Mbowe)..Kuhusu ukanda, sina hakika na hilo maana waliowekwa rumande na hata kupata vipigo wanatoka kanda mbalimbali na si kaskazini peke yake(Zito, Mwalimu(wa Zanzibar), Mawazo n.k.
 
Naona mitandaoni suala la Ugaidi limechukua sura mpya ikionekana wapo watu wanataka kuonyesha kwamba imani ya kiislam na kikristo zote zinaweza kuzalisha ugaidi. Kwamba mwanzo kwenye uhamsho walihusishwa waislam na Sasa kuonyesha kubalance story Basi mbowe naye atapelekwa Magereza kwa Ugaidi.

Je wewe unaamini Mbowe anaitwa Gaidi kwa sababu za kidini na watawala walioshika usukani au ni suala la kisiasa tu? Kwanini uhamsho waachiwe kwa kubambikiwa kesi za ugaidi kwa miaka 8 na Mamlaka hiyo hiyo imkamate mtu ambaye ukweli upo wazi kuwa siyo gaidi kwa ugaidi? Kama siyo kisasi Cha kidini kilichoingizwa kwa siasa ni wapi zilipoibuliwa tuhuma hizi?

Ikumbukwe zipo pia tuhuma zakuwafanya watu wa Kanda flani kutokuwa na Uhuru wa biashara na kuwataifisha Mali zao kitendo kilichofanywa na awamu iliyopita. Je, huko kaskazini wanaadhibiwa kwa upeo wao, mafanikio yao au wanaadhibiwa kwa sababu? Utakatishaji fedha, mauaji na Sasa tumeanza kuwaita magaidi Nini shida na watu Hawa dhidi ya Tawala za nchi hii?

Haya nimeandika maana naona ndiyo yanayojadiliwa mitandaoni na hayana afya. Hata Kama tukikaa kimya lakini hao watu wa kaskazini tunavyozidi kupambana nao huku tukijua wameoa na kuolewa kila familia tunaweza zalisha chuku kwenye familia zetu wake zetu au waume zetu na watoto wakaanza kulipizana visasi. Tusiuone huu mjadala wa ukandamizaji kwa wepesi Sana watu wate wanapaswa kuliwaza kwa upana wake. Someni watu wanavyounganisha tukio hili na UDINI, UKABILA NA SIASA then mlipambanue kwa upana huu hasa viongozi wakuu wa nchi. Don't simplfy this issues , mmetumia hizi mbinu toka JK akiwa madarakani Hadi Leo lakini tukiri tumepanua hufa na Taifa siyo moja Tena. Kila anayekabidhiwa nchi/wizar/ idara anakuja na visasi vyake tutafika?

Ukweli sio gaidi wa ugaidi. How did you come into that conclusion?
 
Hisia za UDINI hutumiwa na na watu walioshindwa HOJA NA FIKRA.....

Ugaidi/terrorism unaweza kufanywa na YEYOTE awaye tusitafute visingizio......
 
Uamsho walikamatwa Zanzibar chini ya SERIKALI ya mh.Dr.Shein ,makamu wa pili Balozi Seif Ali Idd na wakasafirishwa huku bara ,Rais akiwa mh.Jakaya Mrisho Kikwete.....

Msichukie asiye muislam kuitwa GAIDI,katika KAMUSI ,neno gaidi halijatajwa kuhodhiwa na KIKUNDI FULANI CHA KIDINI....hata uwe mpagani unaweza kuwa ni GAIDI...

#TanzaniaBilaYaUgaidiInawezekana
#TuweNaKumbukumbu
#WatanzaniaWameamka
#NchiKwanza
#JMTKwanza
 
Beatrice Kamugisha umefufuka? Karibu sana.

Huyu bibi kwa hakika ni mdini. Kaachia waislamu wenzake Sasa anakamata wakristo.
Hapo ndipo wakristo mnapojidhihirisha udini wenu,kwa Nini msiseme Lile la ukweli?
Hua mnawasema waislamu wadini,Sasa mnaandika Nini Sasa,mbona rais kakutana na viongozi wa dini wa kikristo na hajakutana na viongozi wa dini wa kiislamu,waislamu hawalalamiki?
 
Beatrice Kamugisha umefufuka? Karibu sana.

Huyu bibi kwa hakika ni mdini. Kaachia waislamu wenzake Sasa anakamata wakristo.
🤣🤣Mdini kwa sababu anavaa USHUNGI ?!!!

Hivi ninyi lini mtaacha UJINGA ?!!
Mnapenda sana kushabikia kikoko hizi dini mbili zilizopanda majahazi kutoka UGHAIBUNI....

Mkishindwa hoja mnadandia UDINI....

Kwani katika KAMUSI neno UGAIDI Lina nembo ya DINI FULANI?!!!

Uamsho walikamatwa na waislam wenzao wakasafirishwa kuja bara Rais akiwa Muislam mbona hamkusema mh. Kikwete anawaonea wenzake ?!!

Matendo ya UAMSHO yaliwastahili kukaa ndani...na kweli walikaa miaka 9,wako WALIOKIMBIWA NA WAKE ZAO..Wako WALIOFIWA wakashindwa kuwazika WAZAZI WAO ...leo Mh.Mbowe amekaa SIKU mbili....siku mbili.....siku mbili tu mnaanza "kuhunyahunya"....

Tulieni tu....

#KaziIendelee
 
Naona mitandaoni suala la Ugaidi limechukua sura mpya ikionekana wapo watu wanataka kuonyesha kwamba imani ya kiislam na kikristo zote zinaweza kuzalisha ugaidi. Kwamba mwanzo kwenye uhamsho walihusishwa waislam na Sasa kuonyesha kubalance story Basi mbowe naye atapelekwa Magereza kwa Ugaidi.

Je wewe unaamini Mbowe anaitwa Gaidi kwa sababu za kidini na watawala walioshika usukani au ni suala la kisiasa tu? Kwanini uhamsho waachiwe kwa kubambikiwa kesi za ugaidi kwa miaka 8 na Mamlaka hiyo hiyo imkamate mtu ambaye ukweli upo wazi kuwa siyo gaidi kwa ugaidi? Kama siyo kisasi Cha kidini kilichoingizwa kwa siasa ni wapi zilipoibuliwa tuhuma hizi?

Ikumbukwe zipo pia tuhuma zakuwafanya watu wa Kanda flani kutokuwa na Uhuru wa biashara na kuwataifisha Mali zao kitendo kilichofanywa na awamu iliyopita. Je, huko kaskazini wanaadhibiwa kwa upeo wao, mafanikio yao au wanaadhibiwa kwa sababu? Utakatishaji fedha, mauaji na Sasa tumeanza kuwaita magaidi Nini shida na watu Hawa dhidi ya Tawala za nchi hii?

Haya nimeandika maana naona ndiyo yanayojadiliwa mitandaoni na hayana afya. Hata Kama tukikaa kimya lakini hao watu wa kaskazini tunavyozidi kupambana nao huku tukijua wameoa na kuolewa kila familia tunaweza zalisha chuku kwenye familia zetu wake zetu au waume zetu na watoto wakaanza kulipizana visasi. Tusiuone huu mjadala wa ukandamizaji kwa wepesi Sana watu wate wanapaswa kuliwaza kwa upana wake. Someni watu wanavyounganisha tukio hili na UDINI, UKABILA NA SIASA then mlipambanue kwa upana huu hasa viongozi wakuu wa nchi. Don't simplfy this issues , mmetumia hizi mbinu toka JK akiwa madarakani Hadi Leo lakini tukiri tumepanua hufa na Taifa siyo moja Tena. Kila anayekabidhiwa nchi/wizar/ idara anakuja na visasi vyake tutafika?
Naona mitandaoni suala la Ugaidi limechukua sura mpya ikionekana wapo watu wanataka kuonyesha kwamba imani ya kiislam na kikristo zote zinaweza kuzalisha ugaidi. Kwamba mwanzo kwenye uhamsho walihusishwa waislam na Sasa kuonyesha kubalance story Basi mbowe naye atapelekwa Magereza kwa Ugaidi.

Je wewe unaamini Mbowe anaitwa Gaidi kwa sababu za kidini na watawala walioshika usukani au ni suala la kisiasa tu? Kwanini uhamsho waachiwe kwa kubambikiwa kesi za ugaidi kwa miaka 8 na Mamlaka hiyo hiyo imkamate mtu ambaye ukweli upo wazi kuwa siyo gaidi kwa ugaidi? Kama siyo kisasi Cha kidini kilichoingizwa kwa siasa ni wapi zilipoibuliwa tuhuma hizi?

Ikumbukwe zipo pia tuhuma zakuwafanya watu wa Kanda flani kutokuwa na Uhuru wa biashara na kuwataifisha Mali zao kitendo kilichofanywa na awamu iliyopita. Je, huko kaskazini wanaadhibiwa kwa upeo wao, mafanikio yao au wanaadhibiwa kwa sababu? Utakatishaji fedha, mauaji na Sasa tumeanza kuwaita magaidi Nini shida na watu Hawa dhidi ya Tawala za nchi hii?

Haya nimeandika maana naona ndiyo yanayojadiliwa mitandaoni na hayana afya. Hata Kama tukikaa kimya lakini hao watu wa kaskazini tunavyozidi kupambana nao huku tukijua wameoa na kuolewa kila familia tunaweza zalisha chuku kwenye familia zetu wake zetu au waume zetu na watoto wakaanza kulipizana visasi. Tusiuone huu mjadala wa ukandamizaji kwa wepesi Sana watu wate wanapaswa kuliwaza kwa upana wake. Someni watu wanavyounganisha tukio hili na UDINI, UKABILA NA SIASA then mlipambanue kwa upana huu hasa viongozi wakuu wa nchi. Don't simplfy this issues , mmetumia hizi mbinu toka JK akiwa madarakani Hadi Leo lakini tukiri tumepanua hufa na Taifa siyo moja Tena. Kila anayekabidhiwa nchi/wizar/ idara anakuja na visasi vyake tutafika?
Tulia Polisi wafanye kazi, ugaidi hauna Dini wala chama, tulia wataalamu wafanye kazi yao
 
Sio sahihi kufikiria you know everything about anyone. Give the accusers the opportunity to prove their allegations!
 
Mimi nafikiri ni sababu za kisiasa zaidi kuliko huo udini/kabila unaojaribu kuuhusisha na tuhuma za Mbowe maana hata uongozi uliopita uliwaweka rumande mara kadhaa viongozi wengi wa upinzani akiwemo Mkuu wa kambi ya upinzani(Mbowe)..Kuhusu ukanda, sina hakika na hilo maana waliowekwa rumande na hata kupata vipigo wanatoka kanda mbalimbali na si kaskazini peke yake(Zito, Mwalimu(wa Zanzibar), Mawazo n.k.
Tatizo askofu kushiriki
 
🤣🤣Mdini kwa sababu anavaa USHUNGI ?!!!

Hivi ninyi lini mtaacha UJINGA ?!!
Mnapenda sana kushabikia kikoko hizi dini mbili zilizopanda majahazi kutoka UGHAIBUNI....

Mkishindwa hoja mnadandia UDINI....

Kwani katika KAMUSI neno UGAIDI Lina nembo ya DINI FULANI?!!!

Uamsho walikamatwa na waislam wenzao wakasafirishwa kuja bara Rais akiwa Muislam mbona hamkusema mh. Kikwete anawaonea wenzake ?!!

Matendo ya UAMSHO yaliwastahili kukaa ndani...na kweli walikaa miaka 9,wako WALIOKIMBIWA NA WAKE ZAO..Wako WALIOFIWA wakashindwa kuwazika WAZAZI WAO ...leo Mh.Mbowe amekaa SIKU mbili....siku mbili.....siku mbili tu mnaanza "kuhunyahunya"....

Tulieni tu....

#KaziIendelee
Sema usemavyo lkn huyu bibj midemko ni mdini. Period!
 
Cabinet ya magu ilikua na waislam 3 tu,na waislamu wala awakulalamika,udini wa rais umekuja baada ya nyinyi wenyewe kumchukulia ni dhaifu,ogopa sana kiumbe mwanamke akiwa na nguvu flan then wewe ukamchukulia dhaifu kutokana jinsia yake,tena mkizidi anamtoa sabaya jela na kumpa ukuu wa wilaya ya hai na kukamata yule mdude nyagali,huyu bibi alikua anasettle vizuri tu nyie wenyewe ndie mliesababisha abadilike
 
Back
Top Bottom