Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

Omutontozi

Senior Member
Nov 12, 2021
122
250
Rais Samia binafsi nampenda lakini kila nikifikiria swala la Mbowe furaha yangu yote dhidi yake inapotea. Nifanyeje mimi Samia nampenda na Mbowe nampenda.

Samia ananipa wakati mgumu, kupinga utawala wake nashindwa maana mazuri mengi anafanya lakini swala la Mbowe anachemka tena vibaya sana, akumbuke wana ccm ni wanafiki, watu pekee waliompa moyo wa kuongoza nchi baada ya kiapo ni wanachadema wakiwa na usemi wao *MAMA ANAUPIGA MWINGI" Huku ccm wengi wakipiga vifua na kusema mwanamke hawezi kuongoza nchi.

Mpendwa Samia hutendi haki kwa Mbowe, tumia mazungumzo na wapinzani usitumie magereza kuwatesa.
 
fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
7,551
2,000
Hayo mengine tumekuwa nayo toka uhuru ndo matatizo yetu msimsingizie Samia
Sawa hasingiziwi sasa nani wakuhakikisha na kuratibu ugawaji wa huduma muhimu za kijamii?
Nani mwenye uwezo wa kuwawajibisha mawaziri kama wasimamizi wakuu wa wizara mbalimbali zinazosimamia nakuhakikisha maisha ya mtanzania yanaboreshwa na nchi inastawi kiuchumi?
Ukiyajua haya, hutashangaa kwanini kelele zote zinaelekezwa kwake kama raia namba moja.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,258

Machawa hawataki kusikia hilo
 
Felix

JF-Expert Member
Mar 9, 2014
857
1,000
Rais Samia binafsi nampenda lkn kila nkifikiria swala la Mbowe furaha yangu yote dhidi yake inapotea,,,Nifanyeje mimi Samia nampenda na Mbowe nampenda.Samia ananipa wakati mgumu,kupinga utawala wake nashindwa maana mazuri mengi anafanya lkn swala la Mbowe anachemka tena vibaya sana,,,,akumbuke wana ccm ni wanafiki,watu pekee waliompa moyo wa kuongoza nchi baada ya kiapo ni wanachadema wakiwa na usemi wao *MAMA ANAUPIGA MWINGI" Huku ccm wengi wakipiga vifua na kusema mwanamke hawezi kuongoza nchi.Mpendwa Samia hutendi haki kwa Mbowe,tumia mazungumzo na wapinzani usitumie magereza kuwatesa.
Usipate tabu kwa ajili yake mkuu, mshitakie kwa Mora. soon tu Kati ya wawili, mmoja atamfuta Magu, tangu kuubwa kwa dunia, hakuna Jambo lisilo na mwisho. Wacha Mungu aone mioyo ya watu inavyo sononeka
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,874

Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla. Kama wakiamua kumfunga Mwamba
 
Omutontozi

Senior Member
Nov 12, 2021
122
250
Usipate tabu kwa ajili yake mkuu, mshitakie kwa Mora. soon tu Kati ya wawili, mmoja atamfuta Magu, tangu kuubwa kwa dunia, hakuna Jambo lisilo na mwisho. Wacha Mungu aone mioyo ya watu inavyo sononeka
Dah!! Sitaki kusikia msiba wa Samia nampend sana lkn ajirekebishe amwachie Mbowe bila masharti yoyote otherwise atanilazimisha nami nimchukie
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,603
2,000
Rais Samia binafsi nampenda lkn kila nkifikiria swala la Mbowe furaha yangu yote dhidi yake inapotea,,,Nifanyeje mimi Samia nampenda na Mbowe nampenda.Samia ananipa wakati mgumu,kupinga utawala wake nashindwa maana mazuri mengi anafanya lkn swala la Mbowe anachemka tena vibaya sana,,,,akumbuke wana ccm ni wanafiki,watu pekee waliompa moyo wa kuongoza nchi baada ya kiapo ni wanachadema wakiwa na usemi wao *MAMA ANAUPIGA MWINGI" Huku ccm wengi wakipiga vifua na kusema mwanamke hawezi kuongoza nchi.Mpendwa Samia hutendi haki kwa Mbowe,tumia mazungumzo na wapinzani usitumie magereza kuwatesa.

Ni Mazuri Gani Anayofanya Samia?
 
Omutontozi

Senior Member
Nov 12, 2021
122
250
Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla. Kama wakiamua kumfunga Mwamba
Nimepata heshima kubwa mi member mchanga,Mshana umechangia kwenye bandiko langu,,asante mkuu ila mwambie mama anachofanya si sawa
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
3,579
2,000
Rais Samia binafsi nampenda lkn kila nkifikiria swala la Mbowe furaha yangu yote dhidi yake inapotea,,,Nifanyeje mimi Samia nampenda na Mbowe nampenda.Samia ananipa wakati mgumu,kupinga utawala wake nashindwa maana mazuri mengi anafanya lkn swala la Mbowe anachemka tena vibaya sana,,,,akumbuke wana ccm ni wanafiki,watu pekee waliompa moyo wa kuongoza nchi baada ya kiapo ni wanachadema wakiwa na usemi wao *MAMA ANAUPIGA MWINGI" Huku ccm wengi wakipiga vifua na kusema mwanamke hawezi kuongoza nchi.Mpendwa Samia hutendi haki kwa Mbowe,tumia mazungumzo na wapinzani usitumie magereza kuwatesa.
Mapenzi nae mlianza lini na ni mke wa mtu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom