Tujadili uaminifu wa Zitto kwa Taifa letu

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Huyo jamaa amekuwa akijifanya mwana mapinduzi na mfuasi wa sera za Hayati baba wa Taifa letu mzee Julius Lakini ukimtazama kwa matendo yake hakika ni mtu asiye muwazi wa maslahi yake kwa watu/makampuni ambao huwa anawatetea kwa baadhi ya nyakati.

Binafsi siuoni uaminifu na uzalendo wa Zitto kwa Taifa letu. Amekaa kipigaji zaidi!

Anyway, if kama jukwaa huru nawaalika tuudadavue uaminifu wake katika Taifa letu kama ni kweli ni mwaminifu ama la.
 
Huyo jamaa amekuwa akijifanya mwana mapinduzi na mfuasi wa sera za Hayati baba wa Taifa letu mzee Julius.

Lakini ukimtazama kwa matendo yake hakika ni mtu asiye muwazi wa maslahi yake kwa watu/makampuni ambao huwa anawatetea kwa baadhi ya nyakati.

Binafsi siuoni uaminifu na uzalendo wa Zitto kwa Taifa letu. Amekaa kipigaji zaidi!

Anyway, if kama jukwaa huru nawaalika tuudadavue uaminifu wake katika Taifa letu kama ni kweli ni mwaminifu ama la.
Huyu Ni CCM wing kuua upinzani. MMM amemueleea vema kule Twita. Ni opportunistic, ni mchumia tumbo , ni traitor, bepari la kimya kimya.
 
Huyo jamaa amekuwa akijifanya mwana mapinduzi na mfuasi wa sera za Hayati baba wa Taifa letu mzee Julius Lakini ukimtazama kwa matendo yake hakika ni mtu asiye muwazi wa maslahi yake kwa watu/makampuni ambao huwa anawatetea kwa baadhi ya nyakati.

Binafsi siuoni uaminifu na uzalendo wa Zitto kwa Taifa letu. Amekaa kipigaji zaidi!

Anyway, if kama jukwaa huru nawaalika tuudadavue uaminifu wake katika Taifa letu kama ni kweli ni mwaminifu ama la.
ninachokumbuka ni pale aliposhirikiana na wengine kutusemelea kwa mabeberu tusipewe misaada, na kweli hatukupewa. ajabu yake ni kwamba, hata yeye hakupewa hiyo misaada, tuliumia pamoja.
 
Huyo jamaa amekuwa akijifanya mwana mapinduzi na mfuasi wa sera za Hayati baba wa Taifa letu mzee Julius Lakini ukimtazama kwa matendo yake hakika ni mtu asiye muwazi wa maslahi yake kwa watu/makampuni ambao huwa anawatetea kwa baadhi ya nyakati.

Binafsi siuoni uaminifu na uzalendo wa Zitto kwa Taifa letu. Amekaa kipigaji zaidi!

Anyway, if kama jukwaa huru nawaalika tuudadavue uaminifu wake katika Taifa letu kama ni kweli ni mwaminifu ama la.
Mmekuwa wapuuzi mno. Inafika mahali opposition mnakosa ajenda. Hivi kweli Zitto ndio kamshikilia Mbowe? Niwaase wapenda mabadiliko aina ya watu akina Martin wa Twitter ni kuwa nao makini. Martini na Kigogo ni watu wanaofanana. Lengo lao ni kukuaminisha wanachotaka kwa wakati fulani wanaotaka wao.
 
Zitto alikuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mashirika ya umma POAC wakati yuko CHADEMA. Kwa muda huo alishiriki kuiuza ATC kwa makaburu. Baada ya kuungana, abiria (weupe) wa South Africa wakawa hawana imani na marubani (weusi) waWatanzania. Mashirika mengi ya fedha yakajenga actuarial deficits zinawala hadi leo. Kwa unono wa POAC majamaa ya CHADEMA yalimfukuzilia mbali mara tu alipohama, tundulissu meenyewe aliipata hukumu kabla Jaji kuisoma. Ni kasheshe, lakini uzalendo ni zero.
 
Back
Top Bottom