Hata Waziri Magufuli alipobomoa nyumba ili kupanua barabara tulilalamika baadae tukafurahi, Makamba aachwe atimize ndoto zake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,591
141,393
Tusiwe wasahaulifu kwa kweli kwani hata Magufuli alipoukwaa uwaziri wa Ujenzi kutoka kwa Anna Abdallah kipenzi cha CCM alikuja na sera mbadala kwenye ujenzi wa miundombinu na wengi walimpinga na kumlalamikia lakini leo ndio tunashangilia maendeleo ya barabara na miundombinu mingine.

Tumpe nafasi Waziri January Makamba atimize ndoto yake katika mabadiliko makubwa kwenye sekta ya Umeme anayoyakusudia.

Ninaamini hatatoka nje ya Ilani ya CCM.

Mungu wa mbinguni awabariki!
 
Walidanganyana mitandaoni kumbe waziri Makamba yuko sahihi.......

Waziri akawaumbua kuwa CRANE zinazotakiwa pale bwawa la Mwalimu Nyerere ni zile IMMOVABLE (za kupachikwa palepale)....🤣🤣

Leo wamerukia katika CHOPA.....oooo waziri "anapaa tu angani" 🤣🤣

Jamaa wanakosa UMAKINI ama ni CHUKI tu dhidi ya huyo waziri......

#Waziri Aachwe Apige Kazi Kwa Faida Ya Taifa

#Nchi Kwanza
#Siempre JMT
 
Kijana ana maneno matamu ila utendaji sifuri kabisa, ni aina ya mawaziri wapigaji.
 
Walidanganyana mitandaoni kumbe waziri Makamba yuko sahihi.......

Waziri akawaumbua kuwa CRANE zinazotakiwa pale bwawa la Mwalimu Nyerere ni zile IMMOVABLE (za kupachikwa palepale)....🤣🤣

Leo wamerukia katika CHOPA.....oooo waziri "anapaa tu angani" 🤣🤣

Jamaa wanakosa UMAKINI ama ni CHUKI tu dhidi ya huyo waziri......

#Waziri Aachwe Apige Kazi Kwa Faida Ya Taifa

#Nchi Kwanza
#Siempre JMT
Kwa kukodisha software ya 70billion ndio kazi anayofanya sio
 
Kwaiyo ulitaka wakate hayo masaburi yako??! Yanapofanyika marekebisho lazima umeme ukatwe kwa muda

hizi akili za kunguni ndio ccm wanazitaka.

kwahiyo umeme unakatika sababu maji kupungua ujazo au marekebisho yanafanyika???
 
Back
Top Bottom