Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 975
Ni jukumu la serikali kusitisha mara moja safari za Ethiopian Airlines kutumia viwanja vyetu vya ndege kutokana na ugonjwa wa Corona Virus kutokana na shirika hilo kuendelea kufanya safari zake kwenda China ambako kuna ugonjwa huo.
Huu ni wakati wa kuwafikiria wananchi wa Tanzania kuwa salama zaidi kuliko kufanya biashara.
Huu ni wakati wa kuwafikiria wananchi wa Tanzania kuwa salama zaidi kuliko kufanya biashara.