Vijana badilisheni ushabiki wa siasa kuwa fursa za Uchumi

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,262
12,835
Nimeona upugufu moja katika vijana wa kitanzania wa kishabikia jambo lolote wanakuwa full na sahau fursa za kiuchumi, kwa mfano kijana wa kiTanzania atashabikia Simba au Yanga bila kujua kwamba ana uwezo wa kubadili ushabiki wake kuwa fursa za kiuchumi, naona kuna fursa nyingi hapo ila watu hawataki kuzibadili kuwa fursa ambazo tutazijadili badaye fursa za uchumi zinazotokana na ushabiki wako.

Leo ni ngependa niongelee fursa moja kwa vijana wakeleketwa wa chama cha siasa ki moja hapa nchini, hi kesi ya Mbowe na wenzake imekua kama series au episode wa Tanzania zaidi ya 70% wa lika zote hususani 'middle class' wamevutiwa sana na wanataka kujua kinacho endelea uko kwe hi comedy, yale maswali ya mawakili ni burudani tosha, kijana badala ya ku copy na kuedite zile uzi zinazo tumwa kwenye mitandao kila siku ya koti, na kuchapisha weekly magazine kuhusu yalionjiri kwenye kesi ya Mbowe na wenzie.

Hilo chapisho linaweza kuuza kila wiki kuliko gazati lolote hapa Dar, kwa sh 1000 kila nakala yenye page zikiwa nyingi 10 -15 ukichapisha kwa wigi kila copy inaweza ku gharimu sh200@ cost za usafiri na usambazaji 300@ manaake faida yako ni 500 kila kala, ukichapisha nakala 5000×500 ndo faida yako kwa wiki.

Sio kila mtu ana muda wakusoma mtandaoni, jamani hiyo ni fursa changamkeni, hi kesi itachukua sio chini ya miezi minne, inaisha na wewe ni millionaire inaendelea kushabikia chama chako vizuri, ila zaidi ya vyote utauza personality yako na character yako utajulikana nchi nzima na utakua brand.
 
Kwamba ni rahisi kiasi hiko

Siku hizi motivaspika wamekuwa chawa walio changamka

Wazo zuri je mwenzetu hupendi umilionear
Pic%20Layer_20211125125850271.jpg
 
Mjanja Humphrey Polepole alitumia fursa ya ujinga wa JIWE akaishi kama Chakubanga Ile katuni ya gazeti la Uhuru miaka Ile ya Raisi Mh Julius K Nyerere ,na aliishi mpaka na Viieitee mfukoni,Mh Kabudi nae aliishi ka Chupaki Mtoto wa Chakubanga,Dorothy Gwajima aliamua kuwa ka Betina wa gazeti la sani,Jafo alijifanya kama juhakalulu katuni ya gazeti la taifa la kenya
 
Back
Top Bottom