Hayati Magufuli (R.I.P), Hivi Aliwezaje kufanya yote haya?

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,683
Nimeangalia kinachoendelea sasa katika nchi na kujikuta nalazimika kumuuliza yafuatayo kuhusu mpendwa wetu Magufuli (r.i.p);

1. Hivi aliwezaje kuwafanya watu wamuogope vile? hofu ile ni kutumbuliwa tu au?!!! namkumbuka mkuu mmoja wa mkoa (nikifanikiwa nitaitupia clip) alivyokuwa anatetemeka siku ile aliyokuwa anasaini kitabu cha wageni...aisee lile tetemo si la kawaida! raisi alikuwa anasaini kitabu huku mkuu wa mkoa akiwa anajiandaa kukaa chini, ghafla raisi akainua macho kupeleka upande ule aliokuwepo mkuu wa mkoa (nafikiri ilikuwa katika kuangalia tu kawaida) aisee mkuu huyo wa mkoa aliinuka ghafla huku anaendelea kutetemeka vibaya sana. akiiona ile clip huko aliko atajisikia vibaya sana.

2. Mabarabara yote aliyoyajenga Kikwete (ndiye aliyejenga zaidi ya wote) sifa zinaenda kwa Magufuli. Kikwete hatajwi na ukimtaja kuna waaokasirika, aliwezaje kufanya hivi?!!

3. Kuna baadhi ya vitu alivianzisha mtangulizi wake (Kikwete) katika kuvijenga kama vile flyovers, lakini imeaminishwa kuwa ni JPM tu aliyefanya hivyo. wakati huo huo aliyemfuatia jpm (mama Samia) akiendeleza aliloliacha JPM kama vile kuongeza kile kipande cha SGR kule Mwanza (ambacho hakikuwepo), hatajwi kabisa mama; anatajwa JPM tu na ukimtaja mama basi kuna watakaokushambulia. aliwezaje kufanya hivi?!!!!!

4. Aliagiza machinga waachwe na wajipangie tu mabarabarani. alisema hayo huku akiwa amezungukwa na wasaidizi kibao wakiwemo wataalamu wa mipango miji, wataalamu wa masuala ya population growth, mazingira n.k lakini wote walishindwa kusema chochote juu ya athari kubwa inayoweza kuzaliwa baadae (kwa watakaomfuata). aliwezaje haswa kufanya hivi?!!!!

5. Leo hii Kikwete na ukoo wake hawaishwi kutajwa tajwa kuwa ni wezi huku yeye akitajwa kuwa ni msafi, aliwezaje mwendazake kuwaaminisha watu hivi?!!!!

6. Wakati wake, ukifanyika mradi wowote wa maendeleo ilikuwa inasemwa kwa sauti kubwa, RAISI AMEFANYA HIVI AU VILE. ajabu ni kuwa leo hii mama Samia akifanya jambo na ikitolewa taarifa kuwa 'Raisi kafanya hivi', aisee utapata mashambulizi kutoka kwa watu 'KWANI FEDHA ZAKE AU KODI NA TOZO ZETU?!!'. JPM aliwezaje?!!! Kawaida hii kweli?!!

7. Wakati wa utawala wake, inasemekana wateule wake walikuwa wakristo na watu wa kwao. ajabu ni kuwa watu walikuwa kimya na kusifia tu. kama kuna aliyejaribu kulisema ilo alikutana na hii kauli, 'RAISI HAANGALII DINI BALI UCHAPA KAZI'. cha kushangaza kipindi cha Kikwete, akichagua waislamu wawili tu basi kelele zake si za nchi hii. mama nae, ateue waislamu wawili tu katika teuzi 5 alizofanya basi haraka utasikia kauli hizi 'ZAMU YAO WAVAA VIPEDO!', 'ANATEUA WAZANZIBAR WENZIE' n.k. huyu JPM aliwezaje hili?!!!

8. Kwake (Chato) ilienda kila aina ya miradi; uwanja wa ndege wa kimataifa, nasikia uwanja wa mpira pia, mbuga, hospitali ya kanda, n.k huku kwa waziri mkuu barabara ya km 86 tu ipo vumbini hadi leo hii na mazao yote yategemewayo na wananchi wa kule (mbaazi, korosho na ufuta) yakifilia mbali huko. mawaziri mpaka manaibu mawaziri na wakuu mbalimbali wa taasisi walikuwa wanapishana na kushindana kubuni miradi ya kupeleka kule. aliwezaje huyu mtu kufanya hivi huku watu wakishangilia kinoma?!!!!!!!!!!

9. Kununua ndege 11 kwa keshi. aliwezaji ilhali nasikia hata mashirika makubwa yananunua kwa awamu?!!!

Yapo meeengi sana lakini hayo yatoshe kuwakilisha.

Najiuliza sana kama hii kawaida au kuna sehemu inapatikana 'busta' ya kukusaidia kuwa hivi. Kama ipo basi naamini kina mkuu Mshana, kama itampendeza, anaweza kuchangia ili tukujue na ikiwezekana tufanye maamuzi ya kwenda kwa ajili ya kuzimudu familia zetu tu (kwani huko siasani hatupo na hakuna dalili ya kuwepo).
 
nimeangalia kinachoendelea sasa katika nchi na kujikuta nalazimika kumuuliza yafuatayo kuhusu mpendwa wetu jpm (r.i.p);

1. hivi aliwezaje kuwafanya watu wamuogope vile? hofu ile ni kutumbuliwa tu au?!!! namkumbuka mkuu mmoja wa mkoa (nikifanikiwa nitaitupia clip) alivyokuwa anatetemeka siku ile aliyokuwa anasaini kitabu cha wageni...aisee lile tetemo si la kawaida! raisi alikuwa anasaini kitabu huku mkuu wa mkoa akiwa anajiandaa kukaa chini, ghafla raisi akainua macho kupeleka upande ule aliokuwepo mkuu wa mkoa (nafikiri ilikuwa katika kuangalia tu kawaida) aisee mkuu huyo wa mkoa aliinuka ghafla huku anaendelea kutetemeka vibaya sana. akiiona ile clip huko aliko atajisikia vibaya sana.
Unahangaika
 
1. hivi aliwezaje kuwafanya watu wamuogope vile? hofu ile ni kutumbuliwa tu au?!!! namkumbuka mkuu mmoja wa mkoa (nikifanikiwa nitaitupia clip) alivyokuwa anatetemeka siku ile aliyokuwa anasaini kitabu cha wageni...aisee lile tetemo si la kawaida! raisi alikuwa anasaini kitabu huku mkuu wa mkoa akiwa anajiandaa kukaa chini, ghafla raisi akainua macho kupeleka upande ule aliokuwepo mkuu wa mkoa (nafikiri ilikuwa katika kuangalia

#1 Hapo, wengi walipotea:

IMG_20210930_170832_807.jpg

Viroba baharini vilikutwa na watu ndani. Angeacha kuhofiwa kama shetani?!
 
nimeangalia kinachoendelea sasa katika nchi na kujikuta nalazimika kumuuliza yafuatayo kuhusu mpendwa wetu jpm (r.i.p);

9. kununua ndege 11 kwa keshi. aliwezaji ilhali nasikia hata mashirika makubwa yananunua kwa awamu?!!!

yapo meeengi sana lakini hayo yatoshe kuwakilisha.

najiuliza sana kama hii kawaida au kuna sehemu inapatikana 'busta' ya kukusaidia kuwa hivi. kama ipo basi naamini kina mkuu mshana, kama itampendeza, anaweza kuchangia ili tukujue na ikiwezekana tufanye maamuzi ya kwenda kwa ajili ya kuzimudu familia zetu tu (kwani huko siasani hatupo na hakuna dalili ya kuwepo).
Ndio maana hakumaliza awamu zote ...

Huwezi ishi kwenye hii dunia kipumbavu namna hio ...

Lazima uondolewe tu ,wewe ni Nani hasa kwenye hii dunia ya damu na jasho
 
1. hivi aliwezaje kuwafanya watu wamuogope vile? hofu ile ni kutumbuliwa tu au?!!! namkumbuka mkuu mmoja wa mkoa (nikifanikiwa nitaitupia clip) alivyokuwa anatetemeka siku ile aliyokuwa anasaini kitabu cha wageni...aisee lile tetemo si la kawaida! raisi alikuwa anasaini kitabu huku mkuu
Unaweza kumlaum sana JPM lakini alikuwa na Enablers wengi nao hawazidi watu( vigogo 10)
Bila hao vigogo Jpm si chochote wala lolote.
 
nimeangalia kinachoendelea sasa katika nchi na kujikuta nalazimika kumuuliza yafuatayo kuhusu mpendwa wetu jpm (r.i.p);

1. hivi aliwezaje kuwafanya watu wamuogope vile? hofu ile ni kutumbuliwa tu au?!!! namkumbuka mkuu mmoja wa mkoa (nikifanikiwa nitaitupia clip) alivyokuwa anatetemeka siku ile aliyokuwa anasaini kitabu cha wageni...aisee lile tetemo si la kawaida! raisi alikuwa anasaini kitabu huku mkuu wa mkoa akiwa anajiandaa kukaa chini, ghafla raisi akainua macho kupeleka upande ule aliokuwepo mkuu wa mkoa (nafikiri ilikuwa katika kuangalia tu kawaida) aisee mkuu huyo wa mkoa aliinuka ghafla huku anaendelea kutetemeka vibaya sana. akiiona ile clip huko aliko atajisikia vibaya sana.

2. mabarabara yote aliyoyajenga kikwete (ndiye aliyejenga zaidi ya wote) sifa zinaenda kwa jpm. kikwete hatajwi na ukimtaja kuna waaokasirika, aliwezaje kufanya hivi?!!

3. kuna baadhi ya vitu alivianzisha mtangulizi wake (kikwete) katika kuvijenga kama vile flyovers, lakini imeaminishwa kuwa ni jpm tu aliyefanya hivyo. wakati huo huo aliyemfuatia jpm (mama samia) akiendeleza aliloliacha jpm kama vile kuongeza kile kipande cha sgr kule mwanza (ambacho hakikuwepo), hatajwi kabisa mama; anatajwa jpm tu na ukimtaja mama basi kuna watakaokushambulia. aliwezaje kufanya hivi?!!!!!

4. aliagiza machinga waachwe na wajipangie tu mabarabarani. alisema hayo huku akiwa amezungukwa na wasaidizi kibao wakiwemo wataalamu wa mipango miji, wataalamu wa masuala ya population growth, mazingira n.k lakini wote walishindwa kusema chochote juu ya athari kubwa inayoweza kuzaliwa baadae (kwa watakaomfuata). aliwezaje haswa kufanya hivi?!!!!

5. leo hii kikwete na ukoo wake hawaishwi kutajwa tajwa kuwa ni wezi huku yeye akitajwa kuwa ni msafi, aliwezaje mwendazake kuwaaminisha watu hivi?!!!!

6. wakati wake, ukifanyika mradi wowote wa maendeleo ilikuwa inasemwa kwa sauti kubwa, RAISI AMEFANYA HIVI AU VILE. ajabu ni kuwa leo hii mama samia akifanya jambo na ikitolewa taarifa kuwa 'Raisi kafanya hivi', aisee utapata mashambulizi kutoka kwa watu 'KWANI FEDHA ZAKE AU KODI NA TOZO ZETU?!!'. jpm aliwezaje?!!! kawaida hii kweli?!!

7. wakati wa utawala wake, inasemekana wateule wake walikuwa wakristo na watu wa kwao. ajabu ni kuwa watu walikuwa kimya na kusifia tu. kama kuna aliyejaribu kulisema ilo alikutana na hii kauli, 'RAISI HAANGALII DINI BALI UCHAPA KAZI'. cha kushangaza kipindi cha kikwete, akichagua waislamu wawili tu basi kelele zake si za nchi hii. mama nae, ateue waislamu wawili tu katika teuzi 5 alizofanya basi haraka utasikia kauli hizi 'ZAMU YAO WAVAA VIPEDO!', 'ANATEUA WAZANZIBAR WENZIE' n.k. huyu jpm aliwezaje hili?!!!

8. kwake (chato) ilienda kila aina ya miradi; uwanja wa ndege wa kimataifa, nasikia uwanja wa mpira pia, mbuga, hospitali ya kanda, n.k huku kwa waziri mkuu barabara ya km 86 tu ipo vumbini hadi leo hii na mazao yote yategemewayo na wananchi wa kule (mbaazi, korosho na ufuta) yakifilia mbali huko. mawaziri mpaka manaibu mawaziri na wakuu mbalimbali wa taasisi walikuwa wanapishana na kushindana kubuni miradi ya kupeleka kule. aliwezaje huyu mtu kufanya hivi huku watu wakishangilia kinoma?!!!!!!!!!!

9. kununua ndege 11 kwa keshi. aliwezaji ilhali nasikia hata mashirika makubwa yananunua kwa awamu?!!!

yapo meeengi sana lakini hayo yatoshe kuwakilisha.

najiuliza sana kama hii kawaida au kuna sehemu inapatikana 'busta' ya kukusaidia kuwa hivi. kama ipo basi naamini kina mkuu mshana, kama itampendeza, anaweza kuchangia ili tukujue na ikiwezekana tufanye maamuzi ya kwenda kwa ajili ya kuzimudu familia zetu tu (kwani huko siasani hatupo na hakuna dalili ya kuwepo).
Nilipoona hiyo 7 nikajua kuwa unashawishiwa na mwelekeo ulionao

JPM alikuwa Katili lakini kiutendaji mpe sifa, huwezi kumlinganisha na mwizi Kikwete, nikisema mwizi ni mwizi kweli na nina evidence,
 
#1 Hapo, wengi walipotea:

View attachment 1961618

Viroba baharini vilikutwa na watu ndani. Angeachwa kuhofiwa kama shetani?!
Hiyo siyo sababu ya msingi ya kuogopwa Kwa JPM mkuu

Mu7 anakandamiza Haki za raia Hadi leo lkn haogopwi km alivyoogopwa JPM enzi za uhai wake

Mwamba hata wapinzani waliishia kumponda mtandaoni Tu lkn akitinga majimboni kwao kila mtu anamuhanya

Tuseme Tu ukweli JPM alikuwa anogopwa tangu enzi akiwa waziri..kabla hata hajawahi kufikiria kuwa Rais,haya matukio ya kukutwa watu kwenye viroba si ya juzi Tu mkuu?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kama Nyerere alivyosema, Rais wa Tanzania ana madaraka makubwa kiasi cha kuweza kuwa katili sana na asifanywe chochote. Kiingereza tunasema ana “absolute power” kama ilivyokuwa kwa Hitler wa Ujerumani, Mussolini wa Italia, Franco wa Hispania, n.k.

Magufuli alitumia madaraka hayo kikamilifu na kuhakikisha “anatisha” kweli kweli kwa maneno na vitendo: “sijaribiwi”; “sishauriwi”; “jaribu kuleta fyokofyoko uone”; “huwezi kusaliti ukaendelea ku-survive”… Kifupi, hakuwa na “haya” wala soni. Hakuwa na simile katika “kumpiga nyani nyundo ya kichwa huku anamuangalia usoni”.

Wenzake walikuwa na wanaona haya au wanajifanya kuona haya.
 
nimeangalia kinachoendelea sasa katika nchi na kujikuta nalazimika kumuuliza yafuatayo kuhusu mpendwa wetu jpm (r.i.p);

1. hivi aliwezaje kuwafanya watu wamuogope vile? hofu ile ni kutumbuliwa tu au?!!! namkumbuka mkuu mmoja wa mkoa (nikifanikiwa nitaitupia clip) alivyokuwa anatetemeka siku ile aliyokuwa anasaini kitabu cha wageni...aisee lile tetemo si la kawaida! raisi alikuwa anasaini kitabu huku mkuu wa mkoa akiwa anajiandaa kukaa chini, ghafla raisi akainua macho kupeleka upande ule aliokuwepo mkuu wa mkoa (nafikiri ilikuwa katika kuangalia tu kawaida) aisee mkuu huyo wa mkoa aliinuka ghafla huku anaendelea kutetemeka vibaya sana. akiiona ile clip huko aliko atajisikia vibaya sana.

2. mabarabara yote aliyoyajenga kikwete (ndiye aliyejenga zaidi ya wote) sifa zinaenda kwa jpm. kikwete hatajwi na ukimtaja kuna waaokasirika, aliwezaje kufanya hivi?!!

3. kuna baadhi ya vitu alivianzisha mtangulizi wake (kikwete) katika kuvijenga kama vile flyovers, lakini imeaminishwa kuwa ni jpm tu aliyefanya hivyo. wakati huo huo aliyemfuatia jpm (mama samia) akiendeleza aliloliacha jpm kama vile kuongeza kile kipande cha sgr kule mwanza (ambacho hakikuwepo), hatajwi kabisa mama; anatajwa jpm tu na ukimtaja mama basi kuna watakaokushambulia. aliwezaje kufanya hivi?!!!!!

4. aliagiza machinga waachwe na wajipangie tu mabarabarani. alisema hayo huku akiwa amezungukwa na wasaidizi kibao wakiwemo wataalamu wa mipango miji, wataalamu wa masuala ya population growth, mazingira n.k lakini wote walishindwa kusema chochote juu ya athari kubwa inayoweza kuzaliwa baadae (kwa watakaomfuata). aliwezaje haswa kufanya hivi?!!!!

5. leo hii kikwete na ukoo wake hawaishwi kutajwa tajwa kuwa ni wezi huku yeye akitajwa kuwa ni msafi, aliwezaje mwendazake kuwaaminisha watu hivi?!!!!

6. wakati wake, ukifanyika mradi wowote wa maendeleo ilikuwa inasemwa kwa sauti kubwa, RAISI AMEFANYA HIVI AU VILE. ajabu ni kuwa leo hii mama samia akifanya jambo na ikitolewa taarifa kuwa 'Raisi kafanya hivi', aisee utapata mashambulizi kutoka kwa watu 'KWANI FEDHA ZAKE AU KODI NA TOZO ZETU?!!'. jpm aliwezaje?!!! kawaida hii kweli?!!

7. wakati wa utawala wake, inasemekana wateule wake walikuwa wakristo na watu wa kwao. ajabu ni kuwa watu walikuwa kimya na kusifia tu. kama kuna aliyejaribu kulisema ilo alikutana na hii kauli, 'RAISI HAANGALII DINI BALI UCHAPA KAZI'. cha kushangaza kipindi cha kikwete, akichagua waislamu wawili tu basi kelele zake si za nchi hii. mama nae, ateue waislamu wawili tu katika teuzi 5 alizofanya basi haraka utasikia kauli hizi 'ZAMU YAO WAVAA VIPEDO!', 'ANATEUA WAZANZIBAR WENZIE' n.k. huyu jpm aliwezaje hili?!!!

8. kwake (chato) ilienda kila aina ya miradi; uwanja wa ndege wa kimataifa, nasikia uwanja wa mpira pia, mbuga, hospitali ya kanda, n.k huku kwa waziri mkuu barabara ya km 86 tu ipo vumbini hadi leo hii na mazao yote yategemewayo na wananchi wa kule (mbaazi, korosho na ufuta) yakifilia mbali huko. mawaziri mpaka manaibu mawaziri na wakuu mbalimbali wa taasisi walikuwa wanapishana na kushindana kubuni miradi ya kupeleka kule. aliwezaje huyu mtu kufanya hivi huku watu wakishangilia kinoma?!!!!!!!!!!

9. kununua ndege 11 kwa keshi. aliwezaji ilhali nasikia hata mashirika makubwa yananunua kwa awamu?!!!

yapo meeengi sana lakini hayo yatoshe kuwakilisha.

najiuliza sana kama hii kawaida au kuna sehemu inapatikana 'busta' ya kukusaidia kuwa hivi. kama ipo basi naamini kina mkuu mshana, kama itampendeza, anaweza kuchangia ili tukujue na ikiwezekana tufanye maamuzi ya kwenda kwa ajili ya kuzimudu familia zetu tu (kwani huko siasani hatupo na hakuna dalili ya kuwepo).
Unahangaishwaa na kivuli cha mtu ambae hayupo na wala hautamwona tena maishani mwako. Wewe nae n mshenzi mshenzi tu na huna lolote zaid ya kuja kuwapa promo kina jk na mama yako..jk hilo liko waz n wez tu walee..
 
Hiyo siyo sababu ya msingi ya kuogopwa Kwa JPM mkuu

Mu7 anakandamiza Haki za raia Hadi leo lkn haogopwi km alivyoogopwa JPM enzi za uhai wake

Mwamba hata wapinzani waliishia kumponda mtandaoni Tu lkn akitinga majimboni kwao kila mtu anamuhanya

Tuseme Tu ukweli JPM alikuwa anogopwa tangu enzi akiwa waziri..kabla hata hajawahi kufikiria kuwa Rais,haya matukio ya kukutwa watu kwenye viroba si ya juzi Tu mkuu?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Jpm alitisha kw akutoa roho za watu. Binadamu yoyote duniani Hofu yake iko kwenye uhai. Hapo hakuna mjanja
 
Ndio maana hakumaliza awamu zote ...

Huwezi ishi kwenye hii dunia kipumbavu namna hio ...

Lazima uondolewe tu ,wewe ni Nani hasa kwenye hii dunia ya damu na jasho
Superstition and metaphysics
wewe unaamini Mungu anaweza kuniua kukupa unafuu wewe? Stalin aliua watu wangapi na aliendelea. Mao aliua wangapi? Alitawala miaka yote. Mugabe aliua wangapi? Msemo “dua ya kuku haimpati mwewe “ si msemo wa uongo.
 
Back
Top Bottom