Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,220
- 12,725
China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha.
Tukiwa na bandari ya wachina hapo na eneo lao la viwanda tusahau kuja kuwa taifa la viwanda. Tutaendelea kuwa wauza malighafi hadi kiama. Magufuli aliona mbali kuukataa huo mradi.
Tukiwa na bandari ya wachina hapo na eneo lao la viwanda tusahau kuja kuwa taifa la viwanda. Tutaendelea kuwa wauza malighafi hadi kiama. Magufuli aliona mbali kuukataa huo mradi.