troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,429
- 2,264
Sikatai watoto wa kike kupata elimu ,lakini wasiwasi wangu jambo hili halikushirikisha wadau wa elimu ili kupata namna bora ya kulifanyia kazi .
Serikali ilijikita zaidi kwenye pesa za misaada na misaada yenyewe ndio haya mashariti.
Je kuchanganya hao watoto waliojifungua, na ambao bado hawajapata ujauzito ,haiwezi waathiri ambao hawajabeba ujauzito?
Kwani kuwachanganya wote ni kuleta ushawishi kwa ambao hawana ujauzito kuacha kuwa waoga kubeba mimba wakiamini nao watazaa na kunyonyesha na kurudi kusoma ,
Hii itasabisha uzazi holela na kujaza watoto wengi wa mitaani na kuipa serikali mzigo mzito.
Nafikiri wangetafutiwa namna nyingine ya kuendelea na masomo bila kuwachanganya kwenye mfumo rasmi .
Serikali wakati mwingine tuangalie maadili yetu kama taifa kuliko kutangaliza pesa inayosababisha kupangiwa mambo yetu ya kiutawala, leo hili la watoto wa kike ,kesho watakuja na lingine ili tuweze kupewa misaada,tuyumbishwa sana