YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Tanzania ibahatika kuwa na maji mengi Sana Kuna yaliyo chini ya ardhi ambayo wengi huchimba visima
Lakini pia chini ya ardhi Kuna maeneo Yana maziwa makubwa yenye maji ambayo hutuama kwenye miamba aridhini.Mvua zikinyesha maji hutuama huko chini na kuweka reserve kubwa ya Maji ambazo hajijaguswa
Pia Kuna mito mikubwa sana mingi chini ya Ardhi ambayo huwa na chemichemi zake za ndani kwa ndani aridhini hutiririka bure na kwenda kumwaga maji baharini chini ya ardhi
Mfano Mbeya pale Igurusi kuna mto mkubwa unapita pale chini ya ardhi ambao maji yake huenda kuyamwaga baharini Cape Town Africa ya kusini
Kuna maeneo mengine kama rufiji pia kuna jito kubwa sana chini ya ardhi
Maeneo kama posta Mpya Dar es Salaam chini kuna mto pia iko mingi nchi nzima
Wataalamu wetu wa Hydrolojia na wataalamu wa geolojia waweza saidia hii nchi kwenye Hilo badala ya kuachia wanasiasa wanaoenda tu kukodolea macho mito na kusema ohhh hakuna maji ukame mtupu.
Ohhh Wananchi jiandaeni kwa mgao wa majii. Ni kama mwanasiasa kumkodolea tu macho mgonjwa bila kutumia kipimo chochote cha kitaalamu halafu anatangaza kuwa huyu mgonjwa ana malaria!
Wataalamu ingieni kazini