mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,036
Waraka wa elimu namba 2 wa mwaka 2021 unahusu urejeshwaji shuleni kwa wanafunzi wa primary na sekondari walikatisha masomo kwa sababu mbali mbali ukiwamo utoro, na mimba.
Lakini katika waraka huo hakuna aya au kifungu chochote kinachozungumzia mtoto aliyefeli darasa la saba kurudia tena masomo na kufanya tena mtihani wa darasa la saba. Ila watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wengine wakihusika na sekta ya elimu wanaulisha maneno waraka kuwa kwa sasa waraka huo umeruhusu darasa la saba waliofeli wanaweza kurudia kusoma na kufanya mtihani tena kitu zmbachk si kweli.
Ni vizuri wizara husika itoe ufafanuzi kuhusu waraka huo na ikiwezekana ufanyiwe marekebisho ili uruhusu watahiniwa wa kujitegemea kwa darasa la saba pia kama ilivyo kwa madarasa ya kidato cha nne na cha sita.
Mheshimiwa Ndalichako waziri wa elimu KARIBU HAPA kwa ufafanuzi. Walio karibu naye tafadhali mtonyeni aje hapa.