Polepole: Kuna wana CCM waliteuliwa hawana shukrani, waliteuliwa na Rais Magufuli 2015 leo tumefika Mtoni wanaondoka

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,940
141,915
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM.

Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 lakini leo tumefika mtoni tunataka kuvuka wao wanaondoka.

Chanzo: EATV
 
Hii ni hadaa tu tunafanyiwa na huyu mzee Polepole. Bashite, Gambo na Mnyeti wametumwa na Mwenyekiti wakagombee. Mark my words
Hajui waerevu ni wengi tu siku hizi wanang'amua mambo.

Hizo fix tu Za wanasiasa.
 
Back
Top Bottom