Kuna haja gani kuleta nguzo mpya za umeme za zege katika eneo lenye mgogoro wa ardhi?

davejillaonecka

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
276
250
Kuna haja gani kuleta nguzo mpya za umeme za zege katika eneo lenya mgogoro wa ardhi takribani miaka 23 baina ya uwanja wa ndege (JNIA) na wakazi wa kipunguni (DSM).

Je, Tanesco Hawaoni watapata hasara endapo wataanza kubomoa?

Naomba kueleweshwa, na kuelimishwa.

Asante.

images.jpg
 

Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,901
2,000
Wapi Africa serikali zilishashindwa? Huo mgogoro ushindi ni wa serikali, ni kwamba haujatangazwa tu.

Na mgogoro, haimaanishi watu, wasipate huduma. Mahakama haijaamuru huduma zisitishwe.

Pia hao wananchi, wanaipigia kura serikali iliyopo madarakani.

Everyday is Saturday :cool:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom