Mnaobadili Maamuzi ya Awamu ya 5 ambayo mlikuwepo na hii ya 6 mnafanya yaliyokuwa hayatakiwi msisahau Kutubu Dhambi ya Unafiki wenu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Na wengine kila Maamuzi ya Awamu ya 5 yalipokuwa yakifanywa mkialikwa Ikulu mkipewa muda wa Kuzungumza na Hadhira mlikuwa mkiyaafiki tena na mpaka Kupongeza leo mpo katika Awamu yenu hii ya 6 mmeyabadili bila hata Aibu ya Unafiki uliowajaa kutoka Bara mpaka Visiwani.

Kwangu Mimi KEROZENE Mchawi ni bora ( nafuu ) kiliko Mnafiki ambaye kuna Mtaalam Mmoja wa Saikolojia aliniambia Mnafiki hayuko mbali sana na kuwa na tabia au Uwezo hata wa Kukuua huku akikuchekea au akikuonyesha Tabasamu lenye Kukurembulia Macho kama kala Kungu au Whisky za Kiitaliano.

Wanafiki wakubwa Mungu awalaani tu!!
 
Malipo ni hapahapa duniani, mbinguni ni mahesabu tu.

Hata huyo shetani wenu wa Chato alivyopata madaraka alifuta mipango mingi ya awamu ya 4 ya JK.

Kwahiyo tulieni mnyolewe shenzi bagamoyo.
 
Jamaa wasahaulifu sana
 
Na wengine kila Maamuzi ya Awamu ya 5 yalipokuwa yakifanywa mkialikwa Ikulu mkipewa muda wa Kuzungumza na Hadhira mlikuwa mkiyaafiki tena na mpaka Kupongeza leo mpo katika Awamu yenu hii ya 6 mmeyabadili bila hata Aibu ya Unafiki uliowajaa kutoka Bara mpaka Visiwani.

Kwangu Mimi KEROZENE Mchawi ni bora ( nafuu ) kiliko Mnafiki ambaye kuna Mtaalam Mmoja wa Saikolojia aliniambia Mnafiki hayuko mbali sana na kuwa na tabia au Uwezo hata wa Kukuua huku akikuchekea au akikuonyesha Tabasamu lenye Kukurembulia Macho kama kala Kungu au Whisky za Kiitaliano.

Wanafiki wakubwa Mungu awalaani tu!!
Hamna mwana CCM asiye mnafiki. Hata wewe kwa kutumia ile nyenzo yako nyingine inayoongoza kwa ban JamiiForums ulikuwa ni sehemu ya uozo wa awamu ya tano na sasa unaimba kibwagizo cha kazi iendelee
 
Back
Top Bottom