Napenda kujulishwa Faida za Bandari ya Bagamoyo kwa upande wa Wachina

badison

JF-Expert Member
May 29, 2015
1,450
2,702
Baada ya kusikiliza na kusoma hoja za viongozi wanaotetea na kuunga mkono ujenzi wa bandari ya bagamoyo kuwa ujenzi huo una maslahi na faida kwa watanzania naona ni wakati muafaka viongozi hao wanielimishe ni kwa namna gani wachina watafaidiaka na bandari hiyo na watapata faida gani ili twende sawa.

Ikumbukwe mpaka kufikia january, 2021 china wamejipatia bandari 20 za deep water na viwanja vya ndege. Zambia kwa mfano wameshindwa kulipa uwekezaji uliogharimu $8B kwenye miundombinu ya barabara na kupelekea kupoteza kiwanjancha ndege, shirika la umeme na shirika la utangazaji. Zambia imekuwa nchi ya wachina wanafanya watakalo.

Mfano mwingine ni pakistani, kenya, na sri lanka. Fedha za china zina moto mfano deni la kenya ni SGR yao ambayo mpaka sasa haijaweza kutimiza malengo yaliyo kusudiwa. Kenya waliweka bondi bandari yao ya nchi kavu ya nairobi.

Vp kama kiongozi akikubali mradi huu alafu baadae ukawa floppy atakumbukwa na vizazi vya mbele kama mtu wa namna gani? Miradi ya ufadhili wa china ni kama ina gundu. Mfano ni nchi kama ecuador nao waliingia kwenye mtego wa dola milioni 19 china wamechukua umiliki wa mafuta yao. Djibout wao wanadaiwa dola 590 milioni wameshindwa kulipa road na belt infrastructure.

Ieleweke kwamba Huo uwelezaji ni deni sio bure vp kama tukishindwa kulipa hilo deni? Kuna Ulazima wa bandari hiyo kujengwa?. Je bandari hiyo itapelekea kupungukiwa uwezo wa bandari yetu ya asili ( sisi watanzania mali yetu ni bandari ya dar es salaam) vp bandari nyingine zitakufa kama tanga na mtwara. Je hakuna suluhisho lingine badala ya ujenzi wa bandari ya bagamoyo labda tuingie ubia kupanua bandari ya mtwara yani mchina na mtanzania waingie partership kukuza bandari moja kati ya hizo tatu kubwa.

Kwanini kuna wasiwasi kuwa ujenzi wa bandari hiyo kubwa sana utafanya bandari zingine zife kwa kukosa mizigo na kutokana kuwa na teknolojia ndogo manake wachina wataweka mikazo kuwa mizigo yote inayotoka china ipitie bandari yao ya bagamoyo. Ni wangapi watakao kosa kazi baada ya bandari hizo kufa.

Je kuna viongizi wenye tamaa wanao harakisha ujenzi wa bandari hii ya bagamoyo?

Asante.
 
Ijengwe tu kwani wewe utapata hasara gani?
Mpumbavu kweli wewe. Hujui kama bandari inachangia pato la taifa ili kujenga uchumi wa nchi!

Ni fedha kiasi gani tunazikosa pale ambazo zingetumika kwa ajili ya kuletea watu maendeleo na unafuu wa maisha!?? Huduma za jamii, ajira, na mambo kibao!

Leo wachina wanajenga pale kisha waitumie bandari kwa MIAKA HAMSINI ndipo wawaachie ninyi! Hakuna TRA kukanyaga pua lake pale!

Mapato na pesa zote za bandari zinakusanywa na wachina kwa miaka hamsini! Wewe utakuwepo? Utakuwa umeshajifia huko makaburini kwa maradhi sugu huku umekiacha kizazi kisicho na hatia kwenye umasikini mzito wa kujitakia.

Just die you fool. Ni heri ufe kuliko kuandika upuuzi mitandaoni.

Ati kwani kuna hasara gani!! Hiiiiiii...... rafiki, are you mentally fit?

Hii mitandao ya kijamii lazima iwe na namna ya kudhibiti wagonjwa wa akili wanaomiliki smartphones.

There must be a psycho test before owning a gadget or joining a social medium.
 
Baada ya kusikiliza na kusoma hoja za viongozi wanaotetea na kuunga mkono ujenzi wa bandari ya bagamoyo kuwa ujenzi huo una maslahi na faida kwa watanzania naona ni wakati muafaka viongozi hao wanielimishe ni kwa namna gani wachina watafaidiaka na bandari hiyo na watapata faida gani ili twende sawa...
We huwajui kwani, yani watu wana uchu wa pesa utafikiri wataishi milele😅 kumbe maskini ni 70-80yrs on average.

Mtu kashaibia serikali mabilion ambayo hata akilala yeye na ukoo wake mzima wakawa wanakula tu na kunywa kuangalia TV miaka yao yote iliobakia pesa haziwezi kuisha. Ila bado ana mitamaa ya kufisadi hela zingine.
 
Baada ya kusikiliza na kusoma hoja za viongozi wanaotetea na kuunga mkono ujenzi wa bandari ya bagamoyo kuwa ujenzi huo una maslahi na faida kwa watanzania naona ni wakati muafaka viongozi hao wanielimishe ni kwa namna gani wachina watafaidiaka na bandari hiyo na watapata faida gani ili twende sawa...
Kwa tunaowajua wachina , na pia kwa tunaowajua wa Afrika hasa watanzania tusitarajie lolote kutoka kwenye bandari hiyo.

Hakuna uwekezaji wowote wa mchina uliowahi kuleta tija kwa mwafrika popote pale duniani.
 
Baada ya kusikiliza na kusoma hoja za viongozi wanaotetea na kuunga mkono ujenzi wa bandari ya bagamoyo kuwa ujenzi huo una maslahi na faida kwa watanzania naona ni wakati muafaka viongozi hao wanielimishe ni kwa namna gani wachina watafaidiaka na bandari hiyo na watapata faida gani ili twende sawa...
Ubarikiwe mkuu #badison.
Umenena ukweli mtupu.ila kwa sababu nchi hii ina laana ya ufisadi.
Utaona baadhi ya comments za kijinga kijinga humu.

Big up!

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mpumbavu kweli wewe. Hujui kama bandari inachangia pato la taifa ili kujenga uchumi wa nchi!

Ni fedha kiasi gani tunazikosa pale ambazo zingetumika kwa ajili ya kuletea watu maendeleo na unafuu wa maisha!?? Huduma za jamii, ajira, na mambo kibao...
Ndio wewe unaitwa popoma humu jf.

Umebeba upumbavu wa wapumbavu wenzio na kuja kunyakunya hapa mbele ya watu tunaojielewa.

Hamu yako ya kupenda kumwaga damu imekatwa , umebaki kuwa hater usiye na mwelekeo.

Itajengwa bandari ya Bagamoyo utake usitake.
Chuki zako haziwezi kuzuia kasi ya maendeleo ya watu.

Viva TANZANIA.
 
Baada ya kusikiliza na kusoma hoja za viongozi wanaotetea na kuunga mkono ujenzi wa bandari ya bagamoyo kuwa ujenzi huo una maslahi na faida kwa watanzania naona ni wakati muafaka viongozi hao wanielimishe ni kwa namna gani wachina watafaidiaka na bandari hiyo na watapata faida gani ili twende sawa.

Ikumbukwe mpaka kufikia january, 2021 china wamejipatia bandari 20 za deep water na viwanja vya ndege. Zambia kwa mfano wameshindwa kulipa uwekezaji uliogharimu $8B kwenye miundombinu ya barabara na kupelekea kupoteza kiwanjancha ndege, shirika la umeme na shirika la utangazaji. Zambia imekuwa nchi ya wachina wanafanya watakalo.

Mfano mwingine ni pakistani, kenya, na sri lanka. Fedha za china zina moto mfano deni la kenya ni SGR yao ambayo mpaka sasa haijaweza kutimiza malengo yaliyo kusudiwa. Kenya waliweka bondi bandari yao ya nchi kavu ya nairobi.

Vp kama kiongozi akikubali mradi huu alafu baadae ukawa floppy atakumbukwa na vizazi vya mbele kama mtu wa namna gani? Miradi ya ufadhili wa china ni kama ina gundu. Mfano ni nchi kama ecuador nao waliingia kwenye mtego wa dola milioni 19 china wamechukua umiliki wa mafuta yao. Djibout wao wanadaiwa dola 590 milioni wameshindwa kulipa road na belt infrastructure.

Ieleweke kwamba Huo uwelezaji ni deni sio bure vp kama tukishindwa kulipa hilo deni? Kuna Ulazima wa bandari hiyo kujengwa?. Je bandari hiyo itapelekea kupungukiwa uwezo wa bandari yetu ya asili ( sisi watanzania mali yetu ni bandari ya dar es salaam) vp bandari nyingine zitakufa kama tanga na mtwara. Je hakuna suluhisho lingine badala ya ujenzi wa bandari ya bagamoyo labda tuingie ubia kupanua bandari ya mtwara yani mchina na mtanzania waingie partership kukuza bandari moja kati ya hizo tatu kubwa.

Kwanini kuna wasiwasi kuwa ujenzi wa bandari hiyo kubwa sana utafanya bandari zingine zife kwa kukosa mizigo na kutokana kuwa na teknolojia ndogo manake wachina wataweka mikazo kuwa mizigo yote inayotoka china ipitie bandari yao ya bagamoyo. Ni wangapi watakao kosa kazi baada ya bandari hizo kufa.

Je kuna viongizi wenye tamaa wanao harakisha ujenzi wa bandari hii ya bagamoyo.?

Asante.
. Kwanza kwa nini Bagamoyo
. Pili, kwa nini isiwe Tanga ambapo tayari kuna miundo mbinu inayofanya kazi na kijiografia ipo mbali na Dar es Salaam
. Tanga iko karibu na Uganda, Na Rwanda, Burundi kuliko Dar
. DRC na Zambia zinaweza kuendelea kuhudumiwa na Dar hasawa baada ya decongestation
. Yasije yakawa yale ya Mkoa wa Chato, kwa sababu Raisi alitoka Chato, na bandari Bagamoyo kwa sababu rais alitoka Bagamoyo
 
Utafute Uzi wa Mkuu Chige amefafanua kwa undani pasi na upendeleo bali kwa ushahidi.
 
Mpumbavu kweli wewe. Hujui kama bandari inachangia pato la taifa ili kujenga uchumi wa nchi!

Ni fedha kiasi gani tunazikosa pale ambazo zingetumika kwa ajili ya kuletea watu maendeleo na unafuu wa maisha!?? Huduma za jamii, ajira, na mambo kibao!

Leo wachina wanajenga pale kisha waitumie bandari kwa MIAKA HAMSINI ndipo wawaachie ninyi! Hakuna TRA kukanyaga pua lake pale!

Mapato na pesa zote za bandari zinakusanywa na wachina kwa miaka hamsini! Wewe utakuwepo? Utakuwa umeshajifia huko makaburini kwa maradhi sugu huku umekiacha kizazi kisicho na hatia kwenye umasikini mzito wa kujitakia.

Just die you fool. Ni heri ufe kuliko kuandika upuuzi mitandaoni.

Ati kwani kuna hasara gani!! Hiiiiiii...... rafiki, are you mentally fit?

Hii mitandao ya kijamii lazima iwe na namna ya kudhibiti wagonjwa wa akili wanaomiliki smartphones.

There must be a psycho test before owning a gadget or joining a social medium.
Asante sana. Kuliko kuwa na ndugu/mtoto mpumbavu kama huyo jamaa ni bora mtu ufuge nguruwe.
 
Uzi unafikirisha sana, Wachina wana Strategy ya Debt trap sasa sisi tunavyowajua Viongozi wetu huwa wanasaini tu na kutiwa upofu na Ten percent.

Hapana Mkuu wakuu wetu ambao wengi wana 60yrs And above...wanajua hata Siku wakifa Madeni na Mengine yatakayobaki nyuma Wao watakuwa hawapo hivyo hayatawahusu,Kumbuka huu ni Mradi wa for years! 20-50year wao wanaangalia sasa hivi watafaidikaje Over!
 
Mpumbavu kweli wewe. Hujui kama bandari inachangia pato la taifa ili kujenga uchumi wa nchi!

Ni fedha kiasi gani tunazikosa pale ambazo zingetumika kwa ajili ya kuletea watu maendeleo na unafuu wa maisha!?? Huduma za jamii, ajira, na mambo kibao!

Leo wachina wanajenga pale kisha waitumie bandari kwa MIAKA HAMSINI ndipo wawaachie ninyi! Hakuna TRA kukanyaga pua lake pale!

Mapato na pesa zote za bandari zinakusanywa na wachina kwa miaka hamsini! Wewe utakuwepo? Utakuwa umeshajifia huko makaburini kwa maradhi sugu huku umekiacha kizazi kisicho na hatia kwenye umasikini mzito wa kujitakia.

Just die you fool. Ni heri ufe kuliko kuandika upuuzi mitandaoni.

Ati kwani kuna hasara gani!! Hiiiiiii...... rafiki, are you mentally fit?

Hii mitandao ya kijamii lazima iwe na namna ya kudhibiti wagonjwa wa akili wanaomiliki smartphones.

There must be a psycho test before owning a gadget or joining a social medium.

Kweli Jamaa ni Mpumbafu!
Je Hakuna Uwezekano akapewa Mzungu?
Lazima awe Tuuu Mchina?
Au iwe PPP?
 
Mpumbavu kweli wewe. Hujui kama bandari inachangia pato la taifa ili kujenga uchumi wa nchi!

Ni fedha kiasi gani tunazikosa pale ambazo zingetumika kwa ajili ya kuletea watu maendeleo na unafuu wa maisha!?? Huduma za jamii, ajira, na mambo kibao!

Leo wachina wanajenga pale kisha waitumie bandari kwa MIAKA HAMSINI ndipo wawaachie ninyi! Hakuna TRA kukanyaga pua lake pale!

Mapato na pesa zote za bandari zinakusanywa na wachina kwa miaka hamsini! Wewe utakuwepo? Utakuwa umeshajifia huko makaburini kwa maradhi sugu huku umekiacha kizazi kisicho na hatia kwenye umasikini mzito wa kujitakia.

Just die you fool. Ni heri ufe kuliko kuandika upuuzi mitandaoni.

Ati kwani kuna hasara gani!! Hiiiiiii...... rafiki, are you mentally fit?

Hii mitandao ya kijamii lazima iwe na namna ya kudhibiti wagonjwa wa akili wanaomiliki smartphones.

There must be a psycho test before owning a gadget or joining a social medium.
Yaan hata mimi nimeshangwaza sana na jibu huyo jamaa

mtoa mada amekuja na hoja za msingi
ila inasikitisha ikiwa watanzania wenyewe ndio wa hovyo km hao
 
Mpumbavu kweli wewe. Hujui kama bandari inachangia pato la taifa ili kujenga uchumi wa nchi!

Ni fedha kiasi gani tunazikosa pale ambazo zingetumika kwa ajili ya kuletea watu maendeleo na unafuu wa maisha!?? Huduma za jamii, ajira, na mambo kibao!

Leo wachina wanajenga pale kisha waitumie bandari kwa MIAKA HAMSINI ndipo wawaachie ninyi! Hakuna TRA kukanyaga pua lake pale!

Mapato na pesa zote za bandari zinakusanywa na wachina kwa miaka hamsini! Wewe utakuwepo? Utakuwa umeshajifia huko makaburini kwa maradhi sugu huku umekiacha kizazi kisicho na hatia kwenye umasikini mzito wa kujitakia.

Just die you fool. Ni heri ufe kuliko kuandika upuuzi mitandaoni.

Ati kwani kuna hasara gani!! Hiiiiiii...... rafiki, are you mentally fit?

Hii mitandao ya kijamii lazima iwe na namna ya kudhibiti wagonjwa wa akili wanaomiliki smartphones.

There must be a psycho test before owning a gadget or joining a social medium.
Acha kuelemewa na hasira , jenga hoja yako tu utaeleweka. Una hoja nzuri lakini ume-dilute sana kwa emotions.
 
Back
Top Bottom