Humphrey Polepole amechanganyikiwa ?

Humphrey Polepole amechanganyikiwa ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,567
Reaction score
290,137
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

%22Tume_Huru_ya_uchaguzi_wala_siyo_jambo_muhimu_kwenye_uandishi_wa_Katiba_kwasababu_inawahusu_...jpg

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
 
PolePole ni maiti inayotembea, huyo ni mfu siku nyingi kwa hyo usistaajabu mawazo mfu anayotoa yenye harufu ya umauti!!

Sasa hivi anawaza tumbo lake, maana yupo kwenye sintofaham, kushushwa cheo hadi ubunge viti maalum usifikir mchezo, anahis muda wowote ugali utamwagwa ndo maana anatoa mawazo mfu yake hadharan!
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA , aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
Aseee!
 
PolePole ni maiti inayotembea, huyo ni mfu siku nyingi kwa hyo usistaajabu mawazo mfu anayotoa yenye harufu ya umauti!!

Sasa hivi anawaza tumbo lake, maana yupo kwenye sintofaham, kushushwa cheo hadi ubunge viti maalum usifikir mchezo, anahis muda wowote ugali utamwagwa ndo maana anatoa mawazo mfu yake hadharan!
Acha ujinga, ubunge alikuanao since akiwa mwenezi. Kama hawataki wachukue ubunge abumzike
 
PolePole ni maiti inayotembea, huyo ni mfu siku nyingi kwa hyo usistaajabu mawazo mfu anayotoa yenye harufu ya umauti!!

Sasa hivi anawaza tumbo lake, maana yupo kwenye sintofaham, kushushwa cheo hadi ubunge viti maalum usifikir mchezo, anahis muda wowote ugali utamwagwa ndo maana anatoa mawazo mfu yake hadharan!
Ukikosoa unawaza tumbo ukisifia unawaza tumbo..
Akikaa kimya mnasema pia
Mnataka afanyaje?
 
Polepole huyu unaemtetea na polepole yule tulimjua akiwa mstari wa mbele kwenye suala la katiba mpya ni watu wawili tofaut???

Kama ni polepole mmoja , ni kwa nin anakana harakat zake za kupigania katiba mpya???, Kama si suala la tumbo lake , Kuna sababu gani ya muhimu kujigeuza Kama kinyonga???

CCM acheni tabia ya ushetani , tabia ya kutengeneza mazingira ya kuwa wenye mamlaka milele yote, ni tabia ya kishetani na mashetani, pamoja mnajipambanua waz kuwa mna matendo ya kishetani, basi jaribuni kumrudia Mungu, atawasamehe!
 
Polepole huyu unaemtetea na polepole yule tulimjua akiwa mstari wa mbele kwenye suala la katiba mpya ni watu wawili tofaut???

Kama ni polepole mmoja , ni kwa nin anakana harakat zake za kupigania katiba mpya???, Kama si suala la tumbo lake , Kuna sababu gani ya muhimu kujigeuza Kama kinyonga???

CCM acheni tabia ya ushetani , tabia ya kutengeneza mazingira ya kuwa wenye mamlaka ni tabia ya kishetani na mashetani, pamoja mnajipambanua waz kuwa mna matendo ya kishetani, basi jaribuni kumrudia Mungu, atawasamehe!
Wewe umemrudia Mungu?
Umepata nin baada ya kumrudia ulichowazidi ccm na polepole?
Kama Mungu anabadilika anatoka agano la kale kwenda jipya / Anashusha aya moja baadae anashusha nyingine ku-replace iliyopo
polepole ni nani asibadilike..
Zero brain...
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
Ndugu yangu, mdogo wangu Polepole.

Hebu kaa chini kwa sasa soma alama za nyakati. Mbinyo tulioufanya dhidi ya raia enzi za awamu ile ndo umwpelekea watu kujitambua na kuwa na muono chanya zaidi kwa Taifa.

Mimi nasema kwamba, Tanzania inaanza kwanza kisha CCM yangu inafuata baadaye.

CCM (TANU) ilifanya harakati za kupata uhuru ili watanzania WAJITAWALE na siyo chama kutawala Watanzania.

Kauli ya kusema TUME HURU siyo jambo muhimu kwa sasa ni dalili ya kulewa rushwa ya madaraka. Mimi naona Katiba inapaswa kudhibiti taasisi ya Urais na kuwajibisha eneo la ulinzi wa Katiba.

Inawezekana huko ndani ushapigwa mkwara mzito na sasa unaleta issues za kujinafikisha kwa watawala.

Tanzania kwanza
CCM baadaye huko
 
Wewe umemrudia Mungu?
Umepata nin baada ya kumrudia ulichowazidi ccm na polepole?
Zero brain...
Mrudie Mungu naye atakusamehe, najua wewe ni polepole kwa ID fake,

Muulize kiongozi wenu mliekuwa mkimsujudu na kumwabudu Yuko wapi sasa!!!

Mamlaka zote za dunia hii si kitu, mtafurahia tu kupanda ma v8 na kubambikiza watu kesi za uongo, na kuwakandamiza watanzania wenzenu lakin mwisho wa siku
"WEWE U MAVUMBI, NA MAVUMBINI UTARUDI"
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
Nadhani hata aliyemroga amesha kufa, kwa sababu angekua hai angemuonea huruma
 
Mrudie Mungu naye atakusamehe, najua wewe ni polepole kwa ID fake,

Muulize kiongozi wenu mliekuwa mkimsujudu na kumwabudu Yuko wapi sasa!!!

Mamlaka zote za dunia hii si kitu, mtafurahia tu kupanda ma v8 na kubambikiza watu kesi za uongo, na kuwakandamiza watanzania wenzenu lakin mwisho wa siku
"WEWE U MAVUMBI, NA MAVUMBINI UTARUDI"
Mimi ni polepole, ndio unajua saivi..
Wewe kwani baba yako yuko wapi?
 
Acha tabia za umimi, vyama vitapita, nchi itapita, utawala utapita, binadamu wote tunapita, hamna haja kutetea mambo ya kijinga ambayo wewe binafsi hutadum nayo milele yote!
Hayo mamb ya kijjinga unayapima kwa mzani upi?
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
Ni mwanasiasa mwenye fikra za kimalaya hana msimamo na hasimamii anachokiamini,ni bendera fuata upepo.
 
Acha tabia za umimi, vyama vitapita, nchi itapita, utawala utapita, binadamu wote tunapita, hamna haja kutetea mambo ya kijinga ambayo wewe binafsi hutadum nayo milele yote!
Kuwa generosity ni pamoja na kukubali kuheshimu mitazamo ya watu wengine..
Sio mitazamo inayokufurahisha tu,
Acha kuongea vitu ambavyo huvijui
 
Kuna mitazamo ya kijinga na haina uhalisia,hii lazima ipingwe maana sio mitazamo ila ni ujinga wa kuangamiza jamii.
Mtoe hiyo demacation line inayotofautisha mitazamo ya kijinga na ya uhalisia.
Isije ikawa ni ujinga /upumbavu wako ndio unasababisha uyaone mawazo ni ya kijinga.
Nb: mjinga yeyote anaweza kusema mawazo flani ni ya kijinga.
 
Back
Top Bottom