Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wanajf Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine...
3 Reactions
49 Replies
647 Views
Tunakwenda almost miezi 2. Ukija mbele ya watu/ camera unaonesha kukelwa na ucheleweshwaji wa kesi. Mara Mahakama siyo mahali pa kupaki kesi! Kesi ya Lisu iko Court of Appeal, ndani ya Himaya...
13 Reactions
21 Replies
611 Views
Serikali imewasisitiza waajiri nchini pamoja na wenza katika ngazi ya familia kuwatambua na kuwapa usaidizi wanawake wanaopitia kipindi cha ukomo wa hedhi, ili kuwawezesha kuhimili mabadiliko ya...
0 Reactions
2 Replies
148 Views
  • Redirect
Kutoka X: Oyooooooooo Shida ni polisi sasa hapo "Interejinsia Polisi wataanza visa kuwa kwa inteligensia ya polisi chadema watafanya fujo. Tujiandae kwa hilo
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
BREAKING NEWS CHADEMA FREE TO CONTINUE POLITICAL ACTIVITIES - COURT RULES‼️ The Court of Appeal in Dodoma has ruled that the only real opposition party @ChademaTZ2 that was illegally banned from...
0 Reactions
Replies
Views
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma wakati akichangia hoja leo Aprili 15, 2026 Bungeni, ameitaka serikali kuzingatia ukusanyaji wa madeni wa mikopo ya asilimia 10% kwenye...
0 Reactions
2 Replies
176 Views
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Festo Dugange amefafanua kuwa hakuna utaratibu wa elimu bila malipo isipokuwa Serikali inatoa elimu bila ada
1 Reactions
1 Replies
99 Views
Bunge linaendelea na hakuna anayejali kupanda kwa bei ya vyakula na bidhaa. Salaam! Hali ya uchumi inaelekea pabaya sana. Kama kuna mbunge anasoma huu ujumbe wangu afanyr jambo. Huku mtaani kila...
1 Reactions
10 Replies
212 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Suma Ikenda Fyandomo, wakati akichangia hoja Bungeni Aprili 14, 2026 alisema watanzania wanajiuliza ilikuaje Rais Samia alipata ushindi wa asilimia 98% akieleza...
2 Reactions
17 Replies
405 Views
Wakati unashiriki Kuteka na kuua Mdude Nyagali aliyepewa Ubunge na UWaziri ni Juma Homera, wewe bado unahangaika na doria. Taarifa tulizopata ni kwamba umeamua kumtumia Mzee Mwandambo ili upande...
5 Reactions
25 Replies
641 Views
Tulionya kuhusu mfuko wa Road fund ambao ulianzishwa na Magufuli kwa ajili ya barabara na kulipa Wakandarasi kwa wakati pesa zilikusanywa na kutunzwa kwenye huo mfuko wa road fund...
19 Reactions
46 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Amini Nawaambieni ya kuwa uongozi unatoka kwa Mungu. Uongozi ni Kibali kutoka kwa Mungu . Kuwa Kiongozi Kama nafasi ya Urais ni Lazima upewe kibali na Mungu ,ni lazima...
1 Reactions
7 Replies
522 Views
Dkt. Ayub Rioba Chacha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC) anasema kwa namna ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo...
1 Reactions
15 Replies
457 Views
  • Redirect
Picha inajieleza hapo chini! Demokrasia? Linatoka rohoni? Unatafuta uteuzi? Miaka 10 TBC bado hujaiba vya kukutosha?
1 Reactions
Replies
Views
Jana tarehe 14.04.2026 Majira ya Saa 07:00 Mchana Mwandishi wa habari wa kujitegemea Mkoani Mwanza Ndugu Daniel John maarufu kama (Bujepa) amejikuta matatani baada ya kufatilia kesi iliyokuwa...
2 Reactions
1 Replies
184 Views
Nafasi ya kumshauri Rais, ni nafasi adhimu inayobeba dhima kubwa kwa Taifa. Wananchi wanayo matarajio kuwa wenzao waliopata fursa ya kuwa washauri wa Rais wao, wanafanya hivyo kwa weledi...
15 Reactions
50 Replies
1K Views
Wanabodi, Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimishwa kuzifuata na nchi mabeberu. Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Hivi inakuwaje kwa msomi kushindwa kutumia utajiri wa mtu kama fursa ya kuandaa matajiri kwenye familia yako? mtu anazeeka lakini ukiangalia anachomiliki ni watoto, gari na simu yakutukania...
0 Reactions
1 Replies
112 Views
Ofisi za gazeti la Pambazuko zilizopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam, zimevunjwa na watu wasiojulikana na kuibiwa kompyuta mpakato, kamera na nyaraka mbalimbali. Akizungumzia tukio hilo leo...
7 Reactions
31 Replies
819 Views
Wahalifu waliovaa suti na tai, na wametajwa na CAG kwamba ni WEZI, wanafikiria kujenga magereza ili wasio na hatia wakaishi gerezani. Hii inasikitisha sana. Kuna dhana magereza yanajengwa kwa...
1 Reactions
0 Replies
205 Views
Back
Top Bottom