Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Mtwara Vijijini Mheshimiwa Arif Premji ameshauri serikali kuchakata gesi iwe Diesel na Jet Fuel, Akiwa anachangia Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu. Nini maoni yako? "Tunaongelea mradi wa...
1 Reactions
3 Replies
175 Views
Hakuna binadam kiongozi/mtawala ambae utaonekana mwema bora kwa watu wote akiwa madarakani au popote Hakuna binadamu kiongozi/ mtawala atae pendwa na kuwapendeza watu wote akiwa madarakani Hiyo...
0 Reactions
2 Replies
76 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi (watano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini wakati wa Kikao Kazi kilichofanyika Makao Makuu ndogo ya wizara hiyo jijini Dar...
1 Reactions
6 Replies
274 Views
Na GULATONE MASIGA Katika kipindi cha hivi karibuni, mjadala kuhusu ongezeko la bei za mafuta umekuwa mkubwa mtaani na katika majukwaa ya kitaifa na kimataifa. Hoja hii si mpya katika historia ya...
5 Reactions
19 Replies
472 Views
'Ndio maana wao huwa wanahama tu na awamu. Awamu ya nne walikuwa wanatukana Rais wa awamu ya nne. Alikuwa hawajibu, anaendelea na kazi yake. Alivyomaliza tu, wakahama, wakahamia kwa Rais wa awamu...
1 Reactions
12 Replies
240 Views
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesema kuwa vita ya rasilimali ni kubwa sana na ndio maana baadhi maslahi ya waliozoea kuchukua na ya wengine yakiguswa huwa wanaajiri wa kutukana mtandao, na hili hao...
2 Reactions
5 Replies
210 Views
Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 12, 2026, Naibu Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa, amezihoji mamlaka kuhusu akiba iliyokuwepo ya miezi mitatu iko...
0 Reactions
2 Replies
111 Views
Nimekaa mda mrefu na kutochangia JF.Ila leo shauku limenifika. Hivi tanzania ya leo tuseme usalama,JwTZ,TCRA na wengine au vinara wazuri wa CCM ambao jeshi la polisi wanajitafakari kweli. Mfano...
2 Reactions
1 Replies
163 Views
Tukiendelea na mijadala mingine nimeonelea niwashirikishe video hii. Nimeulizwa mara kwa mara kuhusu video/ audio ya Edward Sokoine. Katikati upekuzipekuzi wangu nimekutana na hii. (Kuna mtu...
65 Reactions
224 Replies
33K Views
Hivi kama serikali ingetaka kutumia ubabe wake kufanya haraka kesi ya LISSU kisha kumtia hatiani na kumnyonga nani angeweza kuzuia? Huyu Rais Samia ni Rais bora na mwenye busara . Ndiye...
1 Reactions
13 Replies
257 Views
Wanabodi kumekuwa na utaratibu licha ya ccm kujigamba kwamba Ina rasilimali watu ya kutosha lakini inaonekana watu smart sana wanapatikana upinzani. Mwanzo nilijua tu kuwa labda ni kivutio cha...
6 Reactions
16 Replies
476 Views
Alikuwa mjengaji hoja mzuri na mpigania haki , mwanasiasa mzuri. Freedom fighter one can dare say! Nini kilimtokea?
3 Reactions
17 Replies
512 Views
Paul Makonda ambaye kwa sasa ni Naibu Waziri wa Michezo nchini na Mbunge wa Arusha Mjini alitoa ahadi ambayo kwa kweli ilikuwa ni ya ajabu sana. Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge na...
7 Reactions
18 Replies
548 Views
Hii ni muhimu kujua mikutano yake anaiendeshaje? Ana team ya wataalamu wa kuchukua notes/ minutes/ proceedings za mikutano? Je Chadema walichukua notes za comments za Chakwela and team? Au...
2 Reactions
3 Replies
264 Views
‎ ‎Habari wana jukwaa ‎ ‎Mkuu alifanya hotuba jana, lakini alikosea kidogo kuhusu bei ya Vimiminika .Alisema bei ilipanda kwa kiwango fulani, lakini baadaye ilibainika kuwa alikuwa na makosa...
6 Reactions
22 Replies
564 Views
Lengo la wadau kutaka Majina ya watu hao kuanikwa hadharani ni kutaka kuwafahamu na kuwapatia haki yao ya kikatiba Ikumbukwe kwamba Wenje na Bilionea Abdul waliotumwa kumrubuni Tundu Lissu majina...
6 Reactions
10 Replies
255 Views
Unaweza kushangaa, lakini hiyo ndio hali halisi Tundu Lissu alikamatwa April 9 2025, Mbinga Nchini Tanzania kwa maagizo ya Wana Mtandao baada ya kugusa biashara yao ya kificho ya Makaa ya Mawe...
7 Reactions
10 Replies
318 Views
Ndugu zetu wa Kenya wanataka integration ya software kama Haki za binadamu sio hardware kama passport au mambo ya common market, hayo yatakuwa Tu yenyewe tukiwa, tunataratibunnzuri za maisha.
1 Reactions
3 Replies
150 Views
Akizungumza na waandishi wa Habari leo Aprili 12, 2026 Naibu Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa, amesema haya; "Ndugu Watanzania wenzangu, mzigo wa gharama hizi...
1 Reactions
2 Replies
173 Views
Waziri Kombo Ashiriki Mkutano wa Tisa wa Bahari ya Hindi Mauritius Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki Mkutano wa Tisa wa Bahari ya...
1 Reactions
2 Replies
147 Views
Back
Top Bottom